Ijue Kibera- Nairobi, Kenya:- Moja ya makazi duni ya mabanda (slums) makubwa 10 katika dunia

Ijue Kibera- Nairobi, Kenya:- Moja ya makazi duni ya mabanda (slums) makubwa 10 katika dunia

Unatamani porojo ya kilaza mwenzako iwe ni ukweli, jamaa kaandika kwa uchungu, kishabiki tu na wivu., yaani anatafuta kuponda Kenya ila Kenya sio mwenzenu., poleni mafukara wa South, siku moja mtapata nafuu na nyie🤣🤣🤣.,

Kibera ndio hiyo 2025, progress ya mabadiliko.,

View: https://youtu.be/FBLQxg4rdOQ?si=aNck89lSYna1ZkqQ

Mukuru Slums pia., kwa mpigo
View attachment 3338810
View attachment 3338812

Kisumu pia, affordable housing kwa mpigo
View attachment 3338813
View attachment 3338814

Eldoret pia
View attachment 3338815

Tafuta Thika ujionee, Juja, Nakuru ndio usiseme., Mombasa ndio itakua mambo yote..,

Kenya sio Tanzania nyie mtaishi kwa uswazi miaka mingi sana hapa👇👇 hamtoki Karne hii.., liboya linajiliwaza na halijui what's happening kwa ground 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,
View attachment 3338819
View attachment 3338817
View attachment 3338821
View attachment 3338820
View attachment 3338818

Bado hayo maeneo ya Chang'ombe uliyoyaweka hapo ni classic, huwezi kufananisha na maisha wanaishi Wakenya Millioni 10
 
Lol mbona umepiga off-point?? Hayo ni makazi mapya yanajengwa na bado watu hawajaingia.

Kwa sasa huko bado wanaishi kwenye haya maboksi:-
View attachment 3339364
Na usijidanganye kwamba hizo projects zitaweza kuhifadhi hao 2 Million slum dwellers
View attachment 3339365
Unadhani basi hayo makazi mapya wanayojenga yatawatosha hao slum dwellers wote. 😂😂😂
 
Hata Dar es Salaam projects kama hizi zipo nyingi tu Magomeni Quatrers, Kawe na mikoani. Usidhani kama zipo Kenya tu
Naijua Dar, uswazi haibomolewi popote Kisha wajenge standard housing.., uswazi inaongezeka haipunguzwi. So fyata jipe shughli nyingine
 
Wacha mbwembwe zako, nyie bado mmaishi maisha duni sana kwenye mabanda. Angalia hii link pia utaikuta Kenya kwenye top 10-:


View: https://www.tiktok.com/@afritv/video/7268441510931074309

Umekosa hoja baada ya kukuumbua sasa unatapatapa tu🤣🤣🤣🤣, mpumbavu wewe., nilidhani utapinga kwa facts kumbe zezeta linahangaika kwa google, tatizo ya masomo hafifu, halijui kutofautisha opinion from facts, ama kutafuta credible sources, nimekupa facts ya 2025, imekuuma sana., nyambaff 🤣🤣🤣
 
Lol mbona umepiga off-point?? Hayo ni makazi mapya yanajengwa na bado watu hawajaingia.

Kwa sasa huko bado wanaishi kwenye haya maboksi:-
View attachment 3339364
Na usijidanganye kwamba hizo projects zitaweza kuhifadhi hao 2 Million slum dwellers
View attachment 3339365
Ni 2025 kilaza, hauna hoja wewe, kumbe ilikua ni zile hasira zenu za wivu na chuki, kunywa maji utulie🤣🤣🤣🤣, fala kweli

Kibera 2025

View: https://youtu.be/FBLQxg4rdOQ?si=RvbJfhin-0-G5Z5z

Na wewe leta Dar 2025 nione kama wanabomoa uswazi na kujenga nyumba za maana kama Kenya., serikali ya mama wa CCM ina mpango wa kuondoa huu upuzi👇👇👇👇,
1692805823875.png

1692805778963.png

6927386831_2ed53fcd0d_z.jpg


images - 2025-04-12T083800.116.jpeg


Jifunze kutoka Kenya Wacha wivu kilaza., wivu na chuki zenu zinafanya mnabakia nyuma sana! roho ya kichawi hiyo🤣
1747577820599.jpg

