Ijue Kibera- Nairobi, Kenya:- Moja ya makazi duni ya mabanda (slums) makubwa 10 katika dunia

Ijue Kibera- Nairobi, Kenya:- Moja ya makazi duni ya mabanda (slums) makubwa 10 katika dunia

Iko Nairobi yapata km 10 kutoka CBD ya Nairobi;-
View attachment 3335056

Kibera inajulikana kwa umaarufu wake kama moja ya mitaa ya mabanda mikubwa na maskini zaidi duniani. Hakuna idadi kamili ya watu wanaoishi Kibera, lakini makadirio yanatofautiana kutoka watu 700,000 hadi milioni moja. Katika Kibera, msongamano wa watu ni wa kawaida na hali za maisha ni duni. Katika kitongiji hiki kikubwa zaidi cha mabanda barani Afrika, hali za makazi na vyoo ni duni na visivyo salama kiafya, matumizi ya pombe kupindukia na uhalifu ni hali ya kila siku, na upatikanaji wa umeme pamoja na maji safi ni mdogo.

View attachment 3335060

Wakazi wa Kibera wanaishi katika vibanda vidogo vilivyotengenezwa kwa kuta za tope na paa za mabati. Kila kibanda kina ukubwa wa futi 12 kwa 12 na kinaweza kukaliwa na watu hadi wanane kwa pamoja. Vibanda hivi hukusanywa pamoja kwenye viwanja (plots), na viwanja vingi havina vyoo. Kwa kuwa wakazi wengi wa Kibera hawana huduma ya vyoo, hulazimika kujisaidia barabarani au kando ya reli kuu inayopita katikati ya mtaa huo wa mabanda. Hali hii husababisha matatizo makubwa ya usafi wa mazingira.

Mifereji ya wazi ya majitaka pia ni jambo la kawaida. Ikiwa kiwanja ni kikubwa zaidi, ambacho kawaida huhusisha familia 50, basi kutakuwa na choo kimoja cha pamoja kwa kiwanja kizima. Mara choo kinapojazwa, wavulana huajiriwa kukisafisha na kukitoa taka. Kazi hii hufanyika kwa kuchukua kinyesi na kukimwaga mtoni. Mbinu hii si salama kiafya kwa wanaokusanya taka hizo, na pia huchafua vyanzo vya maji vilivyo karibu.

Angalizo:
Wakenya wakiona Magorofa ya CBD Nairobi hawakumbuki kuwa wanaishi Kibera au Mathare au Mukuru kwa Njenga
Unaweza kuta wanaotukana kuwa watatufukuza huko kwao wanatoka huku 😂 😂 😂
 
Suluhisho wanalo ila kwa sababu ni wabinafsi.

Tenga eneo nje ya mji kisha jenga flats za kawaida mia 500.

Zikimalizika hamishia watu wanaotoshea hapo kwa flats 500.

Ile sehem waliyotoka hapo libera jenga nyingine 1000.

Ndani ya miaka mitatu kibera Uko clean.
Akili hiyo wanayo sasa. Wanawaza kuandamana tu. Wakijengewa bado wanaweza andamana tena na kubomoa nyumba zenyewe. Ni vichaa sana wakenya hawana akili hata kidogo. Wanafikiri kujua English ndo akili 😂 😂 😂 😂 😂
 
Hatuna cha kujifunza kutoka nchi ambayo inatawaliwa kikabila, imejaa umaskini, chuki na ufisadi
Hii kauli yako inaitwa kiburi, yaani fukara jeuri., wivu, sasa ni povu unamwaga🤣🤣
Ruto ashawakabidhi slum dwellers wa Mukuru nyumba zao leo hii, from slums to standard housing, nyie mkiendelea kukomaa kwa Uswazi., unajiskiaje kilaza?🤣🤣🤣🤣, maumivu
Screenshot_20250520-145559.jpg

