Ijue Jamhuri ya Watu wa SOGODO, Kinondoni

Ijue Jamhuri ya Watu wa SOGODO, Kinondoni

Kwa wakongwe kama Mshana Jr, mitaa ya Dizonga anainyaka vyema, kwani kakaa huko hadi pale alipohahamishwa na jini lililo mnasa vibao akitaka kulinanilihiiii kwenye nyumba ya wageni, akaona isiwe taabu, akahamia Masaki.

Sogodo ni eneo linalopatikana Mwananyamala Bwawani, nyuma ya mahakama ya Kinondoni, kanisa la KKKT Kinondoni, linasambaa hadi jirani na kwa Pawa, baba yake Jaki, alikuwa baunsa wa Billicanas Club Zama zile za kale.

Sogodo Empire, ilikuwa na watu wa hatari, watu wa Shari, wagomvi, watemi, waliojikataa, ambao wako tayari kwa lolote.

Watu wa jamhuri hiii walikuwa ni tishio kiasi kwamba walikuwa na mahakama yao, polisi wao na mamlaka yao wenyewe.

Ukiiba unapelekwa kwa Pawa, Pawa anakusikiliza mhalifu na washitaka wako, baada ya hapo anatoa hukumu.

Hukumu ikitekelezwa hamna kupelekana Polisi wala Nini. Kesi imeisha hiyo.

Sogodo Empire waliishi hivyo kwa miaka mingi.
Hatari sana hii eneo
 
Yeah ilikuwa na alama na niliikuta by chance kwa fundi radio ikiwa imechoka mno na spika ni moja.. Ni zile LG za 3 pieces, kipisi cha juu upande wa kushoto kiliwahi kumwagikiwa kidogo na ule wino wa mihuri, hiyo ndio ilikuwa alama
Uongo!
 
Back
Top Bottom