Ijue kwa undani nchi ya Brunei ambako Raia hawalipi kodi ni kula bata tu

Ijue kwa undani nchi ya Brunei ambako Raia hawalipi kodi ni kula bata tu

wakati mwingine unaweza ukafikiria hivi sisi waafrica nani katuroga?

Rathili mali zipo tena za kutosha, ila nchi zetu zinakosa viongozi wazuri wakuzisimamia na kuwaletea Maendeleo watu wake.

Tukilinganisha Tanzania na nchi tajwa Tanzania ni Mara mia ya taifa hilo.

Lakini kwa miaka zaidi ya 50 tumeshindwa kuondoa umaskini kabisa.

Mungu Atusaidie sana yumkini tumemwacha Mungu na kuviandama Vinyago.
 
Hivi kuna nchi inayoitwa Brunei au hiki ni kisiwa cha Australia,

800px-Panorama_of_Brunei_Regatta.jpg

kumbe ipo! yaani haya ndiyo maisha mnayosifia ya kutokulipa kodi? hiyo ni brunei river
 
Wewe mbongo unataka kwenda huko wakati michepuko kibao? Mawe yatakuua bila sababu. Bongo wakati wa Ramadhani mabaa yanakosa wateja sasa nani atakubali kwenda kunywa gahawa tu mwaka mzima? Kumbuka Money is not everything. Mmegundua kuna watu vijijini wanakula mlo mmoja lakini wanavyosmile kila wakati na kupendana na kulinda ndoa zao na kulea watoto wao kuliko watu wenye uwezo? Unapewa kila kitu lakini huruhusiwi kuuliza hiki kinaendaje? Najua hata hapa tunadhani tuna uhuru lakini tumefungwa kuliko nchi nyingine nyingi tu, ila wenzetu mhu. Mimi sitaki tiketi yenu aku siendi nitafia bongo nauza samaki na mboga zangu.
 
wakati mwingine unaweza ukafikiria hivi sisi waafrica nani katuroga?

Rathili mali zipo tena za kutosha, ila nchi zetu zinakosa viongozi wazuri wakuzisimamia na kuwaletea Maendeleo watu wake.

Tukilinganisha Tanzania na nchi tajwa Tanzania ni Mara mia ya taifa hilo.

Lakini kwa miaka zaidi ya 50 tumeshindwa kuondoa umaskini kabisa.

Mungu Atusaidie sana yumkini tumemwacha Mungu na kuviandama Vinyago.
nchi yetu
changa mkuu tutafika tu huko .

Polepole ndoo mwendo.
 
itabidi nihamie huko. Tanzania ya ccm nimeichoka
 
Sultane Hassanaly Bolkia ndie Rais vile vile Cheo chake kingine ni PRESIDENT OF THE RICHEST COUNTRY....
[emoji6] [emoji4] [emoji4]
 
Hizo ni faida za uongozi wa Kifalme, nchi nyingi zinazotawaliwa Na Wafalme ziko vizuri, mfano Japan, Thailand, Kuwait, Jordan, Morroco, Uingereza, Uholanzi, Belgium, Sweden, Finland n.k
 
Mkuu wetu angetoa mwaliko kwa huyo mfalme wa Brunei aitembelee Darussalaam ya Tanzania!!Labda angetoa viza vya kwenda huko
 
Back
Top Bottom