Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Fursa za ziwa Tanganyika Kati ya Tanzania na Congo ni nyingi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchakato unaendelea fresh, tumeisha itwa Dodoma kuhakikiwa na kuhojiwa, kwa bahati mbaya baada ya mahojiano hayo, mimi nilikutana na a shock of my life!, kuna mdada nilimtenda ndivyo sivyo enzi za ujana kwa kutaka kumbananisha kwenye yale mambo yetu yale!, nilipo kataliwa nika muwasha kwa kumlipua kwenye media!. Kumbe sasa huyu mdada ndio boss kule, amenisalimu vizuri tuu na kunikumbusha!. A shock of my life, furaha yageuka shubiri. Be good to people on your way up, you might meet them on your way down, mwenzenu leo yamenikuta!Mchakato wa Ubunge unaendeleaje mheshimiwa? Sisi ndugu zako wengine tuko mbali na vyombo vya habari.
Its true, mimi kazi yangu all my life ni mwandishi wa habari na mtangazaji, nitapambana vipo zaidi ya kuitumia kalamu yangu?. Naendelea tuu kuandika na kuelimisha umma hata kama hawasomi lakini umma unafaidika.Pambana japo Chama hakiangalii Sana haya mambo ya maandiko
Wkt mwingine ina bidi weye pale, ulikuwa kazini??...lkn pia usipende saana kuhurumiwa au kuona aibu wkt ukiwa kazini utaharibu kazi!!....na usilipize kisasi hiyo iwe ni mwiko kwakoo!!usimtendee binaadamu yoyote ubaya, maana huijui kesho yako.
EAC jua bado ina panuka hii ni mbegu tu bado zipo Ethiopia na somalia! Eritrea, tunasubiri wamalize tofauti zao za mapigano kwanza! waje huku!...Malawi kesha tuma maombi!Mahali sahihi pa kuwa makao makuu ya EAC ni Kigoma au Kigali.
Lini wanasheria waTanzania wanaweza kuruhusiwa kuwa mawakili wa mahakama kuu za Kenya, nini tatizo mawakili wetu hawawezi kuruhusiwa kuingia 'Bar' Kenya