1741754232630.jpg

1741754234910.jpg

1746967388476.jpg

1741754237270.jpg

1747199862294.jpg

1741754239617.jpg

1741754258121.jpg

1741754260639.jpg
 
Katika Wakenya 57 Millioni, kuna 10 Millioni wanaishi kwenye mabanda kama ya kufugia mifugo. Ni kweli Kenya siyo wenzetu kwa vile hakuna Mtanzania anaishi kama ng'ombe
Umeandika kwa uchungu na hasira mingi sana, hauna ukweli wowote wewe unadhani slum ni mabanda eti🤣🤣🤣🤣., mko hovyo., sasa umeona Kenya sio vile ulidhania unatafuta pakutokea, unajiliwaza na vimaneno tu, kule Tanzania hauna jibu ya kulinganisha na yale yanaendelea Kenya kwa sasa, mtanyooka, ujinga mtawacha, akili ziwakae sawa., huwezi ukapingana na ukweli kilaza, unaumia ila utapoa. Ulidhani umefaulu kudanganya wenzako eti!., propaganda naumbua, Kenya sio Tanzania mnadanganywa kirahisi na mnakubali tu, uwezo wa kufanya utafiti mwafaka kudhibitisha jambo hamna!!..,
 
Serikali za kiafrika haziwezi mambo haya
Mbona Kenya imeweza?., tena bila kukopa nje! Wanatumia housing levy, kila mtu mwenye ako na mshahara serikali inakata 1.5% na employer pia anatoa 1.5% inakua 3%, kila mwezi serikali ya Kenya inapata kshs 6B(Tshs 120B), ndio maana kila eneo la Kenya wanaondoa slums na kujenga affordable housing bila kusimama, Kibera inaondolewa kabisa, Mukuru, Mathare n.k., fanya utafiti, Africa iko na uwezo ni viongozi tumekosa, wacha dharau., na serikali yenu pia ijifunze, wacheni wivu na chuki, inawezekana! Kenya wamefaulu
Tokea vijijini hadi miji., kazi inaendelea 24/7..,
Eldoret
Screenshot_20250511-152503.jpg

Kisumu
Screenshot_20250510-153924.jpg

Screenshot_20250511-152520.jpg

1747577820599.jpg


Nairobi
1746967385395.jpg

1746967388476.jpg

1747199862294.jpg

1741754258121.jpg

1741754239617.jpg

1741754237270.jpg
 
Unadhani basi hayo makazi mapya wanayojenga yatawatosha hao slum dwellers wote. 😂😂😂
Tena vizuri na nafasi itabakia kubwa kwa vile ni vertical buildings, sehemu ndogo inabeba watu wengi mno, na project inaondoa slum yote sio kujenga sehemu nyingine, wanajenga hapo hapo penye slum ilikua, wanaondoa watu, Kisha wanabomoa na kujenga upya, wivu itawanyonga watanzania jameni🤣🤣🤣🤣🤣., mbona roho mbaya hivi?
 
Mbona Kenya imeweza?., tena bila kukopa nje! Wanatumia housing levy, kila mtu mwenye ako na mshahara serikali inakata 1.5% na employer pia anatoa 1.5% inakua 3%, kila mwezi serikali ya Kenya inapata kshs 6B(Tshs 120B), ndio maana kila eneo la Kenya wanaondoa slums na kujenga affordable housing bila kusimama, Kibera inaondolewa kabisa, Mukuru, Mathare n.k., fanya utafiti, Africa iko na uwezo ni viongozi tumekosa, wacha dharau., na serikali yenu pia ijifunze, wacheni wivu na chuki, inawezekana! Kenya wamefaulu
Tokea vijijini hadi miji., kazi inaendelea 24/7..,
Eldoret
View attachment 3339506
Kisumu
View attachment 3339505
View attachment 3339507
View attachment 3339508

Nairobi
View attachment 3339509
View attachment 3339510
View attachment 3339511
View attachment 3339514
View attachment 3339513
View attachment 3339512
Hongera sana mazee sasa watapewa free hizo manyumba bila doo ama ni aje
 
Hongera sana mazee sasa watapewa free hizo manyumba bila doo ama ni aje
Itakua bei ya chini sana, na itachangia kutikisa soko la rental houses, meaning bei ya nyumba itashuka sana, landlords wakora hawatakua na monopoly anymore, itabidi wajipange kuvutia wateja kwa nyumba zao, Kisha unalipa kumiliki, ni kama mortgage hivi ya watu wa pato la chini., rent to own. Na ukinunua sasa hivi huwezi kuuza kabla ya miaka 30, Ina maana baada ya 30 years mtu atakua asha kua mzee (ongeza miaka 30 kwa miaka yako, utakua na miaka ngapi?), hii inafungia wenye pesa na wanabiashara, wao hununua na kuuza haraka wapate faida.,

