Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

We donbrasco kwani umetumwa kaka mbona unavuruga somo,toka majuzi unasumbua watu umu?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Heshima yako mkuu mbona mnanionea kuweni wakweli.

Kwani kuniulizia swali langu kwa Secret Star mnashindwa nini duh wabongo kweli tunashida!

Swali rahisi tu yeye alinivaa kichwa kichwa na mi nikamuuliza swali tena baada ya kumjibu swali lake, nikamuuliza swali rahisi tu maanake kama angekuwa ni muelewa na ni mstaarabu kulikuwa hakuna logic ya yeye kuniuliza kama najua maana ya pharaoh.... sasa wote mnaogopa kusema haki mmeona wa kuniliaumu ni mimi, hii inaonesha kuwa tuna upeo mdogo kwenye mijadala na huwa tunapenda kurukia vitu tu,kwa sababu swali langu lilikuwa dogo na rahisi kwa aliyekuwa makini...

Basi mi nawaaga sitochangia lakini mjue kuwa sijatendewa haki na jamaa wengi humu ila kwa maslahi ya umma mi natulia nyie endeleeni

Kwaherini, samahani kwa wote niliowakwaza kwa namna moja ama nyingine....
One Loveee.....
 
Bora uende kaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo historia ulisimuliwa au umesoma kitabu au ulikuwepo zama hizo hata uthibitishe kuwa wengine ni waongo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni historia iliyoandikwa kwenye walls na pyramid kule Kemet, Isitoshe historia hiyo imeandikwa kwenye Encyclopedia nyingi sana Duniani kama ni mpenzi wa kutembelea Maktaba huwezi kosa Vitabu vingi vyenye historia hizi.
Mfano kuna "The Oxford Encyclopedia of Ancient Egypt""
Hiyo ni Encyclopedia kutoka chuo kikuu cha England kuhusu historia ya Mababu wa Misri iliyojichukulia Tuzo nyingi Duniani kama vile::

2002 Dartmouth Medal Winner,
2002 Association of American Publishers, Best Multivolume Reference, Humanities.,
2002 ALA/RUSA Outstanding Reference Source.
2001 Library Journal Best Reference,
2001 Choice Outstanding Academic Title,
2002 Dartmouth Medal Winner,
2002 Association of American Publishers, Best Multivolume Reference, Humanities
2002 ALA/RUSA Outstanding Reference Source,
2001 Library Journal Best Reference,
2001 Choice Outstanding Academic Title.

So hizi sio story za Abunuwasi mzee, Ukitaka uhakika zaidi kutoa hivyo vitabu unaweza kutembelea makazi ya kale ya mababu hawa Kemet na Giza Misri.

SM-G955F Samsung galaxy S8+
 
Historia ni kitu kizuri sana. Inashangaza mipuuzi mingine akina Taliban kazi yao ni kuharibu. Kulikuwa na mpango wa "kulipoteza" kaburi la Mtume; itakuwa kosa kubwa sana wakifanya hivyo.
 
...
So hizi sio story za Abunuwasi mzee, Ukitaka uhakika zaidi kutoa hivyo vitabu unaweza kutembelea makazi ya kale ya mababu hawa Kemet na Giza Misri. SM-G955F Samsung galaxy S8+
Asante sana Kiongozi. Umenifumbua macho hasa.
 
Mnaemuita firauni ni babu yenu, wa asili! alikuwa ni Mweusi tii!! jina lake aliitwa Mkuu Ramesses wa II au Sese!

Nimekuwa nikiona habari kutoka kwa watu, kuwa mwili wa Ramesses ll huwa ukizikwa, unarudi juu kesho yake!!![emoji4][emoji5][emoji5]

Hivi hili linawezekanaje!! tena watu wenye akili timamu kabisa wanaamini hili! wenye Degree na PHD!! Kwa kweli ni maajabu makubwa mno haya! hapa utaamini kuwa Binadamu ni dhaifu sana kwenye imani!, na ni rahisi sana kumteka mtu yoyote akili kwa kutumia kivuli cha Dini/Imani..

Leo hii kitabu chochote kitakatifu kingesema Kuiba si dhambi na mtu ili ufike mbinguni ni lazima uwe mwizi, basi tungeshuhudia watu wengi wasomi na wasio wasomi wakiwa ni wevi!! Yote ni kwa sababu binadamu wengi ni weak mno kwenye Imani!

Turudi kwenye maada.

Great ramesses ll alizikwaje?

Mwanzo alizikwa kwenye kaburi KV7 katika Bonde la Wafalme, lakini kwa sababu ya uporaji wa vitu vya thamani alivyokuwa amevishwa, makuhani walihamisha mwili kutoka eneo hilo na kuupeleka ndani ya kaburi la malkia Inhapy.

