Ni hapo juzi tu kati ya mwaka 1994-1998 North Korea ilikumbuwa na njaa ya kutisha "Arduous March" ambapo watu milioni 3 walikufa kwa njaa. Maelfu walikuwa wakijaribu kutoroka nchi hiyo kama ilivyokuwa kwa raia wa Zimbabwe, tofauti huko Korea Kaskazini wakikumata unataka kutoroka nchi wanakupiga risasi.
Uzuri madikteta huwa hayawezi kuficha njaa za raia waka na kuanguka kwa uchumi.