Ijue Mwanza jiji

Jiji la Mwanza limeundwa na wilaya mbili lakini lina jumla ya kata 20 wakati jiji la Mbeya limeundwa na Manispaa moja tu lakini lina kata 36
 
Inakuaje kilimo na ufugaji ikawa moja ya source of income kwenye jiji?

Yaan hapo nyamagana na ilelemela wanalima kwa kiwango hicho?

Au umechanganya mwanza mkoa na jiji?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IDADI YA WATU
Kwa sasa tunasubiri takwimu za watu na makazi za mwaka 2022, hata hivyo inakadiriwa kuwa na watu milioni tatu hadi sasa
Mwanza jiji haiwezi kuwa na wakaazi milioni 3. Hata mkoa mzima wa Mwanza hauna idadi hiyo ya watu
 
Tanzania ina majiji 3 tuu ya maana,
Dar,Dom,Arusha..

Hayo mengine ni mlundikano wa maskini mjini tuu.
Mbona mkoa unaoongoza kwa omba omba ni Dom? Sema mwanza inakuumiza kichwa kinoma, walikataa mimba yako nini? Hakuna mtanzania mwenye hela asiyependa kuishi mwanza. Unatutajia arusha kwenye vumbi kama poda πŸ˜‚πŸ˜‚ Mwanza haitishwi na vinyago km dom au arusha. Mkizingua semeni tuwakatie maji kutoka victoria muendelee na ya chumvi.
 
Hapo kwenye wilaya mbili, mzee umetupiga kakamba flani hivi. Kuna wilaya nyingine kama magu, sengerema, ukerewe, misungwi n.k
Kuna vitu vingi sana hapa vinapwaya, but all in all tunashukuru kwa kupaisha jiji letu

Ameongelea Jiji la Mwanza na sio Mkoa wa Mwanza.
Hivi ni vitu viwili tofauti.
Unapoongelea jiji la Mwanza unamaanisha ni Ilemela na Nyamagana hizi wilaya mbili ndio zinaunda jiji LA Mwanza. Na wanaobeba gharama za uendeshaji ni Nyamagana kama ilivyo kwasasa Dar es salaam Ilala ndio inabeba gharama. Jiji LA Dar es salaam wilaya zake zote zimo ndani ya jiji tofauti na Mwanza, Kwa Mwanza wilaya zenye hadhi ya Manspaa ni mbili tu yaani ilemela na nyamagana tu, zilizobaki zote ni halmashauri za mji wilaya tofauti na Dar wilaya zake zote zina hadhi ya manispaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…