Ijue Kibera- Nairobi, Kenya:- Moja ya makazi duni ya mabanda (slums) makubwa 10 katika dunia

Taahira.

Takwimu ziko wapi??

PRice ya bedsitter unaita Takwimu. Umeshalewa MIRAA
You don't understand anything about Nairobi ndio maana unaongea ujinga. Tafuta minimum wage ya Nairobi then linganisha na ya Darislum ndio uje kuongea ujinga hapa.
 
You don't understand anything about Nairobi ndio maana unaongea ujinga. Tafuta minimum wage ya Nairobi then linganisha na ya Darislum ndio uje kuongea ujinga hapa.
Nimekwambia, LALA.

MIRAA imeshakutafuna.

Haya, tell us Hiyo minimum wage ndio hii au kuna nyingine?

Ksh 50,000/=

 
Wote hao wana maji ya bomba, umeme na barabara. Hakuna mtu anakunya kwenye plastic bag na kutunza mavi kisha kuyarusha nje usiku kama wakazi wa Kibera
 
Nilishuhudia mwenyewe, ni hatari, huwezi ukaamini ni Kenya yenye uchumi mkubwa Africa Mashariki.
Kuna watu 10 Millioni wanaoishi kwenye slums kati yavtota population ya Kenya ipatayo 57 Millioni.

Hawa jamaa wanatushinda kupiga domo na matusi lakini hawana lolote


Imagine mtu anaringia utajiri wa mabepari wacahche wakati yeye anaishi kwenye mabanda ya Kibera au Mathare
 
Hao biashara zao zko nje sio income from tz only
 
You don't understand anything about Nairobi ndio maana unaongea ujinga. Tafuta minimum wage ya Nairobi then linganisha na ya Darislum ndio uje kuongea ujinga hapa.
Hizo takwimu zina mis represent true fact kwa kuwa inachukua utajiri wa watu wote kwa pamoja na kugawanya kwa wote. Ni upuuzi kusema kuwa Per capita Income ya Nairobi ni USD 2500 kwa mfano, hivyo basi kipato cha Uhuru Kenyata ni sawa na cha Boniface Mwangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…