Ijue Nguvu ya majina yanayoanza na herufi J, K na M

Fund man

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2021
Posts
3,629
Reaction score
4,831
Habari Wana JF

Kuna ukweli usio pingika kuhusu Nguvu ya majina yanayo anza na herufi J,K na M.

Tuanze na hapa kwetu Tanzania,Rais wa Kwanza jina lake ni Julius Kambarage Nyerere,yeye alibahatika kwenye jina lake Kuna herufi mbili za Nguvu yaani J na K

JF Kennedy alikuwa Rais wa Marekani pia jina lake Lina herufi mbili za Nguvu yaani J na K.

Jomo Kenyatta Rais wa Kwanza wa Kenya naye Ana herufi mbili J na K.

J P M alikuwa Rais wa Tanzania awamu ya tano naye ana herufi mbili J na M.

J M K (Kikwete) huyu ndio funga kazi ana herufi zote tatu yaani J, K na M.

Benjamini Mkapa.Ni Rais wa Tanzania kwa awamu ya tatu. Yeye ana herufi moja ya Nguvu Yaani M.

Samora Machel alikuwa Rais wa Kwanza wa Msumbiji(Mozambique) yeye ana M.

Ally H Mwinyi.Ni Raisi wa pili wa Tanzania yeye ana M.

Mobutu Seseseko Kuku Mbendu wa Zabanga(Rais wa Zaire /kwa Sasa Congo) yeye ana M.

Kenneth Kaunda alikuwa Rais wa Zambia yeye ana K.

Bingu wa Mutharika alikuwa Rais wa Malawi.Yeye ana M.

Miltoni Obote ,alikuwa Rais wa Uganda.yeye ana M.

Nelson Mandela alikuwa Rais wa Afrika Kusini.Yeye ana M.

Mwai Kibaki , alikuwa Rais wa Kenya . Yeye ana herufi mbili za Nguvu yaani M na K.

Kwame Nkuruma alikuwa Rais wa Ghana yeye ana K.

Jonas Savimbi alikuwa ni kongozi wa waasi Angola. Yeye ana J.

Paul Kagame, Rwanda yeye ana K.

Yoweri K Museven Uganda yeye ana K na M.

Nimeonesha mifano michache Sana kuhusiana na Nguvu ya hizi herufi J,K na M. Wapo viongozi wengi wenye majina yanayoumbwa kwa herufi hizo,.

Unaweza kuongezea viongozi wengine wenye majina yenye herufi J ,K na M.
 
Habari I Wana JF

Kuna ukweli usio pingika kuhusu Nguvu ya majina yanayo anza na herufi J,K na M.

Tuanze na hapa kwetu Tanzania,Raisi wa Kwanza jina lake ni Julius kambarage Nyerere,yeye alibahatika kwenye jina lake Kuna herufi mbili za Nguvu yaani J na K

JF Kennedy alikuwa Raisi wa Marekani pia jina lake Lina herufi mbili za Nguvu yaani J na K.

Jomo Kenyatta Raisi wa Kwanza wa Kenya naye Ana herufi mbili J na K.

J P M alikuwa Raisi wa Tanzania awamu ya tano naye ana herufi mbili J na M.

J M K (kikwete) huyu ndio funga kazi ana herufi zote tatu yaani J, K na M.

Benjamini Mkapa.Ni Raisi wa Tanzania kwa awamu ya tatu.yeye ana herufi moja ya Nguvu Yaani M.

Samira Machel .alikuwa Raisi wa Kwanza wa msumbiji(Mozambique) yeye ana M.

Ally H Mwinyi.Ni Raisi wa pili wa Tanzania yeye ana M.

Mobutu seseseko kuku mbendu wa zabanga(Raisi wa Zaire /kwa Sasa Congo) yeye ana M.

Kenneth kaunda alikuwa Raisi wa zambia.yeye ana K.

Bingu wa Mutharika alikuwa Raisi wa Malawi.Yeye ana M.

Miltoni obote ,alikuwa Raisi wa Uganda.yeye ana M.

Nelson Mandela alikuwa Raisi wa Afrika kusini.yeye ana M.

Mwai Kibaki ,alikuwa Raisi wa Kenya .yeye ana herufi mbili za Nguvu yaani M na K.

Kwame Nkuruma alikuwa Raisi wa Ghana yeye ana K.

Jonas savimbi alikuwa ni kongozi wa waasi angola.yeye ana J.

Paul kagame Rwanda yeye ana K.

Yoweri K Museven Uganda yeye ana K na M.

Nime onesha mifano michache Sana kuhusiana na Nguvu ya hizi herufi J,K na M. Wapo viongozi wengi wenye majina yanayo umbwa kwa herufi hizo,.

Hakuna S wala H humo?
 
Kama ndo hivo herufi yenye nguvu zaid duniani ni "A" hamna Raisi wa Africa asie kua na hiyo helufi.
 
Donald Trump
Bill Clinton
Bill Gates
G W Bush
Barack Obama
Samia Hassan
 
Leonardo Da Vinci,Aristotle,Plato,Newton n.k sijui unajielewa mkuu??
 
Kim jong un ,jina linaanza na herufi K.
 
Back
Top Bottom