Ijue historia ya kaburi la Sharif Abdushakur Salim Al Attas lililopo Samora, Posta Jijini Dar es Salaam

Aliuliza swali kwa lengo la kupata ufafanunuzi kutoka humu akiwa ana imani kuna watu wangekuja na majibu sahihi. Unaweza ukamuuliza huyo anayefanya usafi hapo na bado asiwe na majibu. Mpaka muulizaji kaja humu ina maanisha kajaribu kuwauliza watu waliopo karibu na hilo kaburi, lakini hakuweza kupata majibu ya kuridhisha, ndio maana akaamua kulileta hilo suala hapa jukwaani.

Nashukuru, umejibu kwa ustaarabu, na nimekuelewa. Hongerasana.
 
Umeona like yangu huko??
Yapata meta 300 hivi kusini mwa mnara wa saa jijini Dar es salam ipo bustani ya mda sana kama miaka 220 iliopita upande wa magharibi kuna Barbara ya samora samora na India steet huku upande wa kaskazini Na kusini kuna barabara ya aggrey na mosque street lakini upande wa kusini mwa mwa bustani hiyo ya kale kuna kaburi kongwe sana lisilokuwa na jina wala mwaka wala alama yeyote ile limekua mahali hapo yapata miaka karibu 200 hivi

Je ni nani huyu asiyekua hana jina ?
Kwanini alizikwa mahali pale tena peke yake!!

Twende sasa taratibu.....
Ni wachache sana wanajua siri ya kaburi hili la mtu asijulikana wala jina lake halipo hata mamlaka zimekaa kimya juu ya kaburi hili lililopotea hasa halmashauri ya jiji
Sharrif Abdul Shakur Sali'm L'attasi alifariki dunia mwaka 1862 kabla Seyyid Majjid wa Oman na wakoloni wa kijerumani kutua hapa nchini ndie alizikwa hapo
Kwenye miaka hiyo wakati jiji la Dar es salaam paliitwa Mzizima eneo hilo kuanzia clock tower mpaka kule. Magomeni likitawaliwa na Diwani Sharif Abdul L'aatasi
Ambaye ndio amelazwa hapo peke yake

Kwanini alizikwa mahali pale?
Ni maswali ya kujiuliza kaburi katikati ya mji lisilo na jinalimekujaje hapo

Jibu hili hapa....
Mnamo mwaka 1820 ulikuwapo msikiti ambao ulijengwa na Huyu bwana Sharif Abdul L'aatasi kwa kusaidiana na Wandugu wengine wa Mzizima wakati huo
Msikiti huo wa udongo wa kuchoma na miti uliendelea kuwako hadi mwaka 1865 wakati Sayyed Majjid akiishi jumba alilojenga ambalo sasa ni ikulu ya Magogoni
Wakoloni walipokuja wa kujerumani mnano 1885 baada ya kifo cha Sayyed Majid walifanya kazi na Laatasi kama Kadhi mkuu mpaka alipofariki dunia

Diwani Laataasi Sharif ni mzaliwa wa Mzizima lakini anaasili ya damu ya Uajemi au Persian alikuwa maarufu sana pia aliaminika sana na Wajerumani alifariki mwaka 1860 hivi na kuzikwa nje karibu na msikiti wake
Mwanae Omary Salem L'aatasi alirithi kiti kama Kadhi mkuu
Wakati ule ulitokea mgongano mkubwa kati ya watu na imani zao hasa baada ya wajerumani kujenga maeneo. Hayo na shughuli za kijamii eneo LA msikiti wa L'aatasi hivyo ilibidi msikiti ule uhamishwe na watachangia kujenga msikiti mpya
Basi wajerumani walitoa rupee 50 kama fidia ya jengo jipya lakini ilitoka udhuru kaburi la Diwani Sharif Abdul Shakur L'aatasi na kutunza kumbukumbu
Eneo. Jipya lililojengwa msikiti likawa ndio hapo Msikiti wa Ijumaa wa Kitumbini ulipo kwa sasa
Kwa kawaida Wakoloni hasa wajerumani wanaheshimu Sana makaburi hasa ya watu ambao walisaidiana na wenzao kipindi cha ukoloni
Hivyo kaburi lake likabakia pale pale hadi Leo ambalo halikuandikwa jina(Kaburi la Asienajina) mjini kabisa
Watu siku hizi wamegeuza kiti cha kupunga upepo kaburi hilo
 
