The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Zama za uhuru,walifaulu miaka hiyo Ghana ila walishindwa mara 3 Tanzania,Leo hii ndio hawawezi kabisaaaNkwame Nkurumah na Ghana hawajatawalia na france
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zama za uhuru,walifaulu miaka hiyo Ghana ila walishindwa mara 3 Tanzania,Leo hii ndio hawawezi kabisaaaNkwame Nkurumah na Ghana hawajatawalia na france
Tukiweka sheria pembeni. Umewahi kusikia Jeshi la Polisi limechukua nchi?Kuna video inatembea mitandaoni!
View attachment 2482273
Video ile inamuonesha mwanajeshi wa jeshi la wananchi akiwa na sare akiwa ni moja ya abiria kwenye bus (daladala) akizozana na askari wa usalama barabarani (trafiki)
Kipande hiko cha video kinaonesha kulikuwa na majibizano na lugha isiyofaa kabla!
Maneno machache yaliyosikika ni Mwanajeshi alijibu kwa kumwambia yule TRAFIKI kwamba! "Wewee huwezi kunionya Mimi wee paka tu"
Traffic alijibu kwa kuhoji "Mimi ni paka?
Mwanajeshi alijibu nae kwa kusema:
" Huwezi kunionya wewe Arooh nakucheki sana!
NANI ANA MAKOSA?
Hapo tukianza na mwanajeshi tunagundua either kwa kusahau au kwa kueleweka vibaya huenda baada ya gari alopanda (daladala) kukamatwa na kushikiliwa hakuona dalili njema za uadilifu kwa traffic ambazo zilionekana kuwachelewesha!
Hivyo kwa nia njema au mbaya huenda alimsihi yule TRAFIKI amalize kazi yake fasta wawahi!
Bahati mbaya huenda TRAFIKI aliitafsiri vibaya ile kauli ya manajeshi na kumuonya yule mwanajeshi! (Bad approach)
Kitendo cha TRAFIKI kumuonya yule mwanajeshi waziwazi kilikuwa na mlengo mbaya na mapokeo mabaya yanayoshusha hadhi ya JWTZ mbele ya RAIA (Na hapo ndipo unamuona mwanajeshi anapaniki kwamba unaweza kunionya wewe paka?)
Na baada ya TRAFIKI Polisi kugundua kwamba Kachemka, alitumia mwanya wa kuitwa PAKA kutafta kinga ya kisheria endapo mambo yataharibika!
Kimamlaka na sheria nani alikuwa sahihi?
Kwa mujibu wa sheria za usalama barabarani (Road traffic act) zinampa mamlaka ya kisheria askari wa usalama barabarani kukamata na kuadhibu chombo chochote cha moto kinachohisiwa kukiuka sheria za usalama barabarani pasipo kujali kimebeba nani!
Mamlaka hayo yakisheria yanamlazimisha TRAFIKI Kuongea na dreva wa chombo husika peke yake (SIYO ABIRIA)
ABIRIA anaweza kutoa maoni au taarifa ya kutokutendewa haki na dreva au chombo lakini HARUHUSIWI KUMUAMRISHA TRAFIKI kutekeleza kazi yake!
ABIRIA akifanya hivyo anakuwa katenda KOSA LA KUMZUIA ASKARI Kufanya kazi yake!
Kwa matinki hiyo TRAFIKI Anaweza kukamata CHOMBO CHOCHOTE CHA KIRAIA (siyo majeshi) hata kama chombo hicho kitakuwa kimebeba kikundi cha wanajeshi kiasi cha kuhatarisha usalama barabarani!
Hivyo kimamlaka ya usalama barabarani TRAFIKI alikuwa sahihi LAKINI ALIKOSA BUSARA!
Mwanajeshi alikuwa sahihi lakini hakutumia BUSARA kufikisha ujumbe wake!
Hapa nachoweza kusema Shamba la bwana kheri, Mbuzi wa bwana kheri!
Maelekezo ya kinidhamu yanayotolewa kila siku HAYAKUZINGATIWA na wawili hawa!
KUKOSA Kwao BUSARA Kunaweza pelekea migogoro ya mihimili miwili ya kijeshi!
