Kwani kwa Tanzania, Rombo ziko ngapi?Rombo ipi mkuu? Wacha dharau kwa hawa jamaa !!
Wakenya wao wanatamba wanajua kiingereza. hivyo hata kama wanalala njaa au hawana makazi lakini wanaongea kiingereza kama mzungu wa London basi iko poa tu hawana shidaIko Nairobi yapata km 10 kutoka CBD ya Nairobi;-
View attachment 3335056
Kibera inajulikana kwa umaarufu wake kama moja ya mitaa ya mabanda mikubwa na maskini zaidi duniani. Hakuna idadi kamili ya watu wanaoishi Kibera, lakini makadirio yanatofautiana kutoka watu 700,000 hadi milioni moja. Katika Kibera, msongamano wa watu ni wa kawaida na hali za maisha ni duni. Katika kitongiji hiki kikubwa zaidi cha mabanda barani Afrika, hali za makazi na vyoo ni duni na visivyo salama kiafya, matumizi ya pombe kupindukia na uhalifu ni hali ya kila siku, na upatikanaji wa umeme pamoja na maji safi ni mdogo.
View attachment 3335060
Wakazi wa Kibera wanaishi katika vibanda vidogo vilivyotengenezwa kwa kuta za tope na paa za mabati. Kila kibanda kina ukubwa wa futi 12 kwa 12 na kinaweza kukaliwa na watu hadi wanane kwa pamoja. Vibanda hivi hukusanywa pamoja kwenye viwanja (plots), na viwanja vingi havina vyoo. Kwa kuwa wakazi wengi wa Kibera hawana huduma ya vyoo, hulazimika kujisaidia barabarani au kando ya reli kuu inayopita katikati ya mtaa huo wa mabanda. Hali hii husababisha matatizo makubwa ya usafi wa mazingira.
Mifereji ya wazi ya majitaka pia ni jambo la kawaida. Ikiwa kiwanja ni kikubwa zaidi, ambacho kawaida huhusisha familia 50, basi kutakuwa na choo kimoja cha pamoja kwa kiwanja kizima. Mara choo kinapojazwa, wavulana huajiriwa kukisafisha na kukitoa taka. Kazi hii hufanyika kwa kuchukua kinyesi na kukimwaga mtoni. Mbinu hii si salama kiafya kwa wanaokusanya taka hizo, na pia huchafua vyanzo vya maji vilivyo karibu.
Angalizo:
Wakenya wakiona Magorofa ya CBD Nairobi hawakumbuki kuwa wanaishi Kibera au Mathare au Mukuru kwa Njenga
You might be right but not tru,Bongo pia yapo maeneo ya hivyo ila kwa sasa wengi wamewaandikisha TASAF na kuwajengea nyumba za kisasa hio ndio imekua ponapona yao bila hivyo msingekua mnaicheka Kibera wakati kwenu pia ndio hivyo hivyo
ROmbo, ukiipeleka Kwnya, kimakazi inafanana na Kitusuru.Kwani kwa Tanzania, Rombo ziko ngapi?
nyimbo ya alikiba kuna kiitikio kinasema kibera
Nimesema wanajengewa elewa Kiswahilimkuu angalia usipigwe humu, hela ya tasaf ijenge!?,yani unamaanisha laki 1,elfu 80,wengine mpaka elfu 50 ndo zijenge.watoaji wenyewe wanachowasisitiza wapokeaji ni kwamba wanunue mifugo ...
