Habitat wamejaribu kufanya maboresho, lakini bado ni makazazi duni kwa vile eneo ni dogo na watu ni wengiHapo serikali inaweza kujenga flats zikawachukua hao wakenya kwa wingi na kuacha eneo kubwa zaidi wazi likatumika kwa viwanja na maduka
Hii ni aibu sana kwa serikali ya Kenya...Iko Nairobi yapata km 10 kutoka CBD ya Nairobi;-
View attachment 3335056
Kibera inajulikana kwa umaarufu wake kama moja ya mitaa ya mabanda mikubwa na maskini zaidi duniani. Hakuna idadi kamili ya watu wanaoishi Kibera, lakini makadirio yanatofautiana kutoka watu 700,000 hadi milioni moja. Katika Kibera, msongamano wa watu ni wa kawaida na hali za maisha ni duni. Katika kitongiji hiki kikubwa zaidi cha mabanda barani Afrika, hali za makazi na vyoo ni duni na visivyo salama kiafya, matumizi ya pombe kupindukia na uhalifu ni hali ya kila siku, na upatikanaji wa umeme pamoja na maji safi ni mdogo.
View attachment 3335060
Wakazi wa Kibera wanaishi katika vibanda vidogo vilivyotengenezwa kwa kuta za tope na paa za mabati. Kila kibanda kina ukubwa wa futi 12 kwa 12 na kinaweza kukaliwa na watu hadi wanane kwa pamoja. Vibanda hivi hukusanywa pamoja kwenye viwanja (plots), na viwanja vingi havina vyoo. Kwa kuwa wakazi wengi wa Kibera hawana huduma ya vyoo, hulazimika kujisaidia barabarani au kando ya reli kuu inayopita katikati ya mtaa huo wa mabanda. Hali hii husababisha matatizo makubwa ya usafi wa mazingira.
Mifereji ya wazi ya majitaka pia ni jambo la kawaida. Ikiwa kiwanja ni kikubwa zaidi, ambacho kawaida huhusisha familia 50, basi kutakuwa na choo kimoja cha pamoja kwa kiwanja kizima. Mara choo kinapojazwa, wavulana huajiriwa kukisafisha na kukitoa taka. Kazi hii hufanyika kwa kuchukua kinyesi na kukimwaga mtoni. Mbinu hii si salama kiafya kwa wanaokusanya taka hizo, na pia huchafua vyanzo vya maji vilivyo karibu.
Angalizo:
Wakenya wakiona Magorofa ya CBD Nairobi hawakumbuki kuwa wanaishi Kibera au Mathare au Mukuru kwa Njenga
Serikali inapewa misaada mingi Sana kwa sababu ya kibera. Wakiamua kujenga flats hizo misaada zitapotea.Hapo serikali inaweza kujenga flats zikawachukua hao wakenya kwa wingi na kuacha eneo kubwa zaidi wazi likatumika kwa viwanja na maduka
Bongo pia yapo maeneo ya hivyo ila kwa sasa wengi wamewaandikisha TASAF na kuwajengea nyumba za kisasa hio ndio imekua ponapona yao bila hivyo msingekua mnaicheka Kibera wakati kwenu pia ndio hivyo hivyoNilishuhudia mwenyewe, ni hatari, huwezi ukaamini ni Kenya yenye uchumi mkubwa Africa Mashariki.
Kujenga makazi quality ya watu 700k inahitaji political will na pesa ndefuHapo serikali inaweza kujenga flats zikawachukua hao wakenya kwa wingi na kuacha eneo kubwa zaidi wazi likatumika kwa viwanja na maduka
Yah inakuwa ni project ya hata 50 yrs ndivyo dunia ilivyoendelea (ulaya)Wala sio siku Moja au miaka 10 inakuwa hata 80yrs project unafanya na makampuniKujenga makazi quality ya watu 700k inahitaji political will na pesa ndefu
Suluhisho wanalo ila kwa sababu ni wabinafsi.Iko Nairobi yapata km 10 kutoka CBD ya Nairobi;-