Ijue Kibera- Nairobi, Kenya:- Moja ya makazi duni ya mabanda (slums) makubwa 10 katika dunia

Ijue Kibera- Nairobi, Kenya:- Moja ya makazi duni ya mabanda (slums) makubwa 10 katika dunia

Bongo pia yapo maeneo ya hivyo ila kwa sasa wengi wamewaandikisha TASAF na kuwajengea nyumba za kisasa hio ndio imekua ponapona yao bila hivyo msingekua mnaicheka Kibera wakati kwenu pia ndio hivyo hivyo
Bongo hamna na hapajawahi kuwa na eneo kama Kibera aisee. Ni zao la kihistoria, hiyo kibera usifikiri imeanza leo, nchi za kijamaa huwezi kukuta hizo slums, utakuta unplanned settlements tu.Nchi zilizoanza na capitalism ndo wanachangamoto sana hizo
 
Cc Nicxie nairobae NairobiWalker Don YF Rhaenyra Targaryen Reborn Ktb mwaiofhawaii kennedy0000 kujeni msikie watanzania waliofika Kenya 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Wakenya
Kwa takwimu mpya zinataja Kibera kuwa ndiyo numero uno kwa sasa duniani. Watu wengi hasa watanzania hudhani slums Kenya ni Kibera pekee kumbe sio kweli, Nairobi pekee ina ma slums zaidi ya 100 na mengine makubwa kuliko Kibera, Kenya ni nchi ya hovyo mno zaidi unavyoweza kufikiri.
Matajiri wanne nchini Kenya, utajiri wao unazidi karibu nusu ya wakenya wote(40%) wakichanganywa kwa pamoja. Matajiri hao wana utajiri unaofikia Ksh. bilioni 333( Tsh. trilioni 6.26).

Utafiti unaonesha ukuaji wa tofauti kati ya walio nacho na wasio nacho ambapo wakenya 130 matajiri zaidi wanamiliki mali sawa na 70% bajeti ya Kenya kwa mwaka. Matajiri watano zaidi nchini Kenya ni Merali, Shah, Bedi, Kenyatta na Mahendra wakiwa na utajiri wa jumla ya dola za kimarekani 3.2.

Baada ya hapo ongeza na Manu Chandaria, Moi family, William Ruto & Associates

Wakenya wengi wanaishi chini ya dolla moja, pesa yao kuipata ni kazi. Karibu na Nairobi CBD kuna makazi ya slums 3 Kibera, Mathare na Makuru kwa Njenga ambazo zinaishi watu zaidi 2.5 Milioni.
 
Ule uchumi ni wa data za kupika.

Kenya ni chui wa makaratasi
Angalia hiyo picha halafu niambie kama kuna Mtanzania anaishi mazingira duni kama haya:-
Screenshot_20250517_073228_Firefox.jpg
 
Manzese na Tandale slums mbona kama wameziruka?
Hujapita Manzese basi. Manzese kuna mitaa, barabara za lami na Hoteli kibao za 4star.

Manzese, Kigogo na Buguruni ni un planned, lakini siyo slums.

Labda tukupe definition ya slum!!

=a squalid and overcrowded urban street or district inhabited by very poor people
 
Wakenya wengi wanaishi chini ya dolla moja, pesa yao kuipata ni kazi. Karibu na Nairobi CBD kuna makazi ya slums 3 Kibera, Mathare na Makuru kwa Njenga ambazo zinaishi watu zaidi 2.5 Milioni.
Mukuru kwa Ruben

Kawangare

Pipeline estate

Dandora

Korogocho


(Hii yote ni Nairobi)

Na Dar es Salaam ni kubwa karibu mara mbili ya Nairobi.
 
Suluhisho wanalo ila kwa sababu ni wabinafsi.

Tenga eneo nje ya mji kisha jenga flats za kawaida mia 500.

Zikimalizika hamishia watu wanaotoshea hapo kwa flats 500.

Ile sehem waliyotoka hapo libera jenga nyingine 1000.

