Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #21
Hahaha...hiyo mitaa naielewa kuna mwana mmja
Wangu smbdy siwetu.fundi alikuwa natimba naye mitaa hiyo
Unajua ukiwa sehemu,kuna namna fulani ya kujiwekea,kujitafutia ulinzi so unajichanganya na wahuni ishi nao kimtindo....dar utapeta tu
Ova
Sogodo empire bado ipo, ila siku hizi kuna nuru kidogo tofauti na zamani.
Hata Pawa kazeeka Sasa. Ila bado polisi wanakuheshimu Sana Sogodo.
Sogodo Empire ni sawa na Nonde enzi za Mwasimba, Chiba, Santaiga, Kajole nk. Enzi hizo Eluka akiitwa Rah Tee, Ramsey Thomas
Chips yai imevamia empire
Kasongo Mundende noma sana aiseeechanganya makange na kuku wa kupaka bila kusahau kasongo mundende[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3] kuna mdau muhimu mzee wa Pachoto anapaswa kufika hapa! mrangiKwa wakongwe kama Mshana Jr, mitaa ya Dizonga anainyaka vyema, kwani kakaa huko hadi pale alipohahamishwa na jini lililo mnasa vibao akitaka kulinanilihiiii kwenye nyumba ya wageni, akaona isiwe taabu, akahamia Masaki.
Sogodo ni eneo linalopatikana Mwananyamala Bwawani, nyuma ya mahakama ya Kinondoni, kanisa la KKKT Kinondoni, linasambaa hadi jirani na kwa Pawa, baba yake Jaki, alikuwa baunsa wa Billicanas Club Zama zile za kale.
Sogodo Empire, ilikuwa na watu wa hatari, watu wa Shari, wagomvi, watemi, waliojikataa, ambao wako tayari kwa lolote.
Watu wa jamhuri hiii walikuwa ni tishio kiasi kwamba walikuwa na mahakama yao, polisi wao na mamlaka yao wenyewe.
Ukiiba unapelekwa kwa Pawa, Pawa anakusikiliza mhalifu na washitaka wako, baada ya hapo anatoa hukumu.
Hukumu ikitekelezwa hamna kupelekana Polisi wala Nini. Kesi imeisha hiyo.
Sogodo Empire waliishi hivyo kwa miaka mingi.
Hahaha vida lapavida kijiwe kile kilikuwa siyoo[emoji3][emoji3][emoji3] kuna mdau muhimu mzee wa Pachoto anapaswa kufika hapa! mrangi
Baadhi ya wanachama wake tishio ambao hawatanisahau huko kuzimu walipo ni
#Tito
#Kumbwiga
#Morroco
#Jumanne
#Pembe
Baada ya kufa hawa washenzi hata kijiwe chao cha VIDA PALAVIDA kilikufa
Aisee sijui kwakweli maana nimetoka huko kitamboHahaha vida lapavida kijiwe kile kilikuwa siyoo
Hivi nigga mchecheto yupo [emoji23][emoji23][emoji23]
Au naye sahv kajichokea
Ova
Kikwete na maIGP wake waliwashindwa kabisa, Mwamba JPM akawapoteza! JK sijui ni mjeda wa namna gani yule jamaa, hata huyu Mother kwa ubandidu anamshindaPanya rodi magasho tu
Wewe na mrangi ni watoto wamwananyamala sana,na kwa stori zenu nina uhakika 100% nawajua,stori zenu nikizisoma nasema ihiiiiii..[emoji3][emoji3][emoji3] kuna mdau muhimu mzee wa Pachoto anapaswa kufika hapa! mrangi
Baadhi ya wanachama wake tishio ambao hawatanisahau huko kuzimu walipo ni
#Tito
#Kumbwiga
#Morroco
#Jumanne
#Pembe
Baada ya kufa hawa washenzi hata kijiwe chao cha VIDA PALAVIDA kilikufa
Dah.. Msisiri. Hebu nione weekend hii kama naweza fika huko... Naona Kamanyola haipo tenaWewe na mrangi ni watoto wamwananyamala sana,na kwa stori zenu nina uhakika 100% nawajua,stori zenu nikizisoma nasema ihiiiiii..