Hivyo wote wawili wanastahili ADHABU kutoka wakuu wao na endapo watakuwa na makosa mengine nyuma kama hayo inashauriwa hata KUFUKUZWA KAZI!
Sasa nchi gani ambayo haina sheria likaichukue?Tukiweka sheria pembeni. Umewahi kusikia Jeshi la Polisi limechukua nchi?
Lipitishe tu lakini usiombe uingie kwenye 18 zao utageuka panyakwahiyo wajumbe mnasemaje?
Kwamba hili jina la mapaka tulipitoshe?
Usiache kutupa mrejeshona mm wakinikamata nitawaita paka
Subiri siku ukiingia kwenye kumi na nane za hao wanajeshi ndio utajua ama hujui,tantalila nyingi kama pakaKwani staff sergeant wa jw naye ni commission au other rank[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sasa kama other rank hiyo hadhi unayosema inatoka kwenye sheria gani?
Kama unaizungumzia officer aliye zaidi ya nyota tatu kule police yaani Gazetted officer ni mdogo! Umetumia sheria ipi?
Mbwanjuwanju mbwanjuwanju usiwe kama mabaka nguvu nyingi akili kisoda
Bora kule kule, za kubrashia viatu zipo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ni kanda maalumu hao wanajuana kwa vilemba vyao" Huwezi kunionya wewe Arooh nakucheki sana!
[emoji115][emoji115][emoji115] usilolijua litakusumbua sana akilini mwako bora usome na kupita zako kuliko kuandika yasiyo julikanaKhaaa aaaaa khaaaa. Ukitaka kujua ulingabmnisho angalia Rais anapowatoa hao Watu kwenye Majeshi kuwapeleka Idara za Kiraia kanal anapewa Wilaya na ACP anapewa Wilaya,Major General anapewa Mkoa Kamishina wa Polisi anapewa Mkoa . Hivyo hayo macheo yanapambika tu kimajina nje ya humo majeshini kwenu hayana lolote .
Kuwa muungwana basi Kwa kutumia tafsida, kwani maneno makali hayajengi bali yanabomoa. Halafu kumbuka JWTZ ni taasisi kwa hiyo tabia ya mtu mmoja usiifananishe na taasisi mzima.Nafikiri bila ya kuangalia nani ana cheo gani, unapomkuta askari mwenzako japo ni jeshi tofauti, yuko kwenye majukumu yake, huna sababu ya kumuingilia. Ubabe wa kijinga wa jwtz daima ni tatizo kwa Tz. Wao ndio wakuendesha magari yao upande tofauti, na wanajiona ndio wako juu ya wote.
wapo tarafiki wako vizuli niliona siku 1 mjeda anaendesha noh kapakia abiria kinyme na kawaida akapigwa mkono akagomo tarafiki akamfuata na pikipki akamkuta huyo mjeda akajitia ujuaji wake mboda mjeda aliminywa tukaingilia kati mjeda akasema nipelekeni kwa mkuu wa wilaya tukawaamua huyo mjeda alikuwa anatoka chita wapo polisi wako vizuli usipime ndugu tena yule tarafiki hana makuu na mtu akionya mala ya kwanza ya 2 faini
Video yq zaman sijui kwa nn imerudi kutrend tena mm niliiona 2013 kwa mara ya kwanza.Kuna video inatembea mitandaoni!
View attachment 2482273
Video ile inamuonesha mwanajeshi wa jeshi la wananchi akiwa na sare akiwa ni moja ya abiria kwenye bus (daladala) akizozana na askari wa usalama barabarani (trafiki)
Kipande hiko cha video kinaonesha kulikuwa na majibizano na lugha isiyofaa kabla!
Maneno machache yaliyosikika ni Mwanajeshi alijibu kwa kumwambia yule TRAFIKI kwamba! "Wewee huwezi kunionya Mimi wee paka tu"
Traffic alijibu kwa kuhoji "Mimi ni paka?
Mwanajeshi alijibu nae kwa kusema:
" Huwezi kunionya wewe Arooh nakucheki sana!
NANI ANA MAKOSA?
