Ijue mfumo wa uongozi wa Taliban

Ijue mfumo wa uongozi wa Taliban

Sura za hao jamaa ni waarabu kama walivyo waarabu wengine so unataka kunambia ili uwe gaidi basi shart tu uwe mwarabu? Ndo ulivyo ulivyokaririshwa hivyo na CNN na BBC chini ya baba yao America
Hapana mzee ata tukienda kutafta CV zao ni watu wa matukio sana sijasema kuwa mwarabu ni gaidi totally
 
Kumbe wazungu wale
Nyie ndo mnaoamini kila mwislam mweupe ni mwarabu. Acha kuishi kwa mazoea, jifunze mambo.
Afghanistan inaundwa na makabila manne. Pashtons, Tajiks, Hazaras(wote hawa wakiwa ni jamii za kiajemi(modern day Iran) na Uzbeks(Jamii ya kituruki).
Waarabu walioko Afghanistan hawazidi 100,000 katika nchi yenye raia milioni 31
 
Back
Top Bottom