hilo no kaburi la shekhe mkuu wa msikiti wa kwanza kabisa wa mzizima ambao hapo awali ulikuwa maeneo ya magogoni karibu na ikulu,ukaja kuhamishiwa maeneo hayo ya clock tower nadhani bado upo had Ieo,ni msikiti wa miaka ya 1800,zama za usultani
Basi livunjwe mara moja
 
Asiyekuwa hana jina = Ana jina

(kama ulimaanisha hana jina [emoji777][emoji777][emoji777])

Simply say "Asiyekuwa na jina"

Halafu mara useme amekufa 1862 mara 1860...?? Mara useme wajerumani walipoingia nchini mwaka 1885 alifanya kazi......????? Hueleweki kabisa Kiongozi jaribu kupitia makabrasha vizuri utupie history iliyo makini

Yapata meta 300 hivi kusini mwa mnara wa saa jijini Dar es salam ipo bustani ya mda sana kama miaka 220 iliopita upande wa magharibi kuna Barbara ya samora samora na India steet huku upande wa kaskazini Na kusini kuna barabara ya aggrey na mosque street lakini upande wa kusini mwa mwa bustani hiyo ya kale kuna kaburi kongwe sana lisilokuwa na jina wala mwaka wala alama yeyote ile limekua mahali hapo yapata miaka karibu 200 hivi

Je ni nani huyu asiyekua hana jina ?
Kwanini alizikwa mahali pale tena peke yake!!

Twende sasa taratibu.....
Ni wachache sana wanajua siri ya kaburi hili la mtu asijulikana wala jina lake halipo hata mamlaka zimekaa kimya juu ya kaburi hili lililopotea hasa halmashauri ya jiji
Sharrif Abdul Shakur Sali'm L'attasi alifariki dunia mwaka 1862 kabla Seyyid Majjid wa Oman na wakoloni wa kijerumani kutua hapa nchini ndie alizikwa hapo
Kwenye miaka hiyo wakati jiji la Dar es salaam paliitwa Mzizima eneo hilo kuanzia clock tower mpaka kule. Magomeni likitawaliwa na Diwani Sharif Abdul L'aatasi
Ambaye ndio amelazwa hapo peke yake

Kwanini alizikwa mahali pale?
Ni maswali ya kujiuliza kaburi katikati ya mji lisilo na jinalimekujaje hapo

Jibu hili hapa....
Mnamo mwaka 1820 ulikuwapo msikiti ambao ulijengwa na Huyu bwana Sharif Abdul L'aatasi kwa kusaidiana na Wandugu wengine wa Mzizima wakati huo
Msikiti huo wa udongo wa kuchoma na miti uliendelea kuwako hadi mwaka 1865 wakati Sayyed Majjid akiishi jumba alilojenga ambalo sasa ni ikulu ya Magogoni
Wakoloni walipokuja wa kujerumani mnano 1885 baada ya kifo cha Sayyed Majid walifanya kazi na Laatasi kama Kadhi mkuu mpaka alipofariki dunia

