mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Raia wana hasirasahivi ngumu kumrukia mtu hujui nani ana mguu wa kuku na Nani hana
Maisha yamebafilika
Mambo ya ubabe utamfanyia nani
Nilishawahi kumuonya yule bondia T.M
Tabia zake za utemi,ubabe usiyokuwa na maana
Ova