Ijue minara kumi ya kuvutia mirefu zaidi duniani

Ijue minara kumi ya kuvutia mirefu zaidi duniani

Hapo ulipo umepangwa ?
Mkuu Jf ya sasa hivi inaboa sanawatu wanaangalia nani kaandika madabadala ya kufocus mada mfano hapa intelligence kuna thread nyingi tu mbovu ila kwavile zimeandikwa na "watu fulani" huwezi kukuta wanakosoa zaidi ya kusogeza mapeji na kupongeza

Ila akina sisi kila thread ni kukosolewa na kushambuliwa tu utafikiri tunaandika pumba

Mtu usipokuwa mvumilivu unaweza kutukana
Hahaa mkuu hapa hulipwi fanya kile unaona wewe ni sahihi as your signature say..
Kila mtu na utofauti wake.
 
Back
Top Bottom