tansoma
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,209
- 580
Thread imeharibika kwa propaganda na kumaliza kabisa legacy yake badala ya kui cherish.
Mirembe umetoka lini?????????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thread imeharibika kwa propaganda na kumaliza kabisa legacy yake badala ya kui cherish.
Akhi l kareem ubaya aliokuwa nao Ally sykes na mashujaa wenzake ni KUWA WAISLAMU TU! baaas!
Yule muasisi wa mfumo kristo alichukia waislamu toka amezaliwa huko butiama mpaka siku anakufa!
Laana tullaah!
Mirembe umetoka lini?????????
Tunawajuwa nyie , uzao wa binamu nyama ya hamu..mpo dhaifu sana ktk productivity, elimu na mifumo endelevu....Muda wot eni kulia kudhukumiwa wakati hawaonekani wakitafuta wala kutoka jasho.....
Kila mji mna kesi unique za kugombea mirathi.....sasa hata kitaif amnataka jenga mazingira ya kudaia mirathi.....si mkachukue mali zake..bank ,nyumbani kwake..kwani Nyerere alichukua nini?
Nilitoka ulipoingia...
labda mwandishi wa thread hii angeongeza uhondo kwa kusema what went wrong hadi akafutwa kwenye historia kwani muandishi wa thread anaonekana anamjua vizuri sana huyu bwana sykses!!! ila sijaelewa inaposemekana kua hawa kina sykes wamefutwa ktk historia si hadi 90's kuna sykes alikua ni mkuu wa mkoa wa dar au ni kukumbukwa kupi kunako zungumziwa??
labda mwandishi wa thread hii angeongeza uhondo kwa kusema what went wrong hadi akafutwa kwenye historia kwani muandishi wa thread anaonekana anamjua vizuri sana huyu bwana sykses!!! ila sijaelewa inaposemekana kua hawa kina sykes wamefutwa ktk historia si hadi 90's kuna sykes alikua ni mkuu wa mkoa wa dar au ni kukumbukwa kupi kunako zungumziwa??
Mkuu hili swali lako jibu lake liko waazi kabisa!
Muasisi wa MFUMO KRISTO alifanya kazi ya ziada na kuhakikisha kuwa yeyote yule aliyeshiriki ktk mapinduzi ya taifa letu AMBAE NI MUISLAMU basi asitambulike wala kuingia ktk historia!
Halafu baada ya kulifanya hilo kabla ya kung'atuka alihakikisha zile idara zinazohusika na uhifadhi wa historia yetu kwa kupitia school syllabus au vitabu vya historia aliweka watu wake ambao walikuwa wanakifanya kile walicho amrishwa kukifanya!
Ambacho ni kuhakikisha kuwa anapotajwa MUISLAMU BASI ASITAJWE KWA SIFA NZURI ITAKAYO HIFADHIKA KTK HISTORIA!
Waislamu walipokuja juu jamaa alivyokuwa mnafiki ktk moja ya hutba zake anasema "waislamu wamechangia kiasi kikubwa sana ktk kuipatia uhuru nchi hii...." na akaongezea kusema eti kwa mapenzi aliyonayo juu ya waislamu hata mpishi wake ni MUISLAMU!
MNFNSSSSSSSSSSS!
Laana aliotuachia mpaka leo imeligawa taifa!
Hii ndio sababu kuu ya mashujaa wengi wa taifa hili waliokuwa WAISLAMU kufutwa na kupotea ktk HISTORIA ZETU HAPA TZ.
Leo tunapata makombo kama CDM ya huo mfumo yanayo tuletea majanga mengine!
2015 lzm tusafishe uchafu huu kwa hali na mali!!
Unajua unapoongea na mlevi lazima uwe na subra sana!
Unamwambia haya ni maji yeye anakwambia hapana hii ni sukari!!
Nani kaongelea suala la kumrithi mtu hapa!
Haki ilikaliwa na yule mnaetaka kumpa utakatufu! Mazingira yamechafuliwa mara baada ya kupata uhuru tu!
Na bahati mbaya watu km nyie mnarithi vilivyo vibaya tu!
Nia na madhumuni ya CDM ni kuulea na kuuendeleza MFUMO KRISTO!.
Na sisi tunashkuru kuwa vijana wameshaanza kazi ya kuufuta tartiibu!
Tena mlevi km wewe pia utafaidika kiafya kama mfumo huu hautokuwepo ktk jamii yetu!
Sasa badala ya kupingana na sisi mi nakushauri ukae kimya tu! Manake hatutaki msaada wwt kutoka kwa walevi!
Utakuja tushkuru baadae. I promise!
Basi unatakiwa urudi kumalizia dozi yako!
Na hizo pombe za moshi ndio zitakumaliza kabisa! Meku!!
NImeonge mimi kuhursu suala la urithi..vipi hujaelewa kwanini?Wewe ni kumbe wa kiwango cha chini sana kifikra..mnakurupuka kama nyumbu tuu just because mmezeshwa ujinga basi mnajion mmekuwa intellectuals.