Diwani Laataasi Sharif ni mzaliwa wa Mzizima lakini anaasili ya damu ya Uajemi au Persian alikuwa maarufu sana pia aliaminika sana na Wajerumani alifariki mwaka 1860 hivi na kuzikwa nje karibu na msikiti wake
Mwanae Omary Salem L'aatasi alirithi kiti kama Kadhi mkuu
Wakati ule ulitokea mgongano mkubwa kati ya watu na imani zao hasa baada ya wajerumani kujenga maeneo. Hayo na shughuli za kijamii eneo LA msikiti wa L'aatasi hivyo ilibidi msikiti ule uhamishwe na watachangia kujenga msikiti mpya
Basi wajerumani walitoa rupee 50 kama fidia ya jengo jipya lakini ilitoka udhuru kaburi la Diwani Sharif Abdul Shakur L'aatasi na kutunza kumbukumbu
Eneo. Jipya lililojengwa msikiti likawa ndio hapo Msikiti wa Ijumaa wa Kitumbini ulipo kwa sasa
Kwa kawaida Wakoloni hasa wajerumani wanaheshimu Sana makaburi hasa ya watu ambao walisaidiana na wenzao kipindi cha ukoloni
Hivyo kaburi lake likabakia pale pale hadi Leo ambalo halikuandikwa jina(Kaburi la Asienajina) mjini kabisa
Watu siku hizi wamegeuza kiti cha kupunga upepo kaburi hilo
 
Nataka kujua zaidi nitapataje hizi taarifa

Kuna bustani moja katikati ya jiji la Dar es salaam (katikati ya barabara ya Samora, India na Mosque) maeneo ya clock tower. Ukifika katika bustani hiyo, kitu cha kwanza utakachokiona pale ni kaburi lililojengewa na marumaru nyeupe na ambalo kwa mujibu wa watu waliozoea kukaa pale mara kwa mara ni kwamba kuna mtu maalumu ambaye hulifanyia usafi kila siku kwa kuliosha na kusafisha mazingira yaliyozunguka kaburi hilo (siyo bustani yote!) na hulipwa mshahara wake kwa kazi hiyo (sijui hulipwa na nani). Vile vile nimesikia kwamba baadhi ya watu huenda kuabudu pale nyakati za usiku.

Swali, je kaburi hili ni la nani ambaye ni muhimu sana kiasi hicho katika historia ya nchi yetu hadi akazikwa katikati ya jiji? Je, kaburi hili likihamishwa pale kama mengine yavyohamishwaga kutakuwa na athari gani?

Nilidhani mtu wa muhimu sana katika historia ya nchi yetu ni Marehemu Baba wa Taifa Mwl. Nyerere ambaye kama angelizikwa pale au sehemu inayofanana na hiyo ingetoa mwanya hata vizazi vyetu vijavyo kuona na kushuhudia alipolazwa mhasisi wa Taifa letu, vile vile kwa vitendo vya hawa MAFISADI tungeweza kuamua wana JF tukaenda kuwaombea dua baya.
Sasa pale kama ni hapo mjini maeneo ya Posta kuna tofauti gani kati ya usiku na mchana hadi wasubiri usiku ili kwenda hapo kuabudu? Au siku hizi hawaendi tena!?
 
Yapata meta 300 hivi kusini mwa mnara wa saa jijini Dar es salam ipo bustani ya mda sana kama miaka 220 iliopita upande wa magharibi kuna Barbara ya samora samora na India steet huku upande wa kaskazini Na kusini kuna barabara ya aggrey na mosque street lakini upande wa kusini mwa mwa bustani hiyo ya kale kuna kaburi kongwe sana lisilokuwa na jina wala mwaka wala alama yeyote ile limekua mahali hapo yapata miaka karibu 200 hivi

Je ni nani huyu asiyekua hana jina ?
Kwanini alizikwa mahali pale tena peke yake!!

Twende sasa taratibu.....
Ni wachache sana wanajua siri ya kaburi hili la mtu asijulikana wala jina lake halipo hata mamlaka zimekaa kimya juu ya kaburi hili lililopotea hasa halmashauri ya jiji
Sharrif Abdul Shakur Sali'm L'attasi alifariki dunia mwaka 1862 kabla Seyyid Majjid wa Oman na wakoloni wa kijerumani kutua hapa nchini ndie alizikwa hapo
Kwenye miaka hiyo wakati jiji la Dar es salaam paliitwa Mzizima eneo hilo kuanzia clock tower mpaka kule. Magomeni likitawaliwa na Diwani Sharif Abdul L'aatasi
Ambaye ndio amelazwa hapo peke yake

