RIP mzee wetu sykes.Wanaukumbi,
Mzee wetu muasisi wa TAA, TANU, Ally Kleist Sykes amefariki dunia Nairobi nchini Kenya, alipokwenda kwa ajili ya matibabu...
Innalilah Wainnalaihy Rajuun.
By ureni,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RIP mzee wetu sykes.Wanaukumbi,
Mzee wetu muasisi wa TAA, TANU, Ally Kleist Sykes amefariki dunia Nairobi nchini Kenya, alipokwenda kwa ajili ya matibabu...
Innalilah Wainnalaihy Rajuun.
By ureni,
Baba yake Dully ni mtoto wa Abdulwahid Sykes, Abbas Sykes ni mdogo wake Ally na Abdul.
Dully (Abduli), Kleist, Sykes. Inaonekana hii familia ilikuwa inapenda sana umagharibi. Anyway, tunatoa pole kwa kuwa uzi umeletwa hapa jamvini ila kimsingi hauna hadhi ya "Breaking News" wala sio issue nzito kihivyo kwa taifa.
Kafa kama maelfu ya watanganyika wengine wanavyokufa kila siku tena kwa kukosa huduma za msingi ambazo ni haki yao kikatiba. Kila kifo kinachotokea nchini kikiletwa hapa JF sijui itakuwaje. Sometimes, mambo ya familia yaishie huko huko kwenye familia na anakoabudu badala ya kuya-publicise bila sababu za msingi.
CC: Ritz, Yericko Nyerere
Mungu amlaze mahala pema peponi. AminAnatarajiwa kurudishwa leo na kuzikwa leo hii
Abdulwahed Sykes ndie Baba mzazi wa Taifa hili...
Alikataa hadharani mchakato wa uandikaji wa Historia ya Taifa na akajitoa na kumuacha Dr Kleluu akifuata maagizo aliyokuwa akibebeshwa na Marehemu Nyerere.
Madhara ya kubambikiwa Historia ndio haya sasa tunayoyaona leo, Marehemu Ally anashindwa kupewa heshima kwa mchango alioutoa kwa Taifa hili.
Leo hii mtu kama Dossa Aziz Sheikh Suleiman Taqadir na Aziz Ally wanashindwa hata kupewa kumbukumbu ya jina ktk shule zetu za Kata....dah
Ni habari ya kusikitisha Mzee wetu Ally Sykes amefariki Nairobi Kenya alipokuwa akitibiwa.
Msiniulize no.1 wala zingine niwakina nani.
Mazishi leo mwili wake utakapo wasili kutoka huko Nairobi. Itakuwa nyumban kwake Mbezi.
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Bora Mohamed Said anajua vizuri historia ya Kariakoo