Ijue Jamhuri ya Watu wa SOGODO, Kinondoni

Dar mipango. Unyenyekevu na kujishusha ndio mpango mzima, utaishi popote na yeyote
Hahaha...hiyo mitaa naielewa kuna mwana mmja
Wangu smbdy siwetu.fundi alikuwa natimba naye mitaa hiyo
Unajua ukiwa sehemu,kuna namna fulani ya kujiwekea,kujitafutia ulinzi so unajichanganya na wahuni ishi nao kimtindo....dar utapeta tu

Ova
 
Kwa wakongwe kama Mshana Jr, mitaa ya Dizonga anainyaka vyema, kwani kakaa huko hadi pale alipohahamishwa na jini lililo mnasa vibao akitaka kulinanilihiiii kwenye nyumba ya wageni, akaona isiwe taabu, akahamia Masaki.

Sogodo ni eneo linalopatikana Mwananyamala Bwawani, nyuma ya mahakama ya Kinondoni, kanisa la KKKT Kinondoni, linasambaa hadi jirani na kwa Pawa, baba yake Jaki, alikuwa baunsa wa Billicanas Club Zama zile za kale.

Sogodo Empire, ilikuwa na watu wa hatari, watu wa Shari, wagomvi, watemi, waliojikataa, ambao wako tayari kwa lolote.

Watu wa jamhuri hiii walikuwa ni tishio kiasi kwamba walikuwa na mahakama yao, polisi wao na mamlaka yao wenyewe.

Ukiiba unapelekwa kwa Pawa, Pawa anakusikiliza mhalifu na washitaka wako, baada ya hapo anatoa hukumu.

Hukumu ikitekelezwa hamna kupelekana Polisi wala Nini. Kesi imeisha hiyo.

Sogodo Empire waliishi hivyo kwa miaka mingi.
[emoji3][emoji3][emoji3] kuna mdau muhimu mzee wa Pachoto anapaswa kufika hapa! mrangi

Baadhi ya wanachama wake tishio ambao hawatanisahau huko kuzimu walipo ni
#Tito
#Kumbwiga
#Morroco
#Jumanne
#Pembe
Baada ya kufa hawa washenzi hata kijiwe chao cha VIDA PALAVIDA kilikufa
 
Hahaha vida lapavida kijiwe kile kilikuwa siyoo

Hivi nigga mchecheto yupo 😂😂😂
Au naye sahv kajichokea

Ova
 
[emoji3][emoji3][emoji3] kuna mdau muhimu mzee wa Pachoto anapaswa kufika hapa! mrangi

Baadhi ya wanachama wake tishio ambao hawatanisahau huko kuzimu walipo ni
#Tito
#Kumbwiga
#Morroco
#Jumanne
#Pembe
Baada ya kufa hawa washenzi hata kijiwe chao cha VIDA PALAVIDA kilikufa
Wewe na mrangi ni watoto wamwananyamala sana,na kwa stori zenu nina uhakika 100% nawajua,stori zenu nikizisoma nasema ihiiiiii..

Nimekulia na kuishi huko mpaka leo,kumbwige mtoto wa bihamisi hapa msisiri bi ni jirani yetu,morocco alivouliwa pale kwao nilikuepo..yaani hua mkipiga story za mwananyamala hua nafurahi sana..Sogodo kumepoa sana hata uchawi umepungua.usela mavi umepungua pia ila sasa hivi mvua kidogo tu kote mimaji hakupitiki
 
Dah.. Msisiri. Hebu nione weekend hii kama naweza fika huko... Naona Kamanyola haipo tena

Hahaha...kamanyola bar pale nna kisa fulani
Nkikumbukaga nachekaga sana

Ova
 
Dah.. Msisiri. Hebu nione weekend hii kama naweza fika huko... Naona Kamanyola haipo tena

Kuna mwizi mmoja,mkabaji alikuwaga maarufu sana mitaa ya mwananyamala kisiwani alikuwa anakaa bonding kule unapotekea tsndale
Alikuwa anaitwa mashkurumbwe
Alimkabaga jamaa yetu mmja alikuwa ofisa,tukasema ngoja mabaharia tukirudi tutamfanyia operation maalum
Tukamuandalia team ya wahuni wa Moscow,kinondoni wagumu,na wahuni wa msisiri...tukamwinda sana,sasa kuna siku tukamgumia gheto, ebwana si tikamkuta ananyonyoa kunguru anataka kumfanyia mafekeche ampike amle😂😂😂
Tukabaki hoiii...ila kipondo alikula

Ova
 
Kuna mwizi mmoja,mkabaji alikuwaga maarufu sana mitaa ya mwananyamala kisiwani alikuwa anakaa bonding kule unapotekea tsndale
Alikuwa anaitwa mashkurumbwe
Alimkabaga jamaa yetu mmja alikuwa ofisa,tukasema ngoja mabaharia tukirudi tutamfanyia operation maalum
Tukamuandalia team ya wahuni wa Moscow,kinondoni wagumu,na wahuni wa msisiri...tukamwinda sana,sasa kuna siku tukamgumia gheto, ebwana si tikamkuta ananyonyoa kunguru anataka kumfanyia mafekeche ampike amle[emoji23][emoji23][emoji23]
Tukabaki hoiii...ila kipondo alikula

Ova
Haaaaa haaaaaa noma saana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bangi mbaya sana .hebu nipe kisa cha kamanyola kaka
 
Lakini mpaka leo gongo inanyweka mchana bila wasi, kuvuta bange hadharani mtindo mmoja, malaya watoto ndio usiseme, ngoma na yenyewe pale imetamalaki.
Kuna siku nilienda na dogo fulani wa mitaa ile nilimkuta pale kota karibu na kwa black, nikamwambia leo nipeleke kitaa kwenu ila sitaki niibiwe, ndio nikajionea yote hayo.
Black yupi mkuu? Au superbkack jambazi sugu aliyejiua kwa bahati mbaya wakati wa jaribio la kupora gari la tanesco?

Mambo ni mengi kwa kweli.
 
Wewe na mrangi ni watoto wamwananyamala sana,na kwa stori zenu nina uhakika 100% nawajua,stori zenu nikizisoma nasema ihiiiiii..

Nimekulia na kuishi huko mpaka leo,kumbwige mtoto wa bihamisi hapa msisiri bi ni jirani yetu,morocco alivouliwa pale kwao nilikuepo..yaani hua mkipiga story za mwananyamala hua nafurahi sana..Sogodo kumepoa sana hata uchawi umepungua.usela mavi umepungua pia ila sasa hivi mvua kidogo tu kote mimaji hakupitiki
Wale watoto wa fundikira walikuwaga wanangu
Msisiri nlikuwa natamba kwa ajili yao
Mm nmekulia kino stereo,ila kino yote nlikuwa naishi tukienda tmk fresh,wanangu wa ilala safi

Ova
 
Back
Top Bottom