Ijue kwa undani nchi ya Brunei ambako Raia hawalipi kodi ni kula bata tu

Ijue kwa undani nchi ya Brunei ambako Raia hawalipi kodi ni kula bata tu

Naona unaongea kinadharia zaidi mkuu..
Ila ukifikiria zaidi katika ulimwengu wa kawaida utaona ugumu ninauongelea hapo.
Ni malezi tu, kama umeishi na kuzoea maisha ya ajabu kama ya hapa kwetu Brunei hupawezi. Utaratibu huo wamejiwekea kitambo na wanaozaliwa wameukuta na kuheshimu, kama sisi tulivyoukuta huu wetu wa kudokoa dokoa na zinaa
 
Kuna jamaa alikaa huko aliwai kunambia yeye anapenda kutembe kwenda kazini lakini ilikuwa kero kila hatua kadhaa gari inafunga break kumuuliza kama anataka msaada maana huko ni kitu cha ajabu mtu kutembea. Anasema wako juu sana ila magonjwa yasiyoambukizwa yako juu pia sababu ya life style. Huyu jamaa yeye ni mwingereza mwenye asili ya pakistan nadhani ndio maana ilikuwa rahisi kwake kufanya kazi huko
 
8841b0aff1db5832f11915b85e71e674.jpg
......nahuyo ndie mfalme wao
 
Ni kweli nimewahi kufika kisiwa hicho nikakaa mwezi mmoja nilitamani niache kazi kwetu nibakie huko
 
Dah kwel huko uraia tutapata kwel maan kunamamb mazur japo wanavi2 viwili tu lkn cc tunavitu vyote bado tunakosa vi2 vyote
Ila naona pia wale hawana ccm na sizonje [emoji81] [emoji81] [emoji81]
 
Back
Top Bottom