Ijue Mwanza jiji

Ijue Mwanza jiji

The future is exciting [emoji91]
JamiiForums385276551.jpg
 
Mwanza nilijua ni jiji lenye hela kuliko Arusha, lakin kumbe limepitwa na Arusha banah,,
1. Dar-75.3B
2. Dom-45.1B
3. Arsh-24.3B
4. Mwnz-17.7B
5. Tanga-17.4B
6. Mby-16B
Yaani ikizubaa Tanga wanapga kiwiko
Kuna Ilemela 10B
 
Jiji la Mwanza limeundwa na wilaya mbili lakini lina jumla ya kata 20 wakati jiji la Mbeya limeundwa na Manispaa moja tu lakini lina kata 36
Kuwa na kata Nyingi haimaanishi mji ni mkubwa kuliko wenye kata Chache Nakusahihisha ilemela 19 Nyamagana 18 jumla 37
 
Kuwa na kata Nyingi haimaanishi mji ni mkubwa kuliko wenye kata Chache Nakusahihisha ilemela 19 Nyamagana 18 jumla 37
Mfano dodoma Ina kata 40 lakin zilizoko mjini ni 20 na zilizojengeka Kama 15 tu
 
Mfano kata ya Miyuji ina maeneo kibao hayajajengwa
Miyuji . kuelekea mwatano kule [emoji16][emoji16]. .pindi ni mipango maeneo walikuwa wanakabwa sana wanafunzi
 
Back
Top Bottom