Nakusubiri utoke.....km akili yako ni ile ya ..kukataa Kiti Moto kipindi cha Neema ila ukikaribia kufa ndipo ukile ili upone...Ni wazi hujui ufanyalo...Mnakipa kiti moto Nafasi ya mwokozi...Akufaaye wakati wa dhiki ndie rafiki wa kweli.
KIla kitu cheni ni chukizo na aibu hakimtukuzi Mungu,ila kinawadhalilisha hata nyie wenyewe, ndio maan ni washari siku zote.It embarassing
Hawa ndio wale mashujaa waliofunikwa majina yao na sifa zao na MFUMO KRISTO!
Mungu awalaani waanzilishi wa mfumo kristo TZ!
AMIN.
Hawa ndio wale mashujaa waliofunikwa majina yao na sifa zao na MFUMO KRISTO!
Mungu awalaani waanzilishi wa mfumo kristo TZ!
AMIN.
Nyerere angechukia uislam sidhani kama waislam wangepata fursa ya kusoma.Shule nyingi wakati wa uhuru zilikuwa zinamilikiwa na makanisa ,chache na serikali na za mwisho kwa uchache hata 30 hazikufika ndo zilikuwa zikimilikiwa na waislam.Waislam wakati huo walikuwa wamebobea kwa kujenga madrasa....hii ni kutokana na historia ya walioleta hiyo dini (waarab) hawakuwa na mkazo katika elimu dunia kama ilivyokuwa kwa walioleta ukristo(wazungu).
Hivyo waislam wanapaswa kumshukuru sana Nyerere kwa kutaifisha shule za makanisa ili waislam pia wapate kusoma.Lakini leo hii Nyerere anaambiwa alichukia uislam.....Tuwe wakweli na wenye shukrani
St.Mary's Sec school ( Catholic). Now Milambo Tabora
Mazengo sec (Angrican)
Rungwe sec (Moravian)
Milala sec (Catholic)
Kamtalamba ( Catholic) etc
Hizo ni chache tu zilizotaifishwa wakati huo
We unaoneka ktk kusoma kwako kooote unajua historia ya tabora tu!
Unapojenga hoja kijana jaribu kuwa nje ya box!
Kwanza Wapi binaadamu mwenye akili ukamuona ANASIFIA UTAIFISHAJI WA MALI ZA WATU??!!
Huyo nyenyere wako alikuwa mdhulumati mkubwa wa HAKI ZA BINAADAMU! Na wakati wa uhai wake alikuwa akisifu namna gani yeye anaweza kumfunga mtu bila kupitia mahkamani!
Hebu msikilize mchungaji anasema nini kuhusu NYERERE NA UCHAFUZI WAKE WA MAZINGIRA!
Watch "TANZANIA SERIKALI ALIOTUACHIA NYERERE INAVYO WAFANYA WAISLAM" on YouTube - https://www.youtube.com/watch?v=E5UJHGkVu00&feature=youtube_gdata_player
Udini wake umeponza waislamu mpaka leo! Na kuna vyama kama CDM vinataka kurithi mwenendo wake!
Unataja shule mbili tatu ambazo BADO ZIMO KTK MFUMO KRISTO halafu unasema uongo kuwa zimewasaidia waislamu!
Mnfnsssssssssssss!
Nakupa homework kidogo! Wakati wa uongozi wa huyu mchonga meno zaidi ya miaka 20 ni shule ngapi za kiislamu alizo zisajili? Na ni shule ngapi za Kigalatia alizo zisajili?
Ukipata jibu rudi hapa utufahamishe ili tuone NAMNA GANI NYENYERE ALISAIDIA WAISLAMU KTK SUALA ZIMA LA ELIMU!
Sio kuropoka vitu usivyokuwa na elimu navyo!
Ulitaka Nyerere asajiri shule gani wakati nyie mnajenga madrasa? Huu ni ukweli usiopingika kuwa waislam hawakutia kipaumbele kwenye Elimu dunia.Mfano halisi;wakristo wana vyuo vikuu vingapi walivyojenga mwenyewe? Na waislam wasingepewa chuo cha Tanesco pale Morogoro sijui ingekuwaje....chuo chenyewe tangu mmepewa wakati wa Mkapa ambaye ni mkristo hakina maendeleo yoyote.....Sasa sijui mnataka mbebwe mgongoni ndo muonekane mnapendwa.
Kwanini katika story zenu hamuoneshi kwanini Nyerere aliwatenga akina Sykes? Tatizo hao mnaowatetea waliweka maslahi ya dini mbele kuliko maslahi ya Tanzania.Nyerere hakupatana na mtu yeyote aliyekuwa na itikadi zinazoweza kuhatarisha mshikamano wa nchi.
NB. Waislam sio watanzania daraja la kwanza,Watanzania wote ni sawa