Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,529
- 6,095
Si mara mia mkuu,kama maisha mengine yanakwenda kuna shida gani? hapa bongo rasilimali za ''kwetu'' wote ila zinaliwa na wachache na hata ahsante hupewiRasilimali zote za nchi ni mali ya mfalme, hakuna anaeruhusiwa kuuliza mapato yatokonayo na mafuta, kutolipa kodi na huduma za bure ni kama asante tu mfalme anatoa kwa raia wake.
nimecheka balaa,daaaa jf bwanaumekuja bongo kutafuta maisha?
nilikosea mkuu....ikiwa katika local currency inatakiwa iwe equivalent to 1m USD ndio unakuwa milionea!!ingawaje kwa usahihi sio pesa tu kama pesa bali assets worth 1m USDNnachojua jua ili uwe millionaire lazima umiliki pesa yenye thamani ya dollar M1 na kuendelea.
hahahahamkuu tuckatishane tamaa plz
Unafanya nini TanzaniaMm ni mtu wa Brunei..hayo uliyosema ni ukweli mtupu
Hakuna ugumu, muhimu owa usizini, sharia ya kukata mkono na kupigwa mawe ipo kwenye katiba ila wanao hukumiwa hamna maana hakuna anayefikiria kuzini wakati ukiowa unapewa gari na serikali mbali na facilities nyingine muhimu.Ila hapo pa kupigwa mawe duuuh pagumu sana
Naona unaongea kinadharia zaidi mkuu..Hakuna ugumu, muhimu owa usizini, sharia ya kukata mkono na kupigwa mawe ipo kwenye katiba ila wanao hukumiwa hamna maana hakuna anayefikiria kuzini wakati ukiowa unapewa gari na serikali mbali na facilities nyingine muhimu.
Mchungaji anafaidi!!Unachanganya mambo.
Jinni ni kiumbe ambae wapo wengine wao ni mashetani. Kama ilivyo kwa binaadam, wapo wengine ni mashetani.
Shetani si lazima awe ni katika majinni, wapo binaadam mashetani, mfano huyu mchungaji:
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na siku si nyingi unaingia stage ya jini.........
Innal llah waina ilaih rajjiun aiseeUnachanganya mambo.
Jinni ni kiumbe ambae wapo wengine wao ni mashetani. Kama ilivyo kwa binaadam, wapo wengine ni mashetani.
Shetani si lazima awe ni katika majinni, wapo binaadam mashetani, mfano huyu mchungaji: