Ijue Katiba ya CCM: Malengo ya CCM, Nguvu za CCM, Vikao vya CCM, na Mamlaka ya Mkutano Mkuu wa CCM, Uamuzi Wake ni wa Mwisho!, Final & Conclusive!.

Ukitoa mahaba, unufaikaji na mfumo, Mfumo na malengo ya CCM kwa sasa ni kama any Mafia in organisation. CCM wapo pale kulinda viongozi wa CCM na maslahi yao binafsi zaidi kuliko maslahi ya Taifa. Wakitumia enforcers kama polisi, usalama, vyombo vya dola.

Wanatumia, propaganda kama za Wassira, Makalla, zako wewe Mayalla. Pia mabavu, ubabe kama kuteka, kuua, kuweka watu magerezani, kufukuza kazi wachapa kazi na wakweli na wenye nia ya dhati kusaidia wananchi.

Kujiteua, kuteua wasio na uwezo, kuteua ndugu, kutofata katiba, kuiba chaguzi, kukuza machawa nk.Viongozi wanaweza kufanya chochote bila consequences kwa maslahi binafsi au ya chama sababu vyombo vyote vya serikali vipo chini yao.
 
Ukitoa mahaba, unufaikaji na mfumo, Mfumo na malengo ya CCM kwa sasa ni kama any Mafia in organisation.

Wanatumia, propaganda kama zako wewe Mayalla.
Mimi situmii propaganda, mimi ni mtu mkweli daima, ninachoandika mimi ni vitu vya kweli na sio propaganda bali ndio ukweli wenyewe halisi!.
P
 
Unafikiri anafanya hayo bila kushauriwa!?

Wanaokushauri wanakushauri kile unachotaka wakiwa na plan B nyingine nyuma ya pazia!unafikiri jpm alipewa samiah kuwa makam Kwa bahati mbaya!!?Leo nchimbi yupo pale unafikiri mama kakurupuka au kashauriwa amteue!!?yaani nchimbi all the way from Brazil aje kuwa katibu mkuu na mgombea mwenza!!?

ACHA kabisa mkuu,think vere vere aiseh!!
 
Mimi situmii propaganda, mimi ni mtu mkweli daima, ninachoandika mimi ni vitu vya kweli na sio propaganda bali ndio ukweli wenyewe halisi!.
P
Kwenye kichwa chako cha habari unatuambia tuijue katiba ya CCM, malengo, nguvu, mamlaka, vikao, maamuzi

Tumeona juzi kwenye kikao cha mkutano mkuu yalitokea. Wote wameburuzwa na wengi wakapiga makofi, vigelegele na kukata viuno. Ipo wapi nguvu, mamlaka ya kikao. Nguvu ya wajumbe, kufuata katiba?
 
Hivi ruzuku ya ccm kwa mwezi sh ngapi? Mkuu, naomba jibu ,then tutapiga hesabu linganisha jinsi pesa zinavyotumika ccm na ruzuku yao , maana naona kama ccm inafisadi nchi katika kivuli cha ruzuku, tafadhali jibu mkuu nina jambo langu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…