Ijue nafasi ya " Mwanamke Bikira" katika ulimwengu wa kiroho

Ijue nafasi ya " Mwanamke Bikira" katika ulimwengu wa kiroho

Hii post inaonyesha kabisa Wazanzibari wamechangnyikiwa baada ya bara kuwachagulia mzaramo kuwa Rais. Hapo anajifariji kwa kuota bikra.
 
Sasa Mkuu umeoa mwarabu tena ameishi huko oman afu unashangaa mambo yako kufunguka? Unataka kutuaminisha kuwa sio kwamba umekuwa chawa au umeoa kwenye royal family ila sababu ya bikira..doh
 
Kwa nini Mama wa Yesu ilibidi awe bikra kama iko overrated?

Na mkwara huu wa mleta mada mpaka umeniogooesha [emoji16][emoji16][emoji16]

"Ukifa Bila kuoa bikira, maana yake ni kwamba hapa duniani utakuwa umepita Bila kuonekana".
Ila muujiza wake Mumgu uonekane na umake sense aliona afanye hivyo... Angemtumia mwanamkr ambaye sio bikira yani kashabanjuliwa ingekuwa ngumu kuamini kuwa yesu ni mwana wa mungu wakati kuna wahuni walishapita na huyo mama aliemzaa yesu
 
Kwa ujumla bikra ni alama ya usafi (Purity). Unfortunately bikra nyingi zinatolewa huko shule ya msingi na sekondari. Msichana anapofika umri wa kuolewa anatamani angekuwa bikra lkn ilitolewa ktk umri mdogo ambao hata yeye hakujua thamani ya bikra kwa wakati huo. Hata wanaume japo hakuna alama lkn inapendeza sana akioana na mke wake wa kwanza akiwa na yeye hajawahi kuzini yaani wote wawili wakiwa ni wasafi (pure). Ulimwengu huu kwasasa umejaa wazinzi, kupata bikra si jambo rahisi, ni kwa neema tu
 
kwa hiyo ndg. mleta vp kuhusu king mswati wa swaziland?.....maana africa hii sidhani kama kuna mwaume amezitafuna bikra kuzidi king mswati.
Sio kweli huwa sio mabikra wale waschana. Maana huyu mdogo wa mwisho alikuwa mchumba wa mtoto wake wa kumzaa jamaa kampora dogo akamfanya mkewe. Na dogo alishapiga sana wakati wakiwa uingereza chuoni
 
Wanawake mlioko humu. Duniani hakuna zawadi kubwa sana ya kumpa mumeo kama bikra. Huyy mwanaume atakupenda kiasi cha kuwa tayari kufa kwa ajili yako. Sio akute ushaolewa mara 5000. Hivo hadi mnakufa sidhani kama utampa mara 5000.
 
Na hata mbinguni hatambuliki kama ni mumeo. Mumeo ni yule alokutoabikra yako
 
Back
Top Bottom