Miaka mingi baadae waliuhamishia tena mwili kwenye kaburi la kuhani mkuu Pinudjem II. Yote hii ni sababu ya kumbukumbu katika hieroglyphics.

Kutokana na matetemeko yaliyoikumba Giza miaka kati ya miaka 1000 AD hadi 1500 AD vitu vingi vilipotea huku baadhi ya masanamu mengi yakiharibiwa vibaya na matetemeko hayo, na baadhi ya makaburi, majumba, na makumbusho mengine kupotea kabisa!
Huku mwili Wa Great Ramesses ll Nao ukipotea katika matetemeko hayo.

Mwanzoni mwa miaka ya 1800, mwili huu ulipatikana tena pembezoni kidogo mwa Red sea.

Ramesses ll, hakufa kwenye Gharika la Mussa kama watu wanavyodai, mwili wake hadi sasa unathibitisha kuwa alikufa akiwa mzee, zaidi ya miaka 80 kwa maradhi ya kawaida.

Pia si mwili wa ramesses ll tu uliopo kwenye makumbusho ya misri, ni miili mingi ya Mapharao tofauti na baadhi ya watu walioishi kwenye Egypt ya kale.

"Historia yake kwa Ufupi"

Ramesses II, au kwa jina jingine Sese alikuwa ni mfalme wa pili wa Uzao wa 19 wa familia ya kifalme. Na alikuja kuwa miongoni mwa Mapharao wenye nguvu kuwahi kuwepo Misri.

Ramesses II alipewa kiti cha Ufalme mapema kwenye umri wa miaka 20 na akaongoza (kati ya mwaka 1279 BC) hadi alipofariki miaka 67 baadae (1213 BC) kwa maradhi ya mishipa, na ini.
Aliongoza Misri kwa miaka 67 akiwa ni wa pili kuongoza kwa kipindi kirefu zaidi katika historia ya mapharao.

Mbali na Vita Ramses II anakumbukwa mno katika juhudi za utunzaji wa Historia ya Misri katika mahekalu ya Ramesseum pamoja na Abu Simbel.
Kwa kumbukumbu nyingi muhimu zilizomo katika mahekalu haya kwa sanamu, zana za kale, michoro na maandishi zinamfanya Ramsess kuwa mmoja wa mapharao muhimu wa misri ya kale.

Jeshi la Rammeses lilisaidia kulinda mipaka ya Misri kutoka kwa wavamizi na majambazi katika Meditrenian na Libya pia kutoka Hittites na Nubians.

Pia Alifanya kampeni za kurudisha ardhi iliyokuwa imeporwa na wavamizi kwa kusign mikataba ya amani kabla ya kutumia nguvu kuwapiga.

Katika historia Ramesses alishindwa vita moja tu! vita inayokumbukwa sana ni ile iliyofanyikia Kadesh (Syria ya leo) ambayo ilifanyika mwaka 1274 BC dhidi Wahiti. Ilikuwa ni vita kubwa iliyotumia zana za kisasa zaidi wakati huo katika historia ya vita za kale. Rameses alifanya makosa kwa kugawa vibaya vikosi vyake kitu kilichofanya moja ya kikosi kufyekwa chote! Hatimaye mpinzani akajitangazia ushindi na Ramesses ikampasa arudi nyuma sababu ya kujiandaa kubaya na matatizo ya vifaa.

Dhana iliyozushwa Juu ya Kifo chake!

Vitabu kadhaa vya Dini kama vile Bible na Quran vimekuwa vikizungumzia kifo chake katika hali ya kushangaza!
Wao hudai kuwa Ramesses au Sese alifia kwenye maji wakati akiwafukuza waisrael!
Wamisri wa kale wakipinga kabisa madai hayo na kudai Sese alifariki akiwa na miaka zaidi ya 87 kutokana na maradhi! ya kibinadamu!
Moja ya ushahidi ni wa Mwili/mummy wa Sese ambao unaonekana wazi kuwa mtu huyo alifariki akiwa mzee kabisa!
Pia jambo jingine la kujiuliza ni kuwa Kina Musa wakati wakimkimbia Ramesses na kuwa wameshafanikiwa kuvuka bahari, huku nyuma waliwezaje kumuona Ramesses katikati ya kikosi cha askari wa misri akifa maji!? Hayo ni mambo yanayowatatiza wengi, huku wengine wakienda mbali zaidi kuwa Ramesses mwili wake huwa hautaki kuzikwa!