Kwanini alizikwa mahali pale?
Ni maswali ya kujiuliza kaburi katikati ya mji lisilo na jinalimekujaje hapo

Jibu hili hapa....
Mnamo mwaka 1820 ulikuwapo msikiti ambao ulijengwa na Huyu bwana Sharif Abdul L'aatasi kwa kusaidiana na Wandugu wengine wa Mzizima wakati huo
Msikiti huo wa udongo wa kuchoma na miti uliendelea kuwako hadi mwaka 1865 wakati Sayyed Majjid akiishi jumba alilojenga ambalo sasa ni ikulu ya Magogoni
Wakoloni walipokuja wa kujerumani mnano 1885 baada ya kifo cha Sayyed Majid walifanya kazi na Laatasi kama Kadhi mkuu mpaka alipofariki dunia

Diwani Laataasi Sharif ni mzaliwa wa Mzizima lakini anaasili ya damu ya Uajemi au Persian alikuwa maarufu sana pia aliaminika sana na Wajerumani alifariki mwaka 1860 hivi na kuzikwa nje karibu na msikiti wake
Mwanae Omary Salem L'aatasi alirithi kiti kama Kadhi mkuu
Wakati ule ulitokea mgongano mkubwa kati ya watu na imani zao hasa baada ya wajerumani kujenga maeneo. Hayo na shughuli za kijamii eneo LA msikiti wa L'aatasi hivyo ilibidi msikiti ule uhamishwe na watachangia kujenga msikiti mpya
Basi wajerumani walitoa rupee 50 kama fidia ya jengo jipya lakini ilitoka udhuru kaburi la Diwani Sharif Abdul Shakur L'aatasi na kutunza kumbukumbu
Eneo. Jipya lililojengwa msikiti likawa ndio hapo Msikiti wa Ijumaa wa Kitumbini ulipo kwa sasa
Kwa kawaida Wakoloni hasa wajerumani wanaheshimu Sana makaburi hasa ya watu ambao walisaidiana na wenzao kipindi cha ukoloni
Hivyo kaburi lake likabakia pale pale hadi Leo ambalo halikuandikwa jina(Kaburi la Asienajina) mjini kabisa
Watu siku hizi wamegeuza kiti cha kupunga upepo kaburi hilo
Siku ya kwanza kabisa kuingia posta nikitokea kunduchi nilifik Nikaa kwenye hiyo bustan nikawa nashangaa jinsi palivyo andaliwa watu unakuta nyomi pale wamekula zao pozi hawana time kumbe pale ni kaburini [emoji119] alafu kuna vibaka mateje pale ndio geto kwao wakisha buya dona Jf shikamoo your more than
 
Yapata meta 300 hivi kusini mwa mnara wa saa jijini Dar es salam ipo bustani ya mda sana kama miaka 220 iliopita upande wa magharibi kuna Barbara ya samora samora na India steet huku upande wa kaskazini Na kusini kuna barabara ya aggrey na mosque street lakini upande wa kusini mwa mwa bustani hiyo ya kale kuna kaburi kongwe sana lisilokuwa na jina wala mwaka wala alama yeyote ile limekua mahali hapo yapata miaka karibu 200 hivi

Je ni nani huyu asiyekua hana jina ?
Kwanini alizikwa mahali pale tena peke yake!!

Twende sasa taratibu.....
Ni wachache sana wanajua siri ya kaburi hili la mtu asijulikana wala jina lake halipo hata mamlaka zimekaa kimya juu ya kaburi hili lililopotea hasa halmashauri ya jiji
Sharrif Abdul Shakur Sali'm L'attasi alifariki dunia mwaka 1862 kabla Seyyid Majjid wa Oman na wakoloni wa kijerumani kutua hapa nchini ndie alizikwa hapo
Kwenye miaka hiyo wakati jiji la Dar es salaam paliitwa Mzizima eneo hilo kuanzia clock tower mpaka kule. Magomeni likitawaliwa na Diwani Sharif Abdul L'aatasi
Ambaye ndio amelazwa hapo peke yake