1747199862294.jpg



Pole sana, sio makosa yangu Kenya iko ilivyo.,
 
Wadanganye ambao hawajafika Kenya pimbi wewe. Nchi yenyewe hata unga wa kupika ugali mnaandamana!!
Tuko 2025, bado unateseka, nimekupa facts mabadiliko kwa ground,, na wewe nionyeshe kile mnafanya kuondoa hii laana Tanzania
👇👇., Sina haraka nitangoja.,
1692805823875.png

images (73).jpeg

1692805778963.png

6927386831_2ed53fcd0d_z.jpg

images - 2025-04-12T083800.116.jpeg

images - 2025-03-28T174252.456.jpeg
 
Hata mjenge magorofa bado Kibera ipo kwenye top ten ya makazi ya mabanda duniani. Ingia GOOGLE andika "top 10 largest slums in the world" halafu screenshot ulete majibu hapa
Kilaza ni kilaza tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣., zezeta halijui kutumia, google bora tu amesoma jambo google ndio basi🤣🤣🤣🤣🤣🤣 source ni nani?, halijui Kuna opinions kwa google., tafuta elimu, kumbe naongea na liboya 🤣🤣🤣🤣🤣.,,
Wacha nikupe facts., ata idadi ya mafukara wa Kibera hawafiki nusu milioni!.,
Screenshot_20240527-230346.jpg

Screenshot_20240527-230321.jpg


Ilhali Tanzania ndio inaongoza kwa watu wengi fukara wa kutupwa ukanda huu kwa mjibu wa World Bank, hauoni aibu?
Screenshot_20240802-022252.jpg

Uganda, Rwanda Burundi wamewazidi 🤣🤣🤣🤣.,
 
Mbona unatumia nguvu kubwa sana kuaminisha watu kuwa Kibera imefika mwisho!
Hiyo sehemu nimezungushia msitari mwekundu ndo project za housing ziko.
Yaani hapo ni sawasawa uweke kijiko cha sukari kwenye bahari. 😂😂😂
View attachment 3339643
Sasa na wewe pia ni kilaza! nyumba zimeenda juu na mingi mno, mfano, ebu hesabu nyumba moja moja zikizo tapakaa kwa ground kisha uzichukue uziweke kwa pamoja juu ya nyingine baada ya nyingine., yaani namaanisha one huge apartment inabeba over 500 units!., na ziko kibao, na bado zonaendeleajujengwa, mrqdi hausinami hadi Kibera isafishwe yoite., unajua nyumba mia tano kwa ground zina cover sehemu kubwa kiasi gani? mbona haushirikishi obongo kwa hoja? Unajibu kishabiki kama vilaza wenzako 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣maboya mko wengi🤣🤣🤣, ama unajitia hamnazo wazi wazi tu, hutaki kuonekana mnyonge, ila hii ni unyonge wa kifikra.,
Ungefija pale ujionee kwa macho ndio ungejua ukubwa wa haya apartments sio mchezo., so hii phase one ikikamilika itakua imefagia nyumba za kibera kwa kiwango kipi?.., mbona inawauma?🤣🤣🤣🤣
1741754258121.jpg

1741754239617.jpg

1741754237270.jpg

1741754234910.jpg

1741754232630.jpg
 
Bado mnaishi kwenye mabanda maana hizo nyumba hazijaisha kujengwa. Wewe mwenyewe unatokea slums tu wala usitusumbue
Tafuta bando, mada ilikua Kibera ulileta wewe., sasa umeumbuka baada ya kukurupuka bila kuchunguza..,
Kibera 2025;., haifanani na zile porojo zako., inakuuma najua., ulidhani umefaulu kudanganya wenzako 🤣🤣🤣🤣🤣.,


View: https://youtu.be/FBLQxg4rdOQ?si=RvbJfhin-0-G5Z5z
 
Sasa na wewe pia ni kilaza! nyumba zimeenda juu na mingi mno, mfano, ebu hesabu nyumba moja moja zikizo tapakaa kwa ground kisha uzichukue uziweke kwa pamoja juu ya nyingine baada ya nyingine., yaani namaanisha one huge apartment inabeba over 500 units!., na ziko kibao, na bado zonaendeleajujengwa, mrqdi hausinami hadi Kibera isafishwe yoite., unajua nyumba mia tano kwa ground zina cover sehemu kubwa kiasi gani? mbona haushirikishi obongo kwa hoja? Unajibu kishabiki kama vilaza wenzako 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣maboya mko wengi🤣🤣🤣, ama unajitia hamnazo wazi wazi tu, hutaki kuonekana mnyonge, ila hii ni unyonge wa kifikra.,
Nina akili timamu, i don't deal with kaongos.
Jifunze kuandika.
 