Mimi binafsi siwezi kuishi kwa hizi nyumba, Kuna negatives pia, itakua watu wengi sehemu moja, Kisha wa pato ya chini, na wengi wametokea ghetto, tabia zao na ujanja walio nao si mchezo!!! Huko siwezi., chukua mfano ya sehemu zinaitwa projects(nyumba za bei nafuu ya serikali) in France, USA na Germany kama umewai kuziona..,
 
Mbona unatumia nguvu kubwa sana kuaminisha watu kuwa Kibera imefika mwisho!
Hiyo sehemu nimezungushia msitari mwekundu ndo project za housing ziko.
Yaani hapo ni sawasawa uweke kijiko cha sukari kwenye bahari. 😂😂😂
IMG_3835.jpeg
 
Naijua Dar, uswazi haibomolewi popote Kisha wajenge standard housing.., uswazi inaongezeka haipunguzwi. So fyata jipe shughli nyingine
Njoo Dar tukuonyeshe ujenzi unaoendelea
 
Umekosa hoja baada ya kukuumbua sasa unatapatapa tu🤣🤣🤣🤣, mpumbavu wewe., nilidhani utapinga kwa facts kumbe zezeta linahangaika kwa google, tatizo ya masomo hafifu, halijui kutofautisha opinion from facts, ama kutafuta credible sources, nimekupa facts ya 2025, imekuuma sana., nyambaff 🤣🤣🤣
Sasa kwa nini nisitumie "GOOGLE"?? Facts gani unazo wewe mnaishi kwenye maboksi kama mifugo!!
 
Ni 2025 kilaza, hauna hoja wewe, kumbe ilikua ni zile hasira zenu za wivu na chuki, kunywa maji utulie🤣🤣🤣🤣, fala kweli

Kibera 2025

View: https://youtu.be/FBLQxg4rdOQ?si=RvbJfhin-0-G5Z5z

Na wewe leta Dar 2025 nione kama wanabomoa uswazi na kujenga nyumba za maana kama Kenya., serikali ya mama wa CCM ina mpango wa kuondoa huu upuzi👇👇👇👇,
View attachment 3339493
View attachment 3339491
View attachment 3339490

View attachment 3339492

Jifunze kutoka Kenya Wacha wivu kilaza., wivu na chuki zenu zinafanya mnabakia nyuma sana! roho ya kichawi hiyo🤣
View attachment 3339495
View attachment 3339496
View attachment 3339497
View attachment 3339498
View attachment 3339499
View attachment 3339500
View attachment 3339501
View attachment 3339502
View attachment 3339503

Bado mnaishi kwenye mabanda maana hizo nyumba hazijaisha kujengwa. Wewe mwenyewe unatokea slums tu wala usitusumbue
 
Umeandika kwa uchungu na hasira mingi sana, hauna ukweli wowote wewe unadhani slum ni mabanda eti🤣🤣🤣🤣., mko hovyo., sasa umeona Kenya sio vile ulidhania unatafuta pakutokea, unajiliwaza na vimaneno tu, kule Tanzania hauna jibu ya kulinganisha na yale yanaendelea Kenya kwa sasa, mtanyooka, ujinga mtawacha, akili ziwakae sawa., huwezi ukapingana na ukweli kilaza, unaumia ila utapoa. Ulidhani umefaulu kudanganya wenzako eti!., propaganda naumbua, Kenya sio Tanzania mnadanganywa kirahisi na mnakubali tu, uwezo wa kufanya utafiti mwafaka kudhibitisha jambo hamna!!..,
Wadanganye ambao hawajafika Kenya pimbi wewe. Nchi yenyewe hata unga wa kupika ugali mnaandamana!!
 
Mbona Kenya imeweza?., tena bila kukopa nje! Wanatumia housing levy, kila mtu mwenye ako na mshahara serikali inakata 1.5% na employer pia anatoa 1.5% inakua 3%, kila mwezi serikali ya Kenya inapata kshs 6B(Tshs 120B), ndio maana kila eneo la Kenya wanaondoa slums na kujenga affordable housing bila kusimama, Kibera inaondolewa kabisa, Mukuru, Mathare n.k., fanya utafiti, Africa iko na uwezo ni viongozi tumekosa, wacha dharau., na serikali yenu pia ijifunze, wacheni wivu na chuki, inawezekana! Kenya wamefaulu
Tokea vijijini hadi miji., kazi inaendelea 24/7..,
Eldoret
View attachment 3339506
Kisumu
View attachment 3339505
View attachment 3339507
View attachment 3339508

Nairobi
View attachment 3339509
View attachment 3339510
View attachment 3339511
View attachment 3339514
View attachment 3339513
View attachment 3339512
Hatuna cha kujifunza kutoka nchi ambayo inatawaliwa kikabila, imejaa umaskini, chuki na ufisadi
 
Back
Top Bottom