Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
- #381
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo inabaki kuwa historia tu, Isarael iliwahi kuwa na njaa kubwa wakati utawala Nebukadneza 550's K.K, na Rumi 70's A.D, China wakati 1936 -1939 A.D, je Hadi Sasa hayo mataifa ni maskini?Ni hapo juzi tu kati ya mwaka 1994-1998 North Korea ilikumbuwa na njaa ya kutisha "Arduous March" ambapo watu milioni 3 walikufa kwa njaa. Maelfu walikuwa wakijaribu kutoroka nchi hiyo kama ilivyokuwa kwa raia wa Zimbabwe, tofauti huko Korea Kaskazini wakikumata unataka kutoroka nchi wanakupiga risasi.
Uzuri madikteta huwa hayawezi kuficha njaa za raia waka na kuanguka kwa uchumi.