Ijue nafasi ya " Mwanamke Bikira" katika ulimwengu wa kiroho

Ijue nafasi ya " Mwanamke Bikira" katika ulimwengu wa kiroho

Every thing in the physical realm represents something in the realm of the spirit.

And every thing in the physical realm is connected band attached to something in the realm of the supernatural

Na kila kitu katika ulimwengu wa damu ,macho na nyama kinawakilisha kitu Fulani katika ulimwengu wa rohoni.

Leo nitakujulisha "NAFASI YA MWANAMKE BIKIRA KATIKA ULIMWEnNGU WA KIROHO."

In the realm of the spirit, a virgin woman is a PORTAL which connects the HEAVENS and the EARTH.

Katika ulimwengu wa kiroho, Mwanamke Bikira ni lango linalo unganisha kati ya MBINGU na DUNIA.

Ndio maana when God wanted to reconnect the Heavens with the Earth through Christ Jesus he did it thru a virgin woman called Mary.


If you want your HEAVEN in this world you must get it from a virgin woman and not otherwise.

Kila Mwanaume anaekuja duniani Mungu kamuandalia MBINGU yake hapa duniani kupitia Mwanamke Bikira.

So kila Mwanaume anaishi duniani Kuna mwanamke Bikira ameumbwa Kwa ajili yake.

Personally Nimeona mambo yangu yalivyo funguka Kwa namna ya ajabu mara baada ya kukutana na MKE wangu bikira.

Wazazi wake wamezaliwaZnz. Waarabu. She was born in Dubai . They are living in Oman. And met with her mwaka Jana. She was born in 1988 so mwaka Jana she was 31 and a virgin...

Brothers ; I am telling you I am living in the Heaven .

# Kama haujaoa Mwanamke Bikira. Am sorry to tell you your marriage is null and void.

Whatever a bad thing happen to your marriage . U don't need to blame God. She was not meant to be Ur wife.

Aliweka AGANO la damu na Mwanaume alie lala nae Kwa mara ya Kwanza..

The blood that come out when you break into her " political party's is a very powerful in the realm of the spirit. It breaks all yokes. I will teach you in details about this topic next time..

# Tafuta Bikira oa.

# Ukifa Bila kuoa bikira, maana yake ni kwamba hapa duniani utakuwa umepita Bila kuonekana.

( A joke : NI Sawa na enzi za Chuo kama ukimaliza chuo Bila kupita na demu wa chuo basi Jamaa wanamkwambia " Hujagraduate" )
Hvi Hawa washkji wanaowatoa wanawake bikra,halafu hawawaoi, wanataka nani aje kuwaoa kwa mfano?!
Wewe ndo unaetakiwa ukamlipie mahari huyo msichana hata bible imeandika.
Sasa we unakuta msichana amejitunza, unamuharibu afu unamuacha, Nani akamuoe na wakati ushamuharibu?!
 
Wanawake mlioko humu. Duniani hakuna zawadi kubwa sana ya kumpa mumeo kama bikra. Huyy mwanaume atakupenda kiasi cha kuwa tayari kufa kwa ajili yako. Sio akute ushaolewa mara 5000. Hivo hadi mnakufa sidhani kama utampa mara 5000.
Very true
 
Wanawake mlioko humu. Duniani hakuna zawadi kubwa sana ya kumpa mumeo kama bikra. Huyy mwanaume atakupenda kiasi cha kuwa tayari kufa kwa ajili yako. Sio akute ushaolewa mara 5000. Hivo hadi mnakufa sidhani kama utampa mara 5000.
Ingekuwa bikra inathaminiwa kiasi hicho watu wangekuwa wanaolewa na wale waliowatoa bikra... inakuwaje sasa unamkula na kumuacha mwanamke uliyemkuta bikra?
 
Ingekuwa bikra inathaminiwa kiasi hicho watu wangekuwa wanaolewa na wale waliowatoa bikra... inakuwaje sasa unamkula na kumuacha mwanamke uliyemkuta bikra?

Bikira nyingi huliwa bila mipango, unakuta binti ni mdogo na chalii ni mdogo hajafikia kuoa au jamaa lina mke tayari.

Ila kwa kijana ambaye yupo tayari kuoa, akutane na binti bikira naye amekwiva tayari... ni lazima itakuwa kitu.
 
Kwa nini Mama wa Yesu ilibidi awe bikra kama iko overrated?

Na mkwara huu wa mleta mada mpaka umeniogooesha [emoji16][emoji16][emoji16]

"Ukifa Bila kuoa bikira, maana yake ni kwamba hapa duniani utakuwa umepita Bila kuonekana".
Huyu anataka kupiga stori tu humu Watu wachangamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo agano linamhusu mwanamke pekee? Nonsense
Jana kwenye ibada kanisani mchungaji alisema bikra ni agano la damu kati ya mwanamke na mwanaume,binti ambaye sio bikra akitaka kuolewa na mwanaume ambaye hajambikiri inabidi asimamishe damu ya Yesu iende kusimama badala ya ile damu yake aliyokwisha itoa kwa mwanaume mwingine,alisema damu ya yesu utaisimamisha kwa maombi na sadaka.
 
kwa hiyo ndg. mleta vp kuhusu king mswati wa swaziland?.....maana africa hii sidhani kama kuna mwaume amezitafuna bikra kuzidi king mswati.
Yule naona atakaa chumba kimoja na mungu [emoji2] [emoji2]
 
Kwenye hii nchi ya uchumi wa kati kupata mwanamke bikira ni ngumu mkuu.Ni kama kutafuta fly over huko sengerema vijijini kwenye barabara za vumbi
 
Back
Top Bottom