Ijue Jamhuri ya Watu wa SOGODO, Kinondoni

Dah mmenikumbusha kitambo mtaani kwangu kipindi hicho mtemi anaheshimika kuliko hata mkuu wa kituo,, kagera mikoroshini kulikuwa na na mbovu ya kuitwa jabir na accuse wake jummane kapala, wanakaba mchana kweupee, ukija upande wa mburahati kulikuwa na wakuitwa wabonde, akina Mbaraka taita, kilima ilikuwa sio poa
dah, kweli aisee mm nilikuwa nipo primary karume nimeishi kagera mikoroshini
 
Kwa wakongwe kama Mshana Jr, mitaa ya Dizonga anainyaka vyema, kwani kakaa huko hadi pale alipohahamishwa na jini lililo mnasa vibao akitaka kulinanilihiiii kwenye nyumba ya wageni, akaona isiwe taabu, akahamia Masaki.

Sogodo ni eneo linalopatikana Mwananyamala Bwawani, nyuma ya mahakama ya Kinondoni, kanisa la KKKT Kinondoni, linasambaa hadi jirani na kwa Pawa, baba yake Jaki, alikuwa baunsa wa Billicanas Club Zama zile za kale.

Sogodo Empire, ilikuwa na watu wa hatari, watu wa Shari, wagomvi, watemi, waliojikataa, ambao wako tayari kwa lolote.

Watu wa jamhuri hiii walikuwa ni tishio kiasi kwamba walikuwa na mahakama yao, polisi wao na mamlaka yao wenyewe.

Ukiiba unapelekwa kwa Pawa, Pawa anakusikiliza mhalifu na washitaka wako, baada ya hapo anatoa hukumu.

Hukumu ikitekelezwa hamna kupelekana Polisi wala Nini. Kesi imeisha hiyo.

Sogodo Empire waliishi hivyo kwa miaka mingi.
Hiv kina shamba la bangi, juma kishipa na yule mcheza boxer aliong,olewa meno nahs anaitwa Alh wapo... Enzi hizo pisi kali ni kina betty jimmy na marehemu dada ake.. Zawadi wa kwa kina salama bashir kabla watoto kina mau jimmy kupata watoto wanne akiwa akiwa chini ya 22yrs

Dah umenikumbusha mbali mwananyamala kino enzi hizo tunaupiga mpira msufin pale mchana usiku mama ntilie na wachawi wanajumuika kuuza vyakula.. Wenyeji tunajua maharage ya mboga tukanunue wapi ukijichanganya utajikuta unahudumiwa na viganja vya mtoto mdogo ndo upawa

Mshanajr anajua hz mambo

Visa vichache vifuatavyi vya kuanzia kule kwa muuza chips maarufu mwenye kachumbari hatari kino nzima kaka ake moyo(moyoni) jina limenitoka

Kisa 1
Sisahau enzi hizo kabla msufi haujakatwa tulipata beki tatu mpya akatumwa akanunue samak msufini. Akaenda na sister ili ajue mazingira mida ya usiku baada ya dk 10 tunamuona sister peke yake kuuliza anasema beki tatu kakimbia kama.chiz kumbe beki tatu ana dawa za kuona wachaw tunakuja kumpata anadai uwanja mzima watu walikuwa uchi wanahudumia wateja kwa viganja na maiti za watoto wengine wamekali misukule kama mabench

Msufi ulikatwa mwez mzima kila wakataji hawamaliz kazi

Kisa 2
Jmosi tunakwenda kuwachek wanyasa na ngoma zao mwisho wa mwez wamakonde na vinyago au mabinti zao wakitoka kufundwa

Kisa 3
Enz za babu maumba na shule yake ya chekechea a.k.a vidudu chini ya miembe na minaz ya kule kambangwa... Akidondoka nyoka mapumziko ikinyesha mvua day of au likizo ya siku kadhaa kabisa

Kisa 4
Kuna mzee alikuwa kazulumiwa nyumba na ndugu zake mitaa ya hom basi kwa wiki mara moja saa 12 asubuhi anakuja mitaa ya hom anatukana. Hadi saa mbili anapiga vichwa kwenye nguzo za umeme

usiku walinzi wa magar ccm almaarufu baraza la kahawa msisiri wanafanya guest bubu

Dah old good and bitter memories. Mabishoo wa msufini kina paulo pawa
 
Pawa wakati analinda Bills mwanae alikua DJ pale.

