PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,175
Hivi kuna nchi inayoitwa Brunei au hiki ni kisiwa cha Australia,
nchi yetuwakati mwingine unaweza ukafikiria hivi sisi waafrica nani katuroga?
Rathili mali zipo tena za kutosha, ila nchi zetu zinakosa viongozi wazuri wakuzisimamia na kuwaletea Maendeleo watu wake.
Tukilinganisha Tanzania na nchi tajwa Tanzania ni Mara mia ya taifa hilo.
Lakini kwa miaka zaidi ya 50 tumeshindwa kuondoa umaskini kabisa.
Mungu Atusaidie sana yumkini tumemwacha Mungu na kuviandama Vinyago.
Sahau, mengi yamesemwa na yatasemwa, ila akili ya kuambiwa[emoji101] + na[emoji118]Huku bado mheshimiwa anatuambia tumvumilie,
Huyo wa chini ujanja mwingi mbele giza na atabaki hivyohivyo na kiburi chake,Darussalam
Dar es salaam
Hapa kuna mmoja alikua mvivu kufikiri
Bara la Asia.iko bara gani mkuu tukaombe uraia?