Nina akili timamu, i don't deal with kaongos.
Jifunze kuandika.
Najaribu sana kujishusha kwa level yenu ya Kiswahili ndio tuelewane, kuwaelimisha ni ngumu mno, elewa hilo.,
Ungefika pale ujionee kwa macho ndio ungejua ukubwa wa haya apartments sio mchezo., so hii phase one ikikamilika unajua itakua imefagia nyumba za kibera kwa kiwango kipi?.., mbona inawauma?🤣🤣, mtanyooka, poleni sio vile mlitarajia
1741754258121.jpg

1741754234910.jpg

1741754237270.jpg

1741754239617.jpg
 
Ruto kafaulu, watu wa Mukuru slums wamepewa nyumba leo hii, na bado anaendelea na ujenzi hiyo Mukuru,
Mukuru slum upgrading ilikua project alioanzisha Uhuru Kenyatta.,




Wenye wivu wajinyonge
 
Hawa jamaa huwa wanaiponda sana Tanzania, lakini mimi nimepita Kenya na naamini maskini wa Tanzania ana nafuu labda awe mvivu tu
Kenya ni capitalist country yaani masikini ni masikini haswa hapo kibera ukifika ni udongo mwekundu halafu hapana mvuto wa kukaa binadamu kuna sehemu nyingine ya kipuuzi inaitwa mathare ukienda mzembe mzembe hurudi na simu, halafu vitu bei rahisi sana huko.

Pia kariobangi na pipeline ni sehemu mbaya kabisa pale nairobi.
 
Najaribu sana kujishusha kwa level yenu ya Kiswahili ndio tuelewane, kuwaelimisha ni ngumu mno, elewa hilo.,
Ungefika pale ujionee kwa macho ndio ungejua ukubwa wa haya apartments sio mchezo., so hii phase one ikikamilika unajua itakua imefagia nyumba za kibera kwa kiwango kipi?.., mbona inawauma?🤣🤣, mtanyooka, poleni sio vile mlitarajia
View attachment 3340030
View attachment 3340027
View attachment 3340028
View attachment 3340029
Taitas, hii mnaenda kuzalisha pipeline nyingine maana watu mnaowajengea wamezoea kuishi na vinyesi ndani ya nyumba kwenye mifuko.
 
Bongo pia yapo maeneo ya hivyo ila kwa sasa wengi wamewaandikisha TASAF na kuwajengea nyumba za kisasa hio ndio imekua ponapona yao bila hivyo msingekua mnaicheka Kibera wakati kwenu pia ndio hivyo hivyo
Mkuu Tanzania sijaona sehemu mbaya kama kibera au mathare, huko uwanja wa fisi vyoo vipo.
 
Ujenzi bado inaendelea Mukuru slums, phase one imekamilika!
1747199862294.jpg



Ongoing construction 🔥🔥🔥
 
Kwa takwimu mpya zinataja Kibera kuwa ndiyo numero uno kwa sasa duniani. Watu wengi hasa watanzania hudhani slums Kenya ni Kibera pekee kumbe sio kweli, Nairobi pekee ina ma slums zaidi ya 100 na mengine makubwa kuliko Kibera, Kenya ni nchi ya hovyo mno zaidi unavyoweza kufikiri.
Halafu wako aggressive muda wote, askari: "dereva kuja upaki hapa!" dereva: "peleka ujinga yako huko! mimi ni bibi yako?."

Bongo kuna heshima sana.
 
Tatizo kibera kuna umaskini wa kuzaliwa, hata uwajengee nyumba mpya wote baada ya miezi michache panageuka pipeline tena mara 100 ya pipeline. Fuatilia sehemu ya makazi inaitwa pipeline kule Kenya alafu urudi hapa.
Yaani mkuu kama ulikuwepo, nimemwambia hapo juu kuwa hata wajenge vipi wanazalisha pipeline mpya.
 
Taitas, hii mnaenda kuzalisha pipeline nyingine maana watu mnaowajengea wamezoea kuishi na vinyesi ndani ya nyumba kwenye mifuko.
Unaskia vibaya mno, pipeline tatizo ilikua barabara kwa sasa ziko na kabro na zingine lami, nyumba zenyewe ni self contained, nyie mmebakia kwa uswazi, vyoo vya nje, najua inawauma sana, hivi karibuni utaona viongozi wenu mbio mbio wamefika kuifanya bench marking🤣🤣🤣🤣.,
Pipeline 👇leo hii, pale Dar hii ingekua makazi ya waarabu na wahindi.., hapa Kenya ni ya wale wenye wametoka vijijini wanakuja kutafuta ama kuanza maisha., Kisha wanasonga.., Kenya sio Tanzania kaka🤣🤣

PIPELINE ESTATE!🔥🔥🔥🔥
images-4.jpg

figure-1.jpg

picture1.jpg

jujanhkb749j9z572ee3dfb5214.jpg

images-3.jpg
 
Back
Top Bottom