Huyu Ndo Great Ramesses II au Sese mmoja wa Mapharao Muhimu zaidi Eghypt ya kale na leo katika historia,

View attachment 500056
MWILI WA PHARAO RAMESSES ll / Firauni Uliopo kwenye maonyesho ya Ancient Egypt.
View attachment 463572
SANAMU YA GREAT RAMESSES II ILIYOPO GIZA EGYPT

Nawasilisha
Secret Star
Umeanza kwa kushambulia wasomi na imani zao. Ukamaliza kwa kuwasilisha.

Nijibu
Ulikuwepo wakati huo? Maana hujaeleza taarifa umepata wapi. Kama umehadithiwa, hudhani waweza pia danganywa? Kama umesoma hadithi hii, toa rejea zake.

Hapo unahisi umemaliza kuelezea ukweli wa swala hilo? Kwa ushahidi upi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu sio vichaa mzee, Daktari kutoka Uingereza ndiye aliyethibithisha, kuwa Mapharao walikuwa ni black, kupitia matokeo ya DNA ya ramsey lll, alithibitisha kuwa vinasaba avyovikuta katika mwili wa Ramsey lll, vinapatikana katika nchi za sahara Ethiopia Kenya na Sudan! soma wikipedia au

Acha ubishi usio na kichwa wa miguu mzee.

Mwisho wa siku nilijua tu nitakutana na maneno kama haya.

Yani hii ni sawa na ile "Mange amesema"

Unapinga alichosema Mmasai wa Karatu kwa kutumia alichosema Mmasai wa Longido

Alafu unajiona bonge la mtu mwenye hoja[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Kweli uafrika nao tabu. Siku huyo jamaa akisema tena hivi, utakuja na kusema aliyosema. Yani yeye ndio ushahidi wako [emoji3] [emoji3]

Nimekuwa nikifuatilia pia uzi huu, kwani mzee nikuulize swali, Ni aina gani ya habari ndiyo huwa unaiamini kuwa ndiyo yenye ukweli kwa asilimia zote? Nafikiri ukijibu tu hili swali Dogo, Secret Star ataweza kukupa unachokitaka bila matata. Mambo ya wamasai na Mange yanatoka wapi kwenye Ancient Egypt mbaba[emoji2]
 
Alafu sio watu wa pink tu, mbona kuna waasia, na jaribu kuelewa kuwa civilization imeanzia kwetu na inarudi tena kwetu! Hichi kitu ni kama wingu kubwa na linaakaa mahali kwa muda alafu linaondoka linakwenda kwingine!
Kikubwa ni ku have faith in yourself! Kama wao wameweza kwa nini mimi nisiweze! Angalia kina Dangote wametoka wapi! Nuia jipe ujasiri, hakika hakuna kitu utakacho shindwa hapa duniani! Nakutakia maisha mema yaliyojaa ujasiri tele!
My Queen wapi jamani nakutafuta sehemu zote sikupati
Don't do this to me
Contact me please even pm
 
Mnaemuita firauni ni babu yenu, wa asili! alikuwa ni Mweusi tii!! jina lake aliitwa Mkuu Ramesses wa II au Sese!

Nimekuwa nikiona habari kutoka kwa watu, kuwa mwili wa Ramesses ll huwa ukizikwa, unarudi juu kesho yake!!![emoji4][emoji5][emoji5]

Hivi hili linawezekanaje!! tena watu wenye akili timamu kabisa wanaamini hili! wenye Degree na PHD!! Kwa kweli ni maajabu makubwa mno haya! hapa utaamini kuwa Binadamu ni dhaifu sana kwenye imani!, na ni rahisi sana kumteka mtu yoyote akili kwa kutumia kivuli cha Dini/Imani..

Leo hii kitabu chochote kitakatifu kingesema Kuiba si dhambi na mtu ili ufike mbinguni ni lazima uwe mwizi, basi tungeshuhudia watu wengi wasomi na wasio wasomi wakiwa ni wevi!! Yote ni kwa sababu binadamu wengi ni weak mno kwenye Imani!

Turudi kwenye maada.

Great ramesses ll alizikwaje?

Mwanzo alizikwa kwenye kaburi KV7 katika Bonde la Wafalme, lakini kwa sababu ya uporaji wa vitu vya thamani alivyokuwa amevishwa, makuhani walihamisha mwili kutoka eneo hilo na kuupeleka ndani ya kaburi la malkia Inhapy.

Miaka mingi baadae waliuhamishia tena mwili kwenye kaburi la kuhani mkuu Pinudjem II. Yote hii ni sababu ya kumbukumbu katika hieroglyphics.

