Ijue minara kumi ya kuvutia mirefu zaidi duniani

Hili wazo limeshamfikia jiwe, ngoja atajenga mkubwa kuliko yote Duniani. Wachina watakuja kusaini mikataba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jamani msichanganye futi na meter. Akisema futi 1,300 siyo kwamba ni kilometer 1.3. Jamani Meter 1 ni sawa na futi 3.3...
Kwa hiyo hapo ni kama meter 400 hivi
 
Aisee umechemka hizi mita
 
Jamani msichanganye futi na meter. Akisema futi 1,300 siyo kwamba ni kilometer 1.3. Jamani Meter 1 ni sawa na futi 3.3...
Kwa hiyo hapo ni kama meter 400 hivi
Mita 1 = Futi 3.3
Km 1 = Mita 1000
Hivyo Km 1 ni sawa na futi 3300

Kuna mtu uliyemwona anachanganya mkuu ungemquote ingekuwa rahisi kueleweka
 
Hizo ni futi
Hivyovni typing error....ungekuwa unasoma kwa umakini ungegundua minara yote nimetumia kipimo cha futi
Nilielewa sana ila kuna mwingine ulitaja na mita zake ndio maana hata huu nikahisi umemaanisha
 
Nilielewa sana ila kuna mwingine ulitaja na mita zake ndio maana hata huu nikahisi umemaanisha
Upo sahihi mkuu
Lilikuwa ni kosa dogo ila linaloweza kumchanganya mtu nimeisharekebisha
Shukrani mkuu
 
Yaani wwe jamaa na audience wako mnaniacha hoi sana
Mkuu Jf ya sasa hivi inaboa sanawatu wanaangalia nani kaandika madabadala ya kufocus mada mfano hapa intelligence kuna thread nyingi tu mbovu ila kwavile zimeandikwa na "watu fulani" huwezi kukuta wanakosoa zaidi ya kusogeza mapeji na kupongeza

Ila akina sisi kila thread ni kukosolewa na kushambuliwa tu utafikiri tunaandika pumba

Mtu usipokuwa mvumilivu unaweza kutukana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…