Hapo tukianza na mwanajeshi tunagundua either kwa kusahau au kwa kueleweka vibaya huenda baada ya gari alopanda (daladala) kukamatwa na kushikiliwa hakuona dalili njema za uadilifu kwa traffic ambazo zilionekana kuwachelewesha!
Hivyo kwa nia njema au mbaya huenda alimsihi yule TRAFIKI amalize kazi yake fasta wawahi!
Bahati mbaya huenda TRAFIKI aliitafsiri vibaya ile kauli ya manajeshi na kumuonya yule mwanajeshi! (Bad approach)
Kitendo cha TRAFIKI kumuonya yule mwanajeshi waziwazi kilikuwa na mlengo mbaya na mapokeo mabaya yanayoshusha hadhi ya JWTZ mbele ya RAIA (Na hapo ndipo unamuona mwanajeshi anapaniki kwamba unaweza kunionya wewe paka?)
Na baada ya TRAFIKI Polisi kugundua kwamba Kachemka, alitumia mwanya wa kuitwa PAKA kutafta kinga ya kisheria endapo mambo yataharibika!
Kimamlaka na sheria nani alikuwa sahihi?
Kwa mujibu wa sheria za usalama barabarani (Road traffic act) zinampa mamlaka ya kisheria askari wa usalama barabarani kukamata na kuadhibu chombo chochote cha moto kinachohisiwa kukiuka sheria za usalama barabarani pasipo kujali kimebeba nani!
Mamlaka hayo yakisheria yanamlazimisha TRAFIKI Kuongea na dreva wa chombo husika peke yake (SIYO ABIRIA)
ABIRIA anaweza kutoa maoni au taarifa ya kutokutendewa haki na dreva au chombo lakini HARUHUSIWI KUMUAMRISHA TRAFIKI kutekeleza kazi yake!
ABIRIA akifanya hivyo anakuwa katenda KOSA LA KUMZUIA ASKARI Kufanya kazi yake!
Kwa matinki hiyo TRAFIKI Anaweza kukamata CHOMBO CHOCHOTE CHA KIRAIA (siyo majeshi) hata kama chombo hicho kitakuwa kimebeba kikundi cha wanajeshi kiasi cha kuhatarisha usalama barabarani!
Hivyo kimamlaka ya usalama barabarani TRAFIKI alikuwa sahihi LAKINI ALIKOSA BUSARA!
Mwanajeshi alikuwa sahihi lakini hakutumia BUSARA kufikisha ujumbe wake!
Hapa nachoweza kusema Shamba la bwana kheri, Mbuzi wa bwana kheri!
Maelekezo ya kinidhamu yanayotolewa kila siku HAYAKUZINGATIWA na wawili hawa!
KUKOSA Kwao BUSARA Kunaweza pelekea migogoro ya mihimili miwili ya kijeshi!
Hivyo wote wawili wanastahili ADHABU kutoka wakuu wao na endapo watakuwa na makosa mengine nyuma kama hayo inashauriwa hata KUFUKUZWA KAZI!
Watanzania maisha haya magumu, bado upate muda, wa kwenda mahakamani kumlalamikia trafiki.fine ya bila sababu usikubali omba kwenda mahakamani.
otherways hiyo ni halali,na umeiona ila unataka kurushiwa shuka.
Issue ya urais baada ya mwenda zake.. bila baba mwenye nyota nyingi kukaza alikuwa anapitaa mtu mwingine... hapo hiyo ni prove nzuri kabisaa ya Jeshi kuwa lina nguvuZama za uhuru,walifaulu miaka hiyo Ghana ila walishindwa mara 3 Tanzania,Leo hii ndio hawawezi kabisaaa
Hili swala lipo wazi kabisaaSio hawapatani, hata raia hawawapendi paka.
Kazi ya Jeshi ni kulinda uhuru wa raia na ndicho walisimamia sio wao kujigeuza watawala..Issue ya urais baada ya mwenda zake.. bila baba mwenye nyota nyingi kukaza alikuwa anapitaa mtu mwingine... hapo hiyo ni prove nzuri kabisaa ya Jeshi kuwa lina nguvu