Kutokana na matetemeko yaliyoikumba Giza miaka kati ya miaka 1000 AD hadi 1500 AD vitu vingi vilipotea huku baadhi ya masanamu mengi yakiharibiwa vibaya na matetemeko hayo, na baadhi ya makaburi, majumba, na makumbusho mengine kupotea kabisa!
Huku mwili Wa Great Ramesses ll Nao ukipotea katika matetemeko hayo.

Mwanzoni mwa miaka ya 1800, mwili huu ulipatikana tena pembezoni kidogo mwa Red sea.

Ramesses ll, hakufa kwenye Gharika la Mussa kama watu wanavyodai, mwili wake hadi sasa unathibitisha kuwa alikufa akiwa mzee, zaidi ya miaka 80 kwa maradhi ya kawaida.

Pia si mwili wa ramesses ll tu uliopo kwenye makumbusho ya misri, ni miili mingi ya Mapharao tofauti na baadhi ya watu walioishi kwenye Egypt ya kale.

"Historia yake kwa Ufupi"

Ramesses II, au kwa jina jingine Sese alikuwa ni mfalme wa pili wa Uzao wa 19 wa familia ya kifalme. Na alikuja kuwa miongoni mwa Mapharao wenye nguvu kuwahi kuwepo Misri.

Ramesses II alipewa kiti cha Ufalme mapema kwenye umri wa miaka 20 na akaongoza (kati ya mwaka 1279 BC) hadi alipofariki miaka 67 baadae (1213 BC) kwa maradhi ya mishipa, na ini.
Aliongoza Misri kwa miaka 67 akiwa ni wa pili kuongoza kwa kipindi kirefu zaidi katika historia ya mapharao.

Mbali na Vita Ramses II anakumbukwa mno katika juhudi za utunzaji wa Historia ya Misri katika mahekalu ya Ramesseum pamoja na Abu Simbel.
Kwa kumbukumbu nyingi muhimu zilizomo katika mahekalu haya kwa sanamu, zana za kale, michoro na maandishi zinamfanya Ramsess kuwa mmoja wa mapharao muhimu wa misri ya kale.

Jeshi la Rammeses lilisaidia kulinda mipaka ya Misri kutoka kwa wavamizi na majambazi katika Meditrenian na Libya pia kutoka Hittites na Nubians.

Pia Alifanya kampeni za kurudisha ardhi iliyokuwa imeporwa na wavamizi kwa kusign mikataba ya amani kabla ya kutumia nguvu kuwapiga.

Katika historia Ramesses alishindwa vita moja tu! vita inayokumbukwa sana ni ile iliyofanyikia Kadesh (Syria ya leo) ambayo ilifanyika mwaka 1274 BC dhidi Wahiti. Ilikuwa ni vita kubwa iliyotumia zana za kisasa zaidi wakati huo katika historia ya vita za kale. Rameses alifanya makosa kwa kugawa vibaya vikosi vyake kitu kilichofanya moja ya kikosi kufyekwa chote! Hatimaye mpinzani akajitangazia ushindi na Ramesses ikampasa arudi nyuma sababu ya kujiandaa kubaya na matatizo ya vifaa.

Dhana iliyozushwa Juu ya Kifo chake!

Vitabu kadhaa vya Dini kama vile Bible na Quran vimekuwa vikizungumzia kifo chake katika hali ya kushangaza!
Wao hudai kuwa Ramesses au Sese alifia kwenye maji wakati akiwafukuza waisrael!
Wamisri wa kale wakipinga kabisa madai hayo na kudai Sese alifariki akiwa na miaka zaidi ya 87 kutokana na maradhi! ya kibinadamu!
Moja ya ushahidi ni wa Mwili/mummy wa Sese ambao unaonekana wazi kuwa mtu huyo alifariki akiwa mzee kabisa!
Pia jambo jingine la kujiuliza ni kuwa Kina Musa wakati wakimkimbia Ramesses na kuwa wameshafanikiwa kuvuka bahari, huku nyuma waliwezaje kumuona Ramesses katikati ya kikosi cha askari wa misri akifa maji!? Hayo ni mambo yanayowatatiza wengi, huku wengine wakienda mbali zaidi kuwa Ramesses mwili wake huwa hautaki kuzikwa!

Huyu Ndo Great Ramesses II au Sese mmoja wa Mapharao Muhimu zaidi Eghypt ya kale na leo katika historia,

View attachment 500056
MWILI WA PHARAO RAMESSES ll / Firauni Uliopo kwenye maonyesho ya Ancient Egypt.
View attachment 463572
SANAMU YA GREAT RAMESSES II ILIYOPO GIZA EGYPT

Nawasilisha
Secret Star
Ok
 
Back
Top Bottom