Ndani ya miaka mitatu kibera Uko clean.
Tatizo kibera kuna umaskini wa kuzaliwa, hata uwajengee nyumba mpya wote baada ya miezi michache panageuka pipeline tena mara 100 ya pipeline. Fuatilia sehemu ya makazi inaitwa pipeline kule Kenya alafu urudi hapa.
 
Kuna mitaa Kenya hata ng'ombe hawezi kuishi lakini wao wanaishi binadamu
Kweli kabisa.
Wakenya

Matajiri wanne nchini Kenya, utajiri wao unazidi karibu nusu ya wakenya wote(40%) wakichanganywa kwa pamoja. Matajiri hao wana utajiri unaofikia Ksh. bilioni 333( Tsh. trilioni 6.26).

Utafiti unaonesha ukuaji wa tofauti kati ya walio nacho na wasio nacho ambapo wakenya 130 matajiri zaidi wanamiliki mali sawa na 70% bajeti ya Kenya kwa mwaka. Matajiri watano zaidi nchini Kenya ni Merali, Shah, Bedi, Kenyatta na Mahendra wakiwa na utajiri wa jumla ya dola za kimarekani 3.2.

Baada ya hapo ongeza na Manu Chandaria, Moi family, William Ruto & Associates

Wakenya wengi wanaishi chini ya dolla moja, pesa yao kuipata ni kazi. Karibu na Nairobi CBD kuna makazi ya slums 3 Kibera, Mathare na Makuru kwa Njenga ambazo zinaishi watu zaidi 2.5 Milioni.
Mkuu karibu huku tuwanyooshe 👇👇
 
Mukuru kwa Ruben

Kawangare

Pipeline estate

Dandora

Korogocho


(Hii yote ni Nairobi)

Na Dar es Salaam ni kubwa karibu mara mbili ya Nairobi.
Nairobi kuna slums zaidi ya 200 mzee, more than 60% ya wakenya weusi wanaishi kwenye hayo ma slum, ndiyo mana wakenya wana hasira sn na ni haki yao kuwa na hasira kwa wanayopitia.

 
Umaskini upo Tanzania lakini siyo kwa kiwango cha Kenya.

Wewe iulize Google ikupe "Top 5 largest slums in the world" , utaikuta Kibera ya Kenya ni namba 2.

Tanzania haina slums za sampuli ya Kibera
ni kweli,yani hata kwenye top 10 haipo
 
Ndio maana nakwambia wanaziboresha km hujui kuhusu TASAF kaa hivyo hivyo na km hujaona waliojengewa vibanda vyao sasa hivi wanaishi kwenye nyumba za kisasa basi kaa hivyo hivyo au unataka tukuwekee picha na video za before and after?
mkuu angalia usipigwe humu, hela ya tasaf ijenge!?,yani unamaanisha laki 1,elfu 80,wengine mpaka elfu 50 ndo zijenge.watoaji wenyewe wanachowasisitiza wapokeaji ni kwamba wanunue mifugo ...
 
Umedanganywa sana wewe utachekwa mjini hapa
wewe ndio umedanganywa Kiongozi. una taarifa za uhakika Tasaf nani kwakwambia wanajengea watu nyumba wale wanatoa pesa kwa kaya masikini ili mladi wasije kufa njaa basi ? hiyo pesa wanaotoa tu ni ndogo sana, sembuse kuboresha makazi yao, fuatilia vizuri
 
Manzese na Tandale slums mbona kama wameziruka?

Shida yetu wa Tz tunaamini kila kitu kibaya kipo Tanzania hata kama sio kweli.

Sisi hata Top 20 hatuingizi Slums yoyote ile

Sababu kubwa ni kuwa ardhi inamilikiwa na Serikali sio mtu binafsi.

Kenya hata nyumba za kupanga ni bei sana na Qulity ni ya kawaida mno.

Ukisema mazense unachoongelea ni msomgamano wa nyumba na sio Mabati au nyumba za mbao.
Na hayo maneo unayotaja ya hapa tanzania ni maeneo madogo sana katika hako ka eneo
Mfano ukitaja Mazense ni kaeneo kadogo vibaya mno ambako ni vijumba vidogo ila maneo mengi nyumba zipo za kawaida hadi hotel za nyota nne zipo
 
Back
Top Bottom