Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Dom ndio inaongoza kwa kuwa na ombaomba wazawa.Tanzania ina majiji 3 tuu ya maana,
Dar,Dom,Arusha..
Hayo mengine ni mlundikano wa maskini mjini tuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dom ndio inaongoza kwa kuwa na ombaomba wazawa.Tanzania ina majiji 3 tuu ya maana,
Dar,Dom,Arusha..
Hayo mengine ni mlundikano wa maskini mjini tuu.
Sasa Mwanza ni Jiji na wewe,pale kuna mlundikano wa shanty mabanda mule milimani hakuna cha maanaPunguza chuki kwa watu wa Mwanza, mlengo wako wa kisiasa isiwe shida kwetu.
Kuna Ilemela 10BMwanza nilijua ni jiji lenye hela kuliko Arusha, lakin kumbe limepitwa na Arusha banah,,
1. Dar-75.3B
2. Dom-45.1B
3. Arsh-24.3B
4. Mwnz-17.7B
5. Tanga-17.4B
6. Mby-16B
Yaani ikizubaa Tanga wanapga kiwiko
Kuwa na kata Nyingi haimaanishi mji ni mkubwa kuliko wenye kata Chache Nakusahihisha ilemela 19 Nyamagana 18 jumla 37Jiji la Mwanza limeundwa na wilaya mbili lakini lina jumla ya kata 20 wakati jiji la Mbeya limeundwa na Manispaa moja tu lakini lina kata 36
Mfano dodoma Ina kata 40 lakin zilizoko mjini ni 20 na zilizojengeka Kama 15 tuKuwa na kata Nyingi haimaanishi mji ni mkubwa kuliko wenye kata Chache Nakusahihisha ilemela 19 Nyamagana 18 jumla 37
15 nyingi ivoMfano dodoma Ina kata 40 lakin zilizoko mjini ni 20 na zilizojengeka Kama 15 tu
Mfano kata ya Miyuji ina maeneo kibao hayajajengwaMfano dodoma Ina kata 40 lakin zilizoko mjini ni 20 na zilizojengeka Kama 15 tu
Miyuji . kuelekea mwatano kule [emoji16][emoji16]. .pindi ni mipango maeneo walikuwa wanakabwa sana wanafunziMfano kata ya Miyuji ina maeneo kibao hayajajengwa
Unakuta kata kama igoma ina wakazi 59000 kwa mujibu wa sensa ya 2012Kuwa na kata Nyingi haimaanishi mji ni mkubwa kuliko wenye kata Chache Nakusahihisha ilemela 19 Nyamagana 18 jumla 37