Ijue Kibera- Nairobi, Kenya:- Moja ya makazi duni ya mabanda (slums) makubwa 10 katika dunia

Ijue Kibera- Nairobi, Kenya:- Moja ya makazi duni ya mabanda (slums) makubwa 10 katika dunia

Yaani unaandika uongo pipeline yenyewe hauijui, uliona picha wakati ilikua na tatizo ya barabara mvua ikinyesha inakua na matope na uchafu. Nyumba zenyewe ni self contained sio kama uswazi zenu 🤣🤣🤣🤣🤣., utakufa wewe
View attachment 3340067
View attachment 3340068
View attachment 3340069
View attachment 3340066
View attachment 3340070
Wewe bwege uko overly obsessed na hizo ghorofa. Kila mahali unajibia picha hizo hizo; Mara ni za kibera, mara za Mukuru kwa Njenga mara tena ni za Pipeline.
 
Katika Mikunya mipumbavu, humu JF nadhani wewe ndio leader.

Punguza Miraa
Sasa hii inaitwa maumivu., ungekua na akili ungeleta kile Tanzania inafanya kuijibu kile Kenya inafanya ila mmebakia kubweka bweka humu kizombie..,
 
Harufu ya muongo inamuuza siku zote🤣🤣🤣🤣🤣.,
Huo ndiyo ukweli hakuna mtanzania anaisha maisha duni kama wakazi wa Kibera. Watu mnaishi kwenye nyumba hazina vyoo. Mnakunya kwenye mifuko ya plastic halafu usiku mnatupa nje?? Sasa tofauti ya Wakenya na wanayama iko wapi?
 
Sawa pumzika dogo.
 
Sasa hii inaitwa maumivu., ungekua na akili ungeleta kile Tanzania inafanya kuijibu kile Kenya inafanya ila mmebakia kubweka bweka humu kizombie..,
Wewe ni zuzu.

HEAVY SLUMS kenya haziishi kwa kukata vipesa kwenye salary slip za watu, na kuuzia mama mboga chumba 1, au viwili kwa miaka 30.

Uko kama TAAHIRA.

Halafu TZ hakuna tatizo la makazi.
 
Wewe ni zuzu.

HEAVY SLUMS kenya haziishi kwa kukata vipesa kwenye salary slip za watu, na kuuzia mama mboga chumba 1, au viwili kwa miaka 30.

Uko kama TAAHIRA.

Halafu TZ hakuna tatizo la makazi.
Unatamani fikra zako uchwara zikue ukweli hehehehe, pole kilaza, mnatia huruma sana
 
Mathare ni sehemu ndogo sana, na ni mchanganyiko, pia apartments zimejaa kibao, tazama google earth, Wacha porojo, sio kama Tanzania uswazi imetapakaa approximately 80% ya jiji ama zaidi, mko hovyo wacha kutetea ufukara, nielezee ni nini viongozi wenu wanafanya kuwakomboa kutokana na maisha duni? Kenya wanafanya yao, Tanzania je??.,
Dar es Salaam ina planned area na unplanned area. Lakini haina slums zenye mnaishi kama mifugo
 
Data zipo, uongo sana, Tanzania ndio taifa ya mafukara wengi wa kutupwa in EAC., mbona unakurupuka bila dhibitisho? uko timamu kweli?.., andika kama mtu mwenye ako na elimu.., weka facts, show credible data.., mko hovyo sana in East Africa na kulingana na data ya IMF mnaongoza kwa watu wengi wenye wanaishi kwa slums, hilo najua haujui, huwa mnajidanganya kweli, ama serikali yenu ya CCM imewalisha propaganda hadi basi ndio makapuku kama wewe udhani uko na nafuu, mko hovyo, la sivyo omba omba wenu hawangekua Kenya kwa wingi., pole bro, hauna lako, you are merely clutching at straws, usha zama! hhehehe
Hatuna slums Tanzania bali tuna unplanned settlements
 
Unataka tukuamini wewe na hizo zako za 'si mi nakushow' AKA 'Trust me bro'?
Kanunue bedsitter.

Bei hizo hapo👇👇

20250520_194839.jpg
 
PELEKA UMASKINI WAKO MBAGALA
Pale JUHA linapotaka KUTAPELI.

Maana najua una hali mbayaaaaa.

Kapige kazi za MJENGO.

Lests assume, familia ya baba na mtoto labda corporate ndio wanaanza maisha👇👇

2 bedrooms

Ksh 1, 280,000 = Tsh 23,000,000.

(Hiyo ni Lumpsum, pesa ya mkupuo)

Them, unalipa Ksh 6,800 = Tsh 122,400/= kila mwezi kwa miaka 30.

Sawa na Tsh 44,064,000 plus 23,000,000 = Tsh 67,064,000=

Meanwhile pesa zilizotumika kujenga hizo bedsitter zimekatwa kwenye salary yako.

TAAHIRA.
images (6).jpeg

View attachment 3340306View attachment 3340307
Peleka umaskini Tandale. Si umesema tuachane na takwimu, sasa hizo takwimu zako za nini? Unadhani Wakenya hawana pesa kama nyinyi?
 
Peleka umaskini Tandale. Si umesema tuachane na takwimu, sasa hizo takwimu zako za nini? Unadhani Wakenya hawana pesa kama nyinyi?
Taahira.

Takwimu ziko wapi??

PRice ya bedsitter unaita Takwimu. Umeshalewa MIRAA
 
Back
Top Bottom