Dully (Abduli), Kleist, Sykes. Inaonekana hii familia ilikuwa inapenda sana umagharibi. Anyway, tunatoa pole kwa kuwa uzi umeletwa hapa jamvini ila kimsingi hauna hadhi ya "Breaking News" wala sio issue nzito kihivyo kwa taifa.
Kafa kama maelfu ya watanganyika wengine wanavyokufa kila siku tena kwa kukosa huduma za msingi ambazo ni haki yao kikatiba. Kila kifo kinachotokea nchini kikiletwa hapa JF sijui itakuwaje. Sometimes, mambo ya familia yaishie huko huko kwenye familia na anakoabudu badala ya kuya-publicise bila sababu za msingi.
CC:
Ritz,
Yericko Nyerere