Km kitu haujui kaa kimya nyumba wanajengewa au mpaka tukupigie picha za nyumba zilizojengwa na TASAF tena zina machata km nyumba za NHC, unataka picha tukupe? Watu km nyinyi ndio mnapigwa mjini mnaitwa Wahadzabe wakaa maporiniwewe ndio umedanganywa Kiongozi. una taarifa za uhakika Tasaf nani kwakwambia wanajengea watu nyumba wale wanatoa pesa kwa kaya masikini ili mladi wasije kufa njaa basi ? hiyo pesa wanaotoa tu ni ndogo sana, sembuse kuboresha makazi yao, fuatilia vizuri
Kwani kwa Tanzania, Rombo ziko ngapi?Rombo ipi mkuu? Wacha dharau kwa hawa jamaa !!
weka ushahidi ili kumaliza utataNimesema wanajengewa elewa Kiswahili
weka ushahidi ili kumaliza utataKm kitu haujui kaa kimya nyumba wanajengewa au mpaka tukupigie picha za nyumba zilizojengwa na TASAF tena zina machata km nyumba za NHC, unataka picha tukupe? Watu km nyinyi ndio mnapigwa mjini mnaitwa Wahadzabe wakaa maporini
Tuwaachie Waingereza kiingereza chao period. Tembea Germany au France nenda na English yako, watakushangaa tu. Hawana taimu, wako kwenye lugha yaoWakenya wao wanatamba wanajua kiingereza. hivyo hata kama wanalala njaa au hawana makazi lakini wanaongea kiingereza kama mzungu wa London basi iko poa tu hawana shida
Mna tabia ya kuwatoa wenzenu kivumbi jichoni wakati mna kijiti jichoni mwenu.Wakenya
Matajiri wanne nchini Kenya, utajiri wao unazidi karibu nusu ya wakenya wote(40%) wakichanganywa kwa pamoja. Matajiri hao wana utajiri unaofikia Ksh. bilioni 333( Tsh. trilioni 6.26).
Utafiti unaonesha ukuaji wa tofauti kati ya walio nacho na wasio nacho ambapo wakenya 130 matajiri zaidi wanamiliki mali sawa na 70% bajeti ya Kenya kwa mwaka. Matajiri watano zaidi nchini Kenya ni Merali, Shah, Bedi, Kenyatta na Mahendra wakiwa na utajiri wa jumla ya dola za kimarekani 3.2.
Baada ya hapo ongeza na Manu Chandaria, Moi family, William Ruto & Associates
Wakenya wengi wanaishi chini ya dolla moja, pesa yao kuipata ni kazi. Karibu na Nairobi CBD kuna makazi ya slums 3 Kibera, Mathare na Makuru kwa Njenga ambazo zinaishi watu zaidi 2.5 Milioni.
usisahau wachina pia wako njiani kuwamiliki..Mna tabia ya kuwatoa wenzenu kivumbi jichoni wakati mna kijiti jichoni mwenu.
The top 4 richest men in Tanzania
1. Mo Dewji $2.2 Billion
2. Rostam Aziz $900M
3. Bakhresa $400M
3. Ally Edha Awadh $120m
Total $3.62B
= Tsh. 8.6 Trillion
Sasa wewe unahangaika na top 4 Wakenya wanaomiliki Tsh 6.6 Trillion wakati top 4 Watanzania wanamiliki Tsh. 8.6 Trillion na hilo halikusumbui. Alafu to make matters worse, hao Watanzania hamna mwafrika hata mmoja, wote waarabu na Wahindi. Sasa kama 6.6 trillion inazidi 40% ya mali ya Wakenya wote hiyo 8.6 Trillion ya Bongolala tutasemaje? Kumbuka uchumi wa Tanzania ni mdogo kuliko wa Kenya.
Yani mnasumbuliwa na mambo ya Kenya sana hamuoni uozo uliopo hapo hapo kwenu mbele ya macho yenu.
Wewe kumbe Punga! maneno mengi akili kisoda weka ushahidi wa hizo nyumba hapa, au walijengewa wazazi wakoKm kitu haujui kaa kimya nyumba wanajengewa au mpaka tukupigie picha za nyumba zilizojengwa na TASAF tena zina machata km nyumba za NHC, unataka picha tukupe? Watu km nyinyi ndio mnapigwa mjini mnaitwa Wahadzabe wakaa maporini
La mamayako nani punga? Wewe km unafirwa sio kila unaemuona humu JF anafirwa la mamayako halina mavuziWewe kumbe Punga! maneno mengi akili kisoda weka ushahidi wa hizo nyumba hapa, au walijengewa wazazi wako