Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe lengo lako ni kutohold??Ila usijali mkuu nipo likizo now nitakuwa napisti hapa intelligence kuhusu "10 kubwa" hivyo uwe unachungulia mara moja moja ila nitakuwa nadondosha kidogokidogo
Kuwa na amani jombasikuwa na nia mbaya mkuu.
ila watu wengi wanaishi kusoma thread basi. wachache sana wanasoma kila post.
nadhani umenielewa vibaya ngoja nikuache ila mimi nasoma post zote hata kama ukipost uharo nasoma
Kwani kuna mtu alikulazimisha uandike? Au una kichaa.Kwani unanilipa ?
Mnazingua kwa ulalamishi
Huu mnara nimeshawahi kuupanda, urefu wake ni 350m, mleta maana jaribu kuweka sahihi vipimo vya minara hii5/The Oriental Pearl Tower
![]()
![]()
Mnara huu unapatikana karibu na mto Hangpu huko Pudong New Area Shanghai nchini China<br
Ndo mnara unaotegemewa kwa matangazo ya radio na luninga jojini Shanghai
Ulianza kujengwa mwaka 1991 na kukamilika mwaka 1994
Ni mnara mahususi kurushia matangazo ya vyombo vya habari ila pia una migahawa na hoteli, bila kusahau unatumika kulitazamia jiji la Shanghai
Una urefu wa futi 1,535
Mita 1 = Futi 3.3Huu mnara nimeshawahi kuupanda, urefu wake ni 350m, mleta maana jaribu kuweka sahihi vipimo vya minara hii
Nadhani yupo sahihi na wewe upo sahihi ila record inaonyesha hivyo hapo chini;Huu mnara nimeshawahi kuupanda, urefu wake ni 350m, mleta maana jaribu kuweka sahihi vipimo vya minara hii
Kwa nchi za Kiafrika suala la kujenga minara kama utambulisho wa jiji na kivutio cha utalii au kurushia matangazo ya redio na televisheni halipewi kipaumbele .
Pia inaonekana kama matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi
Dikteta Mobutu Sese Seko alwahi kuanzisha ujenzi wa mnara huko nchini Zaire(DRC) lakini hadi anaondolewa madarakani haukukamilika na kuishia kutelekezwa tu na kuwa makazi ya bundi
Kwa Wakristo kuna Mnara wa Babeli ila sijajua ni mnara wa kiimani tu au upo kweli duniani
Tuangalie minara 10 mirefu zaidi duniani
......................................................... .......
10/Zhongyuan Tower
![]()
![]()
Unapatikana Zhengzhou katika jimbo la Henan nchini China
Unaaminika kuwa ndio mnara mrefu zaidi duniani uliotegenezwa kwa vyuma.....ikumukwe hata ElfeltTtower huko jijini Paris Ufaransa umetengenezwa kwa vyuma na ndo chanzo cha jamaa fkani hivi kuwatapeli wafanyabiashara wakubwa kwa kuwadanganya kuwauzia ili wapate vyuma
Sasa tuendelee.....mnara huu ujenzi wake ulikamilika mwaka 2011 na ndo ukawa mnara mrefu zaidi wa chuma hadi pale mwingine ulipojengwa Tokyo Japan
Mnara huu una migahawa takribani 200 ya kuhudumia wageni/watalii
Hutumika pia kurushia matangazo ya luninga
Una urefu wa futi 1,273
Mkuu hapa intelligence sijawahi kuliona andiko linalomwelezea yeye kama yeye zaidi ni orodha tu ya matapeli(hata mimi ninayo ipo siku nitaweka)Boss ule uzi wa yule jamaa tapeli aliyetapeli kupitia mnara wa ufaransa meutafuta kwa kitambo bila mafanikio ukiwa unaweza upata nisaidie link
Mkuu hapa intelligence sijawahi kuliona andiko linalomwelezea yeye kama yeye zaidi ni orodha tu ya matapeli(hata mimi ninayo ipo siku nitaweka)Boss ule uzi wa yule jamaa tapeli aliyetapeli kupitia mnara wa ufaransa meutafuta kwa kitambo bila mafanikio ukiwa unaweza upata nisaidie link
Upo sahihi mkuuNadhani yupo sahihi na wewe upo sahihi ila record inaonyesha hivyo hapo chini;
Antenna spire 467.9 m (1,535 ft)
Top floor 350.0 m (1,148 ft)