Ijue kwa undani nchi ya Brunei ambako Raia hawalipi kodi ni kula bata tu

Unachanganya mambo.

Jinni ni kiumbe ambae wapo wengine wao ni mashetani. Kama ilivyo kwa binaadam, wapo wengine ni mashetani.

Shetani si lazima awe ni katika majinni, wapo binaadam mashetani, mfano huyu mchungaji:

Mchungaji mwenyewe ndiye yupi hapo? Au ni huyu hapa karibu uliyemfunika mbunye?
 
Mi Mchagga bwana,kama hakuna pombe wala NOA huko hakunifai bora nibaki kwa SIZONJE!!!!
 
Prof Jay aliwahi kuimba kwenye Bongo Dar Es Salaaam, Wabongo wanaombea wangwezaliwa Brunei wamwage radhi.
 
Ndio tunaelekea hukooo!
 
Wabongo wanapenda sana starehe kuliko kazi wanatamani wangezaliwa Brunei wamwage radhi.
Prof J song bongo dar es salaam

Yap, huu mstari ulinijia kichwani ghafla baada ya kuiona hii Brunei, kumbe jamaa alikuwa anaijua hii nchi toka kitambo!

7.5% of the population are obese, the highest prevalence rate in ASEAN.[142][143] Also, studies by the Ministry of Health show that at least 20% of schoolchildren in Brunei are either overweight or obese.[144]
 
Wabongo hawajachungulia hiyo dili?
Najua wanigeria huko patakuwa pachungu
 
Rasilimali zote za nchi ni mali ya mfalme, hakuna anaeruhusiwa kuuliza mapato yatokonayo na mafuta, kutolipa kodi na huduma za bure ni kama asante tu mfalme anatoa kwa raia wake.
 
It is quite possible for Tanzania, due to the natural resources we have.
 
It is quite possible for Tanzania, due to the natural resources we have.
Mind you their population is 0.4 million comparing to 46 million of our population.
Brunei Population 1960-2016 | Data | Chart | Calendar | Forecast | News
The total population in Brunei was estimated at 0.4 million people in 2015, according to the latest census figures. Looking back, in the year of 1960, Brunei had a population of 0.1 million people.
 
Wameniudhi sehemu moja tu hakuna bia? Kitimoto nayo hakuna sasa Raha iko wapi nchi hiyo...!? Haijanivutia hata nusu ya robo
 
But, what I know in Tanzania, our natural resources are almost proportional to the population growth. At least they can be used to give the relief of her citizens, rather than making the life too hard.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…