Umenikumbusha hapo Shanghai Canteen inayozunguka ndani ya hiyo tower...Maisha yako juu sana kwenye jiji hiyo ni kama upo Paris.Shanghai - China
Shanghai population 29,211,000
View attachment 2754199
View attachment 2754200
View attachment 2754201
View attachment 2754203
Acha kukaza kichwa si unaona wenzio wamekubali ila wameibuia hoja ya ukongwe? Kwa maana infrastructures za china ni mpya(za kisasa)...leta unabisha leta picha za London hapa tulingalishe na Beijing au Shanghai..
Umeenda china mji gani?Nimefika china na umoja wa ulaya
Ukuniambia nichague wapi pa kuishi mara mia mbili nitachagua western
Pmj na magorofa hayo wachina bado wanandoto za kuzamia ulaya na USA
Kwenye kusaka maisha, Wachina wanapenda sana watu wa Ulaya...wasichina wa China wanapenda sana kuolewa na wanaume wa Ulaya make wanaimani kuwa watakuwa wamefanikiwa ki maisha hasa wale gold digger.Nimefika china na umoja wa ulaya
Ukuniambia nichague wapi pa kuishi mara mia mbili nitachagua western
Pmj na magorofa hayo wachina bado wanandoto za kuzamia ulaya na USA
China wamejitahidi sana na wanazidi kutengeneza namna bora ya kuishi.Umeenda china mji gani?
Mbona hata majiji ya China ni makongwe kama ya Ulaya na Marekani.Mji uliojengwa miaka 500 huko huwezi linganisha na mji uliojengwa jana, bado old city utakuwa best sababu angalia muda na wakati ndipo utaona why this.
Inapohusu miundombinu West wana mengi ya kujifunza kutoka ChinaChina bado inasafari ndefu
West next to none