Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Bila shaka huu ni ukoo wa Dully Sykes
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona mimi sijawahi kumsoma kama ni mpigania uhuru?? wewe ulimsoma wapi?? sheikh ilunga ametuasa sana tusome historia
Unaenzi kwa kuwazika ili isaidie nn? Acha wafu wazike wafu wenzao.
Viongozi wa dini wote walikuwepo?
Viongozi wa Dini ya KirastaFari walikuwepo?
Viongozi wa Dini ya Kiyahudi walikuwepo?
Viongozi wa Dini ya Su-Yang walikuwepo?
Viongozi wa Soka walikuwepo?
Viongozi wa ..... Walikuwepo?
Umeathiriwa na udini sana, halafu ajabu sana unalaumu kuwa "wazee wako" hawaenziwi na serikali huku wewe ni mfia ccm hiyo hiyo ya Julius Nyerere unaemdhihaki kila uchao!
Nikufunde ndugu,
Chama cha siasa misiba sio nembo ya siasa zake!
Mwenye nyota ya misiba ni mwenyekiti wa chama chako ccm tu katika nchi hii!
Ritz tatizo lenu ni hilo tu mnajua kupaza sauti na kushabikia vitu kwa pupa bila kuelewa sijajifananisha na mtu hapo mimi kama mzaliwa wa tanzania niliyesoma vidato vingi sijawai kufundishwa ktk historia kwamba huyo mtu ulomtaja ni muasisi ndo maana nikauliza na sijajitolea mfano kazania elimu dunia itakupanua mawazo ndugu yanguLabda tufahamishe wewe ni nani katika taifa letu una mchango upi mpaka ujitolee mfano.
hivi kuenzi unakutafsiri vipi?? naweza kujitokeza kwenye mazishi kujionesha kimwili namuenzi lakini rohoni sina hata chembe ya kumheshimu kutohudhuria viongoz wa CDM haimaanishi kwamba hawamuenzi nyerere kila mwaka watu wanamuadhimisha jee wote wanaohudhuria kumbukizi zake wanamuenzi?? ifike mahali uwe great thinker heshima haitoki mdomoni bali mioyoniChadema ni taasisi kama kinavyojieleza, kwa hiyo unataka kuniambia Chadema hawana shida ya kuwaenzi wapigania uhuru.
Ritz tatizo lenu ni hilo tu mnajua kupaza sauti na kushabikia vitu kwa pupa bila kuelewa sijajifananisha na mtu hapo mimi kama mzaliwa wa tanzania niliyesoma vidato vingi sijawai kufundishwa ktk historia kwamba huyo mtu ulomtaja ni muasisi ndo maana nikauliza na sijajitolea mfano kazania elimu dunia itakupanua mawazo ndugu yangu
mkuu hujibu kabisa swali langu mbona hasomwi shuleni??? ok tuyaache hayo hivi ile historia anayoisemaga ilunga iko sahihi?? samahani lakini kama hutojaliTakusaidia kitu kimoja hujue historia ambao ipo na watu wameishoma ni ya TANU ilioandikwa chuo cha kivukoni humo Ally Sykes katajawa katika waasisi wa TANU.
Tafuta hivi vitabu A Modern History of Tanganyika kimeandikwa na John Illiffe 1977.
Kingine The Making of Tanganyika kimeandikwa na Judith Listowel 1965
Utamkuta Ally Sykes na wazalendo wengine ambao wamesahaulika.
mkuu hujibu kabisa swali langu mbona hasomwi shuleni??? ok tuyaache hayo hivi ile historia anayoisemaga ilunga iko sahihi?? samahani lakini kama hutojali
nilikuwa namaanisha kwenye mfumo rasmi kwa mfano yeyote aliyesoma la kwanza mpaka la saba atake au asitake amemsoma nyerere nilimaanisha hapo tu maana sie wengine ni wavivu wa kusakanyua news nje ya vitabu vya kwenye mtaalaMkuu wangu si umesema umesoma vidatu vingi lakini hakuna sehemu umefundishwa kuwa Ally Sykes ni mwasisi au nakusingizia.
