Ijue Historia ya muasisi wa TANU, Ally Kleist Sykes (1926 - 2013)

Ijue Historia ya muasisi wa TANU, Ally Kleist Sykes (1926 - 2013)

Wanaukumbi,

Mzee wetu muasisi wa TAA, TANU, Ally Kleist Sykes amefariki dunia Nairobi nchini Kenya, alipokwenda kwa ajili ya matibabu...

Innalilah Wainnalaihy Rajuun.

rest in peace mzee.

mkuu Ritz unaweza kusema mzee alikuwa chama gani?
 
Last edited by a moderator:
Wanaukumbi,

Mzee wetu muasisi wa TAA, TANU, Ally Kleist Sykes amefariki dunia Nairobi nchini Kenya, alipokwenda kwa ajili ya matibabu...

Innalilah Wainnalaihy Rajuun.

Allahumma ghifirllahuu,warahamuhu waskanahuu filljanna. Allahumma inkaana muhsin fazidihu fill ihsanì, wainkaana musiian dattajjawaz anhu.
 
Pamoja nakuwa ulikusudia kuuhabarisha umma juu ya msiba huu,

Lakini upotoshaji wa aina hii usiachwe upite bila kusahihishwa!

AA imeundwa 1929 chini ya Mwalimu Cesil Matola,

1933 AA ilimkasimisha madaraka katibu wake bwana Klest Sykes, hii ni baada ya Matola kufariki,

Mwaka 1948 Klest Sykes anaasisi TAA, na mwaka huohuo anapinduliwa na Daktari kijana Vedasto Kyaruzi anashika urais wa TAA,

Katibu anakuwa Abdul Sykes kaka wa Ally Sykes,

Mwaka 1950 Dr Kyaruzi anahamishwa kikazi kwa nguvu na muingereza nakupelekwa Nzege hiyo ikiwa ni mikakati ya mkoloni kukidhoofisha chama cha TAA, baada ya hapo nafasi ya urais inakaimiwa na Abdul Sykes.

Mwaka 1953 uchaguzi unafanyika na Julius Nyerere anamshinda Abdul Sykes katika uchaguzi huo, hivyo Julius anakuwa rais wa TAA,

Mwaka unaofuata yani 1954 TAA inabadilishwa jina nakuwa TANU na uchaguzi unafanyika tena, Julius Nyerere na Abdul Sykes wanashindana katika kinyang'anyiro hicho na Julius Nyerere anaibuka kidedea hivyo kuwa rais wakwanza kwa TANU,

Hilo likaenda mpaka 1958 katika uchaguzi maarufu kama kura tatu, uliofanyikia jimbo la magharibi (Tabora) Nyerere tena akashinda,

Baada ya hapo Abdul Sykes alijitenga na siasa na kuanzisha chuki dhidi ya viongozi wa TANU hasa Julius Nyerere,

Baada ya uhuru kupatikana, kundi lililokuwa likimuunga mkono Abdul Sykes lilianzisha UASI dhidi ya serikali halali ya TANU,

Kundi hilo lilikuwa na watu wengi walitoka TAA na TANU hasa Shehe Takadir, Shehe Hassan Bin Amir, na wengine wengi!

Kundi hilo baada yakufeli mission yao kisiasa sasa liliamua kutumia misikiti kupandikiza chuki yao,

Chuki hiyo ndio inayoliathiri taifa mpaka hii leo na Ritz ukiwa ni muathirika wayo!


Kufuatia hali hiyo, mkono wa dola ukaanza kuwaandama tena kwa nguvu hii ilifuatiwa na kuunda sheria ya kuweka mtu kizuizini ya mwaka 1962,

Sasa kusema Ally Sykes ndie muasisi wa TAA na TANU ni UONGO

Ally Sykes katika uhai wake hajawahi kushika nyadhifa yoyote ya kisia, kikundi ama jumuiya!

Neno zuri lakutumia nikama ulivyoanza na kichwa cha taarifa hii kuwa MMOJA wa waasisi wa TANU na sio TAA
 
Wazee wanao baki wana element za ufisadi. Wamejilimikisha tenda za makusanyo ya ubungo na packing charge.
Kweli washauri atuna na nchi lazima iende mramba.
RIP Mzee wetu
 
R.I.P muasisi!

Hakika jitihada zenu katika kulikomboa taifa hatuta zisahau, ushujaa wenu na uthubutu ndio nyenzo pekee tunayo itumia kuyaendeleza yale mliyokuwa mkitarajia ndani ya Tanganyika, na sasa Tanzania.

Historia yako tutahifadhi, na kamwe hatuta kusahau mpaka nasi tutakapo fishwa, mungu akuhifadhi unapo stahili.
 
A sad day indeed; Mungu aipe faraja familia nzima ya Sykes wakati huu wa msiba huu mzito. Na aipumzishe roho ya Marehemu pema peponi Amin.
 
Wanaukumbi,

Mzee wetu muasisi wa TAA, TANU, Ally Kleist Sykes amefariki dunia Nairobi nchini Kenya, alipokwenda kwa ajili ya matibabu...

Innalilah Wainnalaihy Rajuun.

RIP Sykes, kawaambie wapigania uhuru wenzio waliotanguli huko kuwa JK na wenzie wameigeuza nchi pango lao la kuijitajirishia!
 
Wanaukumbi,

Mzee wetu muasisi wa TAA, TANU, Ally Kleist Sykes amefariki dunia Nairobi nchini Kenya, alipokwenda kwa ajili ya matibabu...

Innalilah Wainnalaihy Rajuun.

RITZ,
Unahabari zozote kuhusu mazishi ya Mzee A.Sykes? wapi atazikwa? jee, kama atazikwa nyumbani mazishi yatakuwa na hadhi ya kitaifa? au yatakuwa kama ya Kaka ake Abdulwahid?
 
ooh may his soul rest in peace.mungu awafariji wafiwa.
 
Wanaukumbi,

Mzee wetu muasisi wa TAA, TANU, Ally Kleist Sykes amefariki dunia Nairobi nchini Kenya, alipokwenda kwa ajili ya matibabu...

Innalilah Wainnalaihy Rajuun.

RIP mzee sykes
 
Inaonekana watu wengi hawapendi kuelezwa ukweli,mie sioni kama kuna ubaya wowote kwa Yericko kutoa hiyo historia fupi ya marehemu,sasa kuna uchochezi gani aliotoa hapo kwa marehemu Ally Sykes?

Ukweli upi? Hata mimi naweza kukuambia Nyerere alikuwa mtusi wewe unakubali au unabisha.
 
Hivi hii nchi kuna siku itatuwekea mahala popote jumba la makumbusho la hawa viongozi wenye historia iliyotukuka maraisi wote wa nne wa CCM wameshindwa kuweka kumbukumbu stahiki za waaasisi wa taifa hili kwa manufaa ya historia ya nchi
 
Back
Top Bottom