homo sapiens
Senior Member
- Nov 5, 2016
- 162
- 172
Iko Bara la Asia lakini hawasajili raia kutoka nje ya nchi yao. Wao wametosha. Wapo laki nne na ushee hivi.iko bara gani mkuu tukaombe uraia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iko Bara la Asia lakini hawasajili raia kutoka nje ya nchi yao. Wao wametosha. Wapo laki nne na ushee hivi.iko bara gani mkuu tukaombe uraia?
Ni malezi tu, kama umeishi na kuzoea maisha ya ajabu kama ya hapa kwetu Brunei hupawezi. Utaratibu huo wamejiwekea kitambo na wanaozaliwa wameukuta na kuheshimu, kama sisi tulivyoukuta huu wetu wa kudokoa dokoa na zinaaNaona unaongea kinadharia zaidi mkuu..
Ila ukifikiria zaidi katika ulimwengu wa kawaida utaona ugumu ninauongelea hapo.
Good questionTulikuwa wapi mpk wakatufikisha hapa?
Hahaha, chini ya sizonje wangekua mashetani [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bahati yao hawana sisiemu!
Ila naona pia wale hawana ccm na sizonje [emoji81] [emoji81] [emoji81]Dah kwel huko uraia tutapata kwel maan kunamamb mazur japo wanavi2 viwili tu lkn cc tunavitu vyote bado tunakosa vi2 vyote
Kweli kabisa!Lau kama watu wangekuwa wana akili za kuzingatia mambo;
Utawala wa kiislamu ndio suluhisho la matatizo yote ya dunia hii
ha ha haaaMm ni mtu wa Brunei..hayo uliyosema ni ukweli mtupu