Sasa kumkuta Pawa na mwanae wako kwenye sofa kila mmoja anashona goma lake lilikua jambo la kawaida tu.

Hata hivyo stori nyingi kuhusu maeneo zinakuzwa.

Kwa mimi mkazi wa maeneo hayo nakuambia kwamba eneo hatari lilikua Chaukucha na kundi hatari lililoundwa na watoto lilikua Majani Unit. Hawa Panya Road walizunguka maeneo ya huko Mwenge na Sayansi sisi tukajiorganize kuwasubiri pale Uwanja wa Sparta.

Aliyewatonya wasije aliwaokoa.
Yeah mwanae anaitwa paul a.k.a paul pawa. Sasa hv mbavu nene zimeisha kawa tozi tu anajimegemea mijimama.
 
Ndio mitaa yangu hiyo, bata letu la kigumu kichizi. Binti wa darasa la nne anakunywa dabokiki 6 kavu na ana mabwana wanne, wote wanajuana
Na kashatoa mimba kama 3. Mabint wa sogodo watata wakienda "video" kule.ccm juu wanaingia staff. Enzi hizo.kina maua jimmy. Yeye. Na marehemu mama ake wote walipata watoto. Kipind kimoja
 
[emoji3][emoji3][emoji3] kuna mdau muhimu mzee wa Pachoto anapaswa kufika hapa! mrangi

Baadhi ya wanachama wake tishio ambao hawatanisahau huko kuzimu walipo ni
#Tito
#Kumbwiga
#Morroco
#Jumanne
#Pembe
Baada ya kufa hawa washenzi hata kijiwe chao cha VIDA PALAVIDA kilikufa
Tito alimzulumu sister mmoja kodi ya nyumba alijifanya dalali akampeleka kwenye chumba kina mtu tayar

Kaka wewe ndo ulifinga kile kijiwe dah
 
Wewe na mrangi ni watoto wamwananyamala sana,na kwa stori zenu nina uhakika 100% nawajua,stori zenu nikizisoma nasema ihiiiiii..

Nimekulia na kuishi huko mpaka leo,kumbwige mtoto wa bihamisi hapa msisiri bi ni jirani yetu,morocco alivouliwa pale kwao nilikuepo..yaani hua mkipiga story za mwananyamala hua nafurahi sana..Sogodo kumepoa sana hata uchawi umepungua.usela mavi umepungua pia ila sasa hivi mvua kidogo tu kote mimaji hakupitiki
Dasa hv maji yanapita had yanafika kwa mzee vumbi
 
Hiv kina shamba la bangi, juma kishipa na yule mcheza boxer aliong,olewa meno nahs anaitwa Alh wapo... Enzi hizo pisi kali ni kina betty jimmy na marehemu dada ake.. Zawadi wa kwa kina salama bashir kabla watoto kina mau jimmy kupata watoto wanne akiwa akiwa chini ya 22yrs

Dah umenikumbusha mbali mwananyamala kino enzi hizo tunaupiga mpira msufin pale mchana usiku mama ntilie na wachawi wanajumuika kuuza vyakula.. Wenyeji tunajua maharage ya mboga tukanunue wapi ukijichanganya utajikuta unahudumiwa na viganja vya mtoto mdogo ndo upawa

Mshanajr anajua hz mambo

Visa vichache vifuatavyi vya kuanzia kule kwa muuza chips maarufu mwenye kachumbari hatari kino nzima kaka ake moyo(moyoni) jina limenitoka

Kisa 1
Sisahau enzi hizo kabla msufi haujakatwa tulipata beki tatu mpya akatumwa akanunue samak msufini. Akaenda na sister ili ajue mazingira mida ya usiku baada ya dk 10 tunamuona sister peke yake kuuliza anasema beki tatu kakimbia kama.chiz kumbe beki tatu ana dawa za kuona wachaw tunakuja kumpata anadai uwanja mzima watu walikuwa uchi wanahudumia wateja kwa viganja na maiti za watoto wengine wamekali misukule kama mabench