Mie nikakujibu kitabu cha historia ya TANU kilichoandikwa na chuo cha Kivukoni kimemtaja Ally Sykes pamoja kuwa na mapungufu mengi. Kama umesoma Chuo Kikuu nenda kwenye historia ya Tanganyika utakutana na jina la Ally Sykes.
Historia ya Ilunga mie sijapata kuisikia mie nimemjua Ally Sykes kupitia vitabu nilivyokutajia na wazee wangu.
nilikuwa namaanisha kwenye mfumo rasmi kwa mfano yeyote aliyesoma la kwanza mpaka la saba atake au asitake amemsoma nyerere nilimaanisha hapo tu maana sie wengine ni wavivu wa kusakanyua news nje ya vitabu vya kwenye mtaala
Ritz, hapa tunaomboleza kifo cha mmoja katika wazee wetu waliokuwa mstari wa mbele katika harakati za kupambana na mkoloni mwingereza, naomba usiingize mambo yasiyohusika ukaharibu kabisa salamu za rambirambi za wana jukwaa. Kama una mengine angalau subiri kidogo ikiwezekana hata wiki halafu anzisha mada, tutachangia kama kawaida.mwungwana,
Jitahidi kutafuta hivyo vitabu watoto wako siku mmoja wanaweza kuja kukubana kuhusu historia ya Tanganyika.
Ukitaka kuhakiki kwa kina kutengwa kwa mpigania uhuru ni lazima kuwapitia wote bila ubaguzi acha Nyerere aliyekuwa juu kwani yeye kwa nafasi yake alisikika zaidi. Utakuta si familia ya sykes tu na pengine wapo waliokuwa hali mbaya kuliko hao akina sykes.
Unajua ziliko familia za akina SECIL MATOLA na DK. VEDASTO KYARUZI. Je, umewahi hata kuzisikia? Yumkini sykes wamesikika japo kwa mbali kuliko hao?
Wazee wetu wa zamani walikuwa wanatoa maisha yao kwa taifa kuliko familia zao, dini zao au kabila zao na ndio maana wengi hujawasikia wakipaza sauti sana kulalamika. hatujasikia wajukuu wa watemi na machifu wakidai fidia za babu zao waliokufa vitani kulikomboa taifa letu. HII NAYO NI HOJA.
Siku hizi hakuna mafundisho ya uzalendo, amesahau kwamba wakati Tanganyika inapata uhuru wale wote waliozaliwa Tanganyika kabla ya uhuru hata kama wazazi wao ni wa nje walikuwa ni raia halali wa Tanganyika mpya na ndio maana tuna Watanzania wenye asili ya asia ambao tunawaita wahindi (mbona hawa hawashangai)
Uko sahihi kabisa,
JF pia wameupuuza msiba, members wanasoma na kuondoka bila kujadili kwa kina. Ilitakiwa akina Mohammed said kuja kutoa promo za mwisho, kwani muda wote Mohammed said and Co. walikuwa wanataka Ally amilikiwe na kundi fulani tu la imani na kusahau kuwa ni mtu wa wote.
Sijapenda hata kidogo ninapoangalia pages za kifo cha Dk. Ferdenand masau na Ally Sykes? labda watu wamechoka na historia za uhuru wanataka mambo mapya?
