bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Leteni na utawala wa Vatican tuone kama kuna muislamuKwani wakristo nao leo wanataka utawala wao. Yesu hakuja kutwaa dola kwa mabavu. Mind you.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leteni na utawala wa Vatican tuone kama kuna muislamuKwani wakristo nao leo wanataka utawala wao. Yesu hakuja kutwaa dola kwa mabavu. Mind you.
Sura za hao jamaa ni waarabu kama walivyo waarabu wengine so unataka kunambia ili uwe gaidi basi shart tu uwe mwarabu? Ndo ulivyo ulivyokaririshwa hivyo na CNN na BBC chini ya baba yao America😂😂😂 hivi mbowe anaendana na sura hizi ,police na TISS kuweni siriazi basi😄
Hapana mzee ata tukienda kutafta CV zao ni watu wa matukio sana sijasema kuwa mwarabu ni gaidi totallySura za hao jamaa ni waarabu kama walivyo waarabu wengine so unataka kunambia ili uwe gaidi basi shart tu uwe mwarabu? Ndo ulivyo ulivyokaririshwa hivyo na CNN na BBC chini ya baba yao America
Wa Afghan sio waarabuSura za hao jamaa ni waarabu kama walivyo waarabu wengine so unataka kunambia ili uwe gaidi basi shart tu uwe mwarabu? Ndo ulivyo ulivyokaririshwa hivyo na CNN na BBC chini ya baba yao America
Kama ambavyo Mullah Mohammad Omary hakuwa na picha official inayoonyesha sura yake naona na mwanae Mullah Muhammad Yaqoob hana picha
Kumbe wazungu waleWa Afghan sio waarabu
Nyie ndo mnaoamini kila mwislam mweupe ni mwarabu. Acha kuishi kwa mazoea, jifunze mambo.Kumbe wazungu wale