Msufi ulikatwa mwez mzima kila wakataji hawamaliz kazi

Kisa 2
Jmosi tunakwenda kuwachek wanyasa na ngoma zao mwisho wa mwez wamakonde na vinyago au mabinti zao wakitoka kufundwa

Kisa 3
Enz za babu maumba na shule yake ya chekechea a.k.a vidudu chini ya miembe na minaz ya kule kambangwa... Akidondoka nyoka mapumziko ikinyesha mvua day of au likizo ya siku kadhaa kabisa

Kisa 4
Kuna mzee alikuwa kazulumiwa nyumba na ndugu zake mitaa ya hom basi kwa wiki mara moja saa 12 asubuhi anakuja mitaa ya hom anatukana. Hadi saa mbili anapiga vichwa kwenye nguzo za umeme

usiku walinzi wa magar ccm almaarufu baraza la kahawa msisiri wanafanya guest bubu

Dah old good and bitter memories. Mabishoo wa msufini kina paulo pawa
Dah...dah..dah..[emoji23] yani ukitengeneza movie itakuwa moto wa kuotea mbali..ngoja niibe baadhi ya visa
 
Kwa wakongwe kama Mshana Jr, mitaa ya Dizonga anainyaka vyema, kwani kakaa huko hadi pale alipohahamishwa na jini lililo mnasa vibao akitaka kulinanilihiiii kwenye nyumba ya wageni, akaona isiwe taabu, akahamia Masaki.

Sogodo ni eneo linalopatikana Mwananyamala Bwawani, nyuma ya mahakama ya Kinondoni, kanisa la KKKT Kinondoni, linasambaa hadi jirani na kwa Pawa, baba yake Jaki, alikuwa baunsa wa Billicanas Club Zama zile za kale.

Sogodo Empire, ilikuwa na watu wa hatari, watu wa Shari, wagomvi, watemi, waliojikataa, ambao wako tayari kwa lolote.

Watu wa jamhuri hiii walikuwa ni tishio kiasi kwamba walikuwa na mahakama yao, polisi wao na mamlaka yao wenyewe.

Ukiiba unapelekwa kwa Pawa, Pawa anakusikiliza mhalifu na washitaka wako, baada ya hapo anatoa hukumu.

Hukumu ikitekelezwa hamna kupelekana Polisi wala Nini. Kesi imeisha hiyo.

Sogodo Empire waliishi hivyo kwa miaka mingi.
Saa hivi wamehamia nyuma ya uwanja wa taifa kule kota za polisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waliniibia. . na aliyewapa mchongo ni Pembe mbwa yule.. Waliondoka na vitu vingi vya thamani sebuleni na jikoni kisha kwenye balon langu CRESTA LIMITED EDITION GX90 T 800 ABJ wakalisafisha nalo ... Niliwapangusa wote
Hahaa walijua kwamba wanaondoka sababu walikuibia?
Mitunguli hujaanza jana mkuu
 
Miaka ya 2000 hapa alikuwepo askar walikuwa wanamuita sura mbaya... Anakunywa kachasu huyo Mungu hapendi akija pale sogodo anatoa loki kwa "kiglass" au anaingia kwa mama jimmy kwenye matap tap kisha anaanza vurugu mtaani

Msufini usiku vichochoro vimejaa wakabaj vibaraza vya nyumba za watu unakuta watu wamebambiana tu
 
Waliniibia. . na aliyewapa mchongo ni Pembe mbwa yule.. Waliondoka na vitu vingi vya thamani sebuleni na jikoni kisha kwenye balon langu CRESTA LIMITED EDITION GX90 T 800 ABJ wakalisafisha nalo ... Niliwapangusa wote
Wezi wa huko wakiiba mitaa yao wanalindana
Ila wezi wakitoka mitaa mingine kwenda kuiba huko wanauliwa😂😂

Ova
 
Manzese pia pale Amsterdam, midizini palikuwa ovyo sana ila maisha yanabadilika wahuni wengi wamepungua
Sahv utamfanyia nani ubabe au uhuni,raia si watakuaa

Ova
sahivi ngumu kumrukia mtu hujui nani ana mguu wa kuku na Nani hana
 
Back
Top Bottom