Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,529
- 6,095
Si mara mia mkuu,kama maisha mengine yanakwenda kuna shida gani? hapa bongo rasilimali za ''kwetu'' wote ila zinaliwa na wachache na hata ahsante hupewiRasilimali zote za nchi ni mali ya mfalme, hakuna anaeruhusiwa kuuliza mapato yatokonayo na mafuta, kutolipa kodi na huduma za bure ni kama asante tu mfalme anatoa kwa raia wake.