Ijue Jamhuri ya Watu wa SOGODO, Kinondoni

Ijue Jamhuri ya Watu wa SOGODO, Kinondoni

Unaipata mitaa ya Chideo? Vipi hatari za huko?
Noma noma noma.

Mademu wa chideo anamwambia mwenzake "Malaya gani hauphirwi?"

Kuna demu niligewa namba yake anatokea chideo yaani nimemuuliza tu 'Kesho uko free?' akajibu ndiyo. Nikamuambia 'Nakucheki jioni'
Jioni ilivyofika demu kanicheki mwenyewe ananiuliza 'So tunakutana au?'
 
Haha hahaha Chideo noma sana, kule mijigongo inaliwa hadharani
 
Hahaha...hiyo mitaa naielewa kuna mwana mmja
Wangu smbdy siwetu.fundi alikuwa natimba naye mitaa hiyo
Unajua ukiwa sehemu,kuna namna fulani ya kujiwekea,kujitafutia ulinzi so unajichanganya na wahuni ishi nao kimtindo....dar utapeta tu

Ova
Kuna kitaa kimoja niliishi na Wana fresh tu tukaenda Sawa sana. Nikawa mtu wa kuvizia mitoko nafanya mambo yangu narudi kitaa naendeleza libeneke kama Kawa.

Siku moja mwamba mmoja akanifuma mitaa ya mbali code tofauti kabisa na kampani. Ilikuwa shida sana kurudisha bond kile kitaa.. Nikaona isiwe tabu.. Nikasepa jumla. Wana walikuwa wananikazia kichizi yani hahah
 
Hahaha...kuna watu wamekaa kinondoni
Na sehemu zingine lkn ukiwapambia
Sogodo ushawahi fika ama kupajua,hawajawahi

Segodo iko msufini,msisiri huko kuna watu wamepinda wahuni balaa,pombe,bangi
Etc vinafanyika huko,polisi wenyewe kwenda
Huko ni mtihani
Kama Huna connection mtu wa kawaida
Ukienda huko utaishia kufanyiwa umafia

Muda sana nlishawahi ku comment kwa Mshana Jr kuhusu sogodo [emoji23][emoji23]
Binafsi mm nishatimba sana maeneo hayo

Ova

Wewe na wahuni ni maji na samaki
 
Kuna mwamba alinipora simu kipande hicho nikaenda ofisi ya ccm kwa marinda Saba kushtaki na jina la mtemi nilitajiwa nikamtaja nilibaki kuambiwa hakuna shtaka kumamae
Sogodo empire bado ipo, ila siku hizi kuna nuru kidogo tofauti na zamani.

Hata Pawa kazeeka Sasa. Ila bado polisi wanakuheshimu Sana Sogodo.

Sogodo Empire ni sawa na Nonde enzi za Mwasimba, Chiba, Santaiga, Kajole nk. Enzi hizo Eluka akiitwa Rah Tee, Ramsey Thomas
 
Duuh mabalaa ya mwananyamara ni noma.
Sikuhizi naona utemi unapungua sehemu nyingi naona watu wameanza kustarabika
 
Sogodo empire bado ipo, ila siku hizi kuna nuru kidogo tofauti na zamani.

Hata Pawa kazeeka Sasa. Ila bado polisi wanakuheshimu Sana Sogodo.

Sogodo Empire ni sawa na Nonde enzi za Mwasimba, Chiba, Santaiga, Kajole nk. Enzi hizo Eluka akiitwa Rah Tee, Ramsey Thomas

Ulivyojitajia jina la Eluka umenikumbusha Ngoma yake ya Nikizipata, mpaka leo sijafanikiwa kuipata video yake.
Inaniuma sana.
 
Back
Top Bottom