fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,911
Huu wa bongo ni wa ngapi.TPA Port tower- Kigamboni, Dar Es Salaam.
![]()
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu wa bongo ni wa ngapi.TPA Port tower- Kigamboni, Dar Es Salaam.
![]()
![]()
HahahaUngecompile yote halafu ukapost kipi kingepungua!?.. Au kuna mtu ulikuwa unamuwahi post!?..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hili wazo limeshamfikia jiwe, ngoja atajenga mkubwa kuliko yote Duniani. Wachina watakuja kusaini mikataba
Aisee umechemka hizi mita4/Ostankino Tower
![]()
![]()
Huu ndo mnara mrefu zaidi barani Ulaya
Upo kule kwa "Kumsamehe gaidi ni kazi ya Mungu ila kumpeleka gaidi kwa Mungu ni kazi ya Putin" .......Sasa ole wao ISIS wakaulipue kitakachowapata watajua wenyewe tunaweza tukaokota hadi bongo vichwa vilivyojaa ndevu kama kambale
Upo jijini Moscnow nchini Urusi
Ulianza kujengwa mwaka 1963 na kukamilika ujenzi wake mwaka 1967
Unatumika kwa ajili ya kurushia matangazo ya luninga na radio,kutizama jiji la Moscow na utalii
Pia ndo jengo refu zaidi barani Ulayaa na kwa dunia unakamata # 11 kwa urefu wa jengo ukipambanishwa na majengo yote
Mnara huu una urefu wa mita 1,772
Mita 1 = Futi 3.3Jamani msichanganye futi na meter. Akisema futi 1,300 siyo kwamba ni kilometer 1.3. Jamani Meter 1 ni sawa na futi 3.3...
Kwa hiyo hapo ni kama meter 400 hivi
Nilielewa sana ila kuna mwingine ulitaja na mita zake ndio maana hata huu nikahisi umemaanishaHizo ni futi
Hivyovni typing error....ungekuwa unasoma kwa umakini ungegundua minara yote nimetumia kipimo cha futi
Mimi naujua kama hujapata srma nikuwekeeMi mwenyewe nautafuta mkuu
Duniani hakuna mnara unaoitwa hivoElfeltTtower
Yaani wwe jamaa na audience wako mnaniacha hoi sanaWewe kweli ndunje.....pumba tupu
Uweke mkuu hlf ni mentionMimi naujua kama hujapata srma nikuwekee
Mkuu Jf ya sasa hivi inaboa sanawatu wanaangalia nani kaandika madabadala ya kufocus mada mfano hapa intelligence kuna thread nyingi tu mbovu ila kwavile zimeandikwa na "watu fulani" huwezi kukuta wanakosoa zaidi ya kusogeza mapeji na kupongezaYaani wwe jamaa na audience wako mnaniacha hoi sana