Nimekulia na kuishi huko mpaka leo,kumbwige mtoto wa bihamisi hapa msisiri bi ni jirani yetu,morocco alivouliwa pale kwao nilikuepo..yaani hua mkipiga story za mwananyamala hua nafurahi sana..Sogodo kumepoa sana hata uchawi umepungua.usela mavi umepungua pia ila sasa hivi mvua kidogo tu kote mimaji hakupitiki
Hahaha...kamanyola bar pale nna kisa fulaniDah.. Msisiri. Hebu nione weekend hii kama naweza fika huko... Naona Kamanyola haipo tena
Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)
Mada ya Mfahamu James Ngomero: Bingwa mtuhumiwa wa zile maiti 11 za watoto hospitali ya Mwananyamala imenikutanisha na watu wengi ambao kwa namna moja ama nyingine tunaweza kuwa tunafahamiana kabisa... Si hilo tu bali nimegundua sehemu kubwa wanaJF Dar wengi ni wakazi wa Mwananyamala/Kinondoni...www.jamiiforums.com
Gesti ya chabo. Kuna mwamba alijikuta anampiga chabo maza ake! Halafu alikuwa analiwa jichoHahaha...kamanyola bar pale nna kisa fulani
Nkikumbukaga nachekaga sana
Ova
Kuna mwizi mmoja,mkabaji alikuwaga maarufu sana mitaa ya mwananyamala kisiwani alikuwa anakaa bonding kule unapotekea tsndaleDah.. Msisiri. Hebu nione weekend hii kama naweza fika huko... Naona Kamanyola haipo tena
Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)
Mada ya Mfahamu James Ngomero: Bingwa mtuhumiwa wa zile maiti 11 za watoto hospitali ya Mwananyamala imenikutanisha na watu wengi ambao kwa namna moja ama nyingine tunaweza kuwa tunafahamiana kabisa... Si hilo tu bali nimegundua sehemu kubwa wanaJF Dar wengi ni wakazi wa Mwananyamala/Kinondoni...www.jamiiforums.com
Haaaaa haaaaaa noma saanaKuna mwizi mmoja,mkabaji alikuwaga maarufu sana mitaa ya mwananyamala kisiwani alikuwa anakaa bonding kule unapotekea tsndale
Alikuwa anaitwa mashkurumbwe
Alimkabaga jamaa yetu mmja alikuwa ofisa,tukasema ngoja mabaharia tukirudi tutamfanyia operation maalum
Tukamuandalia team ya wahuni wa Moscow,kinondoni wagumu,na wahuni wa msisiri...tukamwinda sana,sasa kuna siku tukamgumia gheto, ebwana si tikamkuta ananyonyoa kunguru anataka kumfanyia mafekeche ampike amle[emoji23][emoji23][emoji23]
Tukabaki hoiii...ila kipondo alikula
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bangi mbaya sana .hebu nipe kisa cha kamanyola kakaKuna mwizi mmoja,mkabaji alikuwaga maarufu sana mitaa ya mwananyamala kisiwani alikuwa anakaa bonding kule unapotekea tsndale
Alikuwa anaitwa mashkurumbwe
Alimkabaga jamaa yetu mmja alikuwa ofisa,tukasema ngoja mabaharia tukirudi tutamfanyia operation maalum
Tukamuandalia team ya wahuni wa Moscow,kinondoni wagumu,na wahuni wa msisiri...tukamwinda sana,sasa kuna siku tukamgumia gheto, ebwana si tikamkuta ananyonyoa kunguru anataka kumfanyia mafekeche ampike amle[emoji23][emoji23][emoji23]
Tukabaki hoiii...ila kipondo alikula
Ova
HahahaGesti ya chabo. Kuna mwamba alijikuta anampiga chabo maza ake! Halafu alikuwa analiwa jicho
Black yupi mkuu? Au superbkack jambazi sugu aliyejiua kwa bahati mbaya wakati wa jaribio la kupora gari la tanesco?Lakini mpaka leo gongo inanyweka mchana bila wasi, kuvuta bange hadharani mtindo mmoja, malaya watoto ndio usiseme, ngoma na yenyewe pale imetamalaki.
Kuna siku nilienda na dogo fulani wa mitaa ile nilimkuta pale kota karibu na kwa black, nikamwambia leo nipeleke kitaa kwenu ila sitaki niibiwe, ndio nikajionea yote hayo.
Wale watoto wa fundikira walikuwaga wananguWewe na mrangi ni watoto wamwananyamala sana,na kwa stori zenu nina uhakika 100% nawajua,stori zenu nikizisoma nasema ihiiiiii..
Nimekulia na kuishi huko mpaka leo,kumbwige mtoto wa bihamisi hapa msisiri bi ni jirani yetu,morocco alivouliwa pale kwao nilikuepo..yaani hua mkipiga story za mwananyamala hua nafurahi sana..Sogodo kumepoa sana hata uchawi umepungua.usela mavi umepungua pia ila sasa hivi mvua kidogo tu kote mimaji hakupitiki
Kikwete aliwaheshjmu sana kwa sababu walikuwa wateja wake wa ngada, ***** walah!Kikwete na maIGP wake waliwashindwa kabisa, Mwamba JPM akawapoteza! JK sijui ni mjeda wa namna gani yule jamaa, hata huyu Mother kwa ubandidu anamshinda