Kwanini alizikwa mahali pale?
Ni maswali ya kujiuliza kaburi katikati ya mji lisilo na jinalimekujaje hapo

Jibu hili hapa....
Mnamo mwaka 1820 ulikuwapo msikiti ambao ulijengwa na Huyu bwana Sharif Abdul L'aatasi kwa kusaidiana na Wandugu wengine wa Mzizima wakati huo
Msikiti huo wa udongo wa kuchoma na miti uliendelea kuwako hadi mwaka 1865 wakati Sayyed Majjid akiishi jumba alilojenga ambalo sasa ni ikulu ya Magogoni
Wakoloni walipokuja wa kujerumani mnano 1885 baada ya kifo cha Sayyed Majid walifanya kazi na Laatasi kama Kadhi mkuu mpaka alipofariki dunia

Diwani Laataasi Sharif ni mzaliwa wa Mzizima lakini anaasili ya damu ya Uajemi au Persian alikuwa maarufu sana pia aliaminika sana na Wajerumani alifariki mwaka 1860 hivi na kuzikwa nje karibu na msikiti wake
Mwanae Omary Salem L'aatasi alirithi kiti kama Kadhi mkuu
Wakati ule ulitokea mgongano mkubwa kati ya watu na imani zao hasa baada ya wajerumani kujenga maeneo. Hayo na shughuli za kijamii eneo LA msikiti wa L'aatasi hivyo ilibidi msikiti ule uhamishwe na watachangia kujenga msikiti mpya
Basi wajerumani walitoa rupee 50 kama fidia ya jengo jipya lakini ilitoka udhuru kaburi la Diwani Sharif Abdul Shakur L'aatasi na kutunza kumbukumbu
Eneo. Jipya lililojengwa msikiti likawa ndio hapo Msikiti wa Ijumaa wa Kitumbini ulipo kwa sasa
Kwa kawaida Wakoloni hasa wajerumani wanaheshimu Sana makaburi hasa ya watu ambao walisaidiana na wenzao kipindi cha ukoloni
Hivyo kaburi lake likabakia pale pale hadi Leo ambalo halikuandikwa jina(Kaburi la Asienajina) mjini kabisa
Watu siku hizi wamegeuza kiti cha kupunga upepo kaburi hilo
Siku ya kwanza kabisa kuingia posta nikitokea kunduchi nilifik Nikaa kwenye hiyo bustan nikawa nashangaa jinsi palivyo andaliwa watu unakuta nyomi pale wamekula zao pozi hawana time kumbe pale ni kaburini [emoji119] alafu kuna vibaka mateje pale ndio geto kwao wakisha buya dona Jf shikamoo your more than moja ya siri ya nchi ambayo nimeijua ni hii maake kuna watu hupozi pale paspo kujua haya mtoa mada asante
 
Haujui panapoongelewa hapa, sio hapo posta ya zamani unapopafikilia wewe, ni huku mnara wa saa, panapoanzia 0kilomita. ndipo hiyo bustani na kaburi hilo vinapatikana.
 
Nyerere hata angezikwa wapi. Nothing helps.

Kaburi la Nyerere lina mifupa ya Nyerere ndani. Hakuna linakachosaidia nchi hii. Acha kudeal na makaburi.
 
KWAKUANZIA NAOMBA MUMTAFUTE HUYU MJUKUU YUPO FB NA HUWA ANAPOST SANA KUHUSU HUYU BABU YAKE. NA PIA KWENYE GAZETI LA RAIA MWEMA WAMESHAWAHI KUANDIKA MAKALA KUHUSU HUYU MZEE.
Screenshot_20190824-140015.jpeg
 
Mkuu Asante kwa hii clarifications ila historia ina sema Ikulu ya magogoni ilijengwa na Wakoloni wa Kijerumani hapo imekaaje mkuu?
Jengo hilo la sasa ndiyo limejengwa na Mjerumani ila sehemu lilipo, palikuwa na jengo la utawala wa hao waliowatangulia.
 
Back
Top Bottom