Ijue nafasi ya " Mwanamke Bikira" katika ulimwengu wa kiroho

Nimefanikiwa mkuu

Mtoto bikira naoa huyu mkuu.

Nlikuwa siamini ila hatimaye Allah ametenda miujiza.
Mtoto anahofu na Mungu.
Mtoto bado mmbichi.

[emoji120]
 
Mkuu kwa nn usitoe haya malelezo mapema

Anyway usisahau kunitag tafadhali
 
Umesema Mungu alimtafuta bikira ili amzae Yesu, una uhakika Joseph hakufanya lolote?
 
yaani maneno yako hayana hata reference. They are nul and void
 
ilikuwa lakini si sasa ktk hii dunia ya sasa maisha yame change 90% ana toa bikira mwingine ana mzaliza mwingine ana kuja kuoa mwingine. #V75
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…