Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi mkuu? Unaelewa nn kuhusu ukatili wa kijinsia?Ilibidi Iwe Wanaume,,Wanawake,,,na Watoto.
Kivipi mkuu? Unaelewa nn kuhusu ukatili wa kijinsia?
Kwani Wewe unaelewa nini kuhusu ukatili wa kijinsia?Kivipi mkuu? Unaelewa nn kuhusu ukatili wa kijinsia?
Mkakat unaendana na ukubwa wa tatizo na makali ya matendo husika. Ushwahi kusikia mwanaume kapeleka mahakamani mkewe anataka urithi?.Muheshimiwa Kwan wanaume Hawafanyiwi ukati? Mbona huo mpango umekaa kibaguzi kuhusisha jinsia moja?
It go both directions. Wanajamii tunaangalia frequencies, magnitudes na severityKwani Wewe unaelewa nini kuhusu ukatili wa kijinsia?
Kwani Mheshimiwa ukitupatia link ya hiyo document utapungukiwa na nini?Usipofanya ufuatiliaji wa jambo lako, litalala. Ufuatiliaji ni sehemu ya utekelezaji wa sekta zote ndiyo maana unaona viongozi mbalimbali wanafuatilia na kuelimisha na kutoa moyo na kupokea maoni na changamoto... Kwa hiyo ni shughuli ya sekta zote tu na taasisi zote Tanzania na duniani yaani ni component ya utekelezaji. Hata huku kwenye familia unagawa kazi na unafuatilia, unatibu mgonjwa na unamfuatilia.... Unalima shamba na unafuatilia maendeleo kwa kwenda shambani.
Ahsante Sana kwa maoni yako
Ahsante kwa maoni. Wiki iliyopita REPOA wamezindua utafiti uliofanywa kuhusu eneo la hoja yako. Utafiti ndiyo hujenga msingi wa mipango, tafadhali pita ukurasa wao utaona tafadhali. Hivyo, tafiti zote zinazingatiwa katika kusukuma maendeleo na ustawi wa jamii.Andaeni mpango wa kukomesha UKATILI miongoni mwa wanawake na sio dhidi ya wanawake.
Wanawake wamekua wakijiua,wakidhuru waume zao na watoto wao,kukata hata nyeti za waume au wapenzi wao
.
Mnaposema dhidi ya wanawake mnakua hapo sahihi sana. Tengenezeni mpango mkakati wa kudhibiti miongoni mwao( not against it must be within)
Ungetuwekea sasa taarifa ya awamu ya kwanza tukawa na wigo mpana wa kushauri na kuchangia maoni ni nini kiende kufanyika kwenye awamu ya pili.Sasa tutatoaje maoni ya awamu inayofuata kama yale ya awamu iliyoanza ni siri yako/yenu tu??!!!Taarifa ya tathmini ya utekelezaji wa Awamu ya kwanza ipo, ndiyo imeunda mpango wa Awamu ya pili. Tusichanganye matarajio ya ziara ya kesho na mafanikio ya utekelezaji wa MTAKUWWA Awamu ya kwanza tafadhali
Haya mambo yana maelezo mazuri kabisa ya kisayansi. Kwa nn usikubal kama mfumo unafeva upande wa me?. Kinachofanyika ni equity tu.. na sio kama sisi tunateseka may be idea yetu wenyew inatudanganya.Jamii ya kipuuzi Sana kuamini ya kuwa Mwanaume ndio anahitaji teseka Acha Upuuzi kaka
Haya mambo yana maelezo mazuri kabisa ya kisayansi. Kwa nn usikubal kama mfumo unafeva upande wa me?. Kinachofanyika ni equity tu.. na sio kama sisi tunateseka may be idea yetu wenyew inatudanganya.
Wewe mara ya mwisho kulia au kuhuzunika mpaka machozi yakatoka ilikua lini? Unadhan kwa nn
Kama ni hivyo Basi na wao wanastahili hayo ndio mifumo piaHaya mambo yana maelezo mazuri kabisa ya kisayansi. Kwa nn usikubal kama mfumo unafeva upande wa me?. Kinachofanyika ni equity tu.. na sio kama sisi tunateseka may be idea yetu wenyew inatudanganya.
Wewe mara ya mwisho kulia au kuhuzunika mpaka machozi yakatoka ilikua lini? Unadhan kwa nn?
Kwa hiyo hii wizara ina faida ipi kuwepo?Hakuna waziri anayeweza kudhibiti maadili. Hayupo.
Maadili yanadhibitiwa na familia peke yake
Waziri kazi yake ni kudhibiti matokeo ya hayo maadili
Sio kazi ya dr. Gwajima kulea watoto wenu