Naona hata kifo cha Steven Kanumba kilipata promo zaidi ya Sykes kwenye vyombo vya habari
Ndugu, uko sahihi kabisa Historia ya Nchi yetu imebakwa na watu wenye kutazama kila jambo katika misingi ya dini, kama watu wanapinga na kudunisha mchango wa J K Nyerere katika kupigania na Hatimaye kupatikana kwa Uhuru wa Tanganyika kwa kufanya hivyo unapuuza pia mchango wa Ally Sykes, Kuna watu vilevile wanakejeli mchango wa Sykes katika Uhuru huku wakitukuza Nafasi ya Nyerere , hawa nao kwa kujua au kuto kujua wanadunisha mchango wa Nyerere katika harakati za Uhuru, Uhuru wa Tanganyika hauwezi kuelezwa katika dhana ya Kibeberu ya GREAT MAN HISTORY kuwa harakati za Uhuru zilianza kwa mtu mmoja na kuishia kwa Mtu mmoja, Ama kuhusu vyombo vyetu vya Habari vingi vimekuwa vikiendeshwa na Mihemko ya matukio badala ya vyenyewe kuijuza jamii mara nyingi vinategemea jamii kuvipasha habari, vingi havijui hata misingi ya nchi yetu, ndio maana sio ajabu kusikia Habari ile ile iliytangazwa CNN , ABC au BBC ikabadilishwa lugha tu kuja katika kiswahili na kisha kuitwa Habari ya Kimataifa bila kujali hata sera za nje ya Nchi.
sawa mkuu nimekupata sheikh wangumwungwana,
Jitahidi kutafuta hivyo vitabu watoto wako siku mmoja wanaweza kuja kukubana kuhusu historia ya Tanganyika.
hv promo zikiwa nyingi kitaongezeka nini jamaniUko sahihi kabisa,
JF pia wameupuuza msiba, members wanasoma na kuondoka bila kujadili kwa kina. Ilitakiwa akina Mohammed said kuja kutoa promo za mwisho, kwani muda wote Mohammed said and Co. walikuwa wanataka Ally amilikiwe na kundi fulani tu la imani na kusahau kuwa ni mtu wa wote.
Sijapenda hata kidogo ninapoangalia pages za kifo cha Dk. Ferdenand masau na Ally Sykes? labda watu wamechoka na historia za uhuru wanataka mambo mapya?
Naona hata kifo cha Steven Kanumba kilipata promo zaidi ya Sykes kwenye vyombo vya habari
Ndugu, uko sahihi kabisa Historia ya Nchi yetu imebakwa na watu wenye kutazama kila jambo katika misingi ya dini, kama watu wanapinga na kudunisha mchango wa J K Nyerere katika kupigania na Hatimaye kupatikana kwa Uhuru wa Tanganyika kwa kufanya hivyo unapuuza pia mchango wa Ally Sykes, Kuna watu vilevile wanakejeli mchango wa Sykes katika Uhuru huku wakitukuza Nafasi ya Nyerere , hawa nao kwa kujua au kuto kujua wanadunisha mchango wa Nyerere katika harakati za Uhuru, Uhuru wa Tanganyika hauwezi kuelezwa katika dhana ya Kibeberu ya GREAT MAN HISTORY kuwa harakati za Uhuru zilianza kwa mtu mmoja na kuishia kwa Mtu mmoja, Ama kuhusu vyombo vyetu vya Habari vingi vimekuwa vikiendeshwa na Mihemko ya matukio badala ya vyenyewe kuijuza jamii mara nyingi vinategemea jamii kuvipasha habari, vingi havijui hata misingi ya nchi yetu, ndio maana sio ajabu kusikia Habari ile ile iliytangazwa CNN , ABC au BBC ikabadilishwa lugha tu kuja katika kiswahili na kisha kuitwa Habari ya Kimataifa bila kujali hata sera za nje ya Nchi.
Chadema ni taasisi kama kinavyojieleza, kwa hiyo unataka kuniambia Chadema hawana shida ya kuwaenzi wapigania uhuru.
Viongozi wa Chadema msibani hawakuonekana hata salama za rambirambi hakuna Dr.W.Slaa, Zitto, John Mnyika, mnashindwa kuwaenzi wazalendo waliopigania uhuru.