Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Ha ha ha! Nimeshauri mambo ya familia yaishie kwenye familia. Ally Sykes ni mtu mdogo sana kwenye siasa za nchi hii; huo ndio ukweli hata kama hupendi kuusikia. Tunatoa pole kwa sababu ni binadamu mwenzetu katutoka lakini sio kwa kuwa ni maarufu kihivyo. Natumaini umeelewa.
Hata Chadema wenzako wakikusoma wanasikitika kwa maneno yako.
Waasisi wa TANU kadi namba 1ilikuwa ya Nyerere kadi namba 2 ilikuwa ya Ally Sykes kadi namba 3 ilikuwa ya Abdulwahid Sykes.
Hakuna tatizo hizo ni fikra zako subiri magazeti kesho.