Ijue Nguvu ya majina yanayoanza na herufi J, K na M

Habari Wana JF

Kuna ukweli usio pingika kuhusu Nguvu ya majina yanayo anza na herufi J,K na M.

Tuanze na hapa kwetu Tanzania,Rais wa Kwanza jina lake ni Julius Kambarage Nyerere,yeye alibahatika kwenye jina lake Kuna herufi mbili za Nguvu yaani J na K

JF Kennedy alikuwa Rais wa Marekani pia jina lake Lina herufi mbili za Nguvu yaani J na K.

Jomo Kenyatta Rais wa Kwanza wa Kenya naye Ana herufi mbili J na K.

J P M alikuwa Rais wa Tanzania awamu ya tano naye ana herufi mbili J na M.

J M K (Kikwete) huyu ndio funga kazi ana herufi zote tatu yaani J, K na M.

Benjamini Mkapa.Ni Rais wa Tanzania kwa awamu ya tatu. Yeye ana herufi moja ya Nguvu Yaani M.

Samora Machel alikuwa Rais wa Kwanza wa Msumbiji(Mozambique) yeye ana M.

Ally H Mwinyi.Ni Raisi wa pili wa Tanzania yeye ana M.

Mobutu Seseseko Kuku Mbendu wa Zabanga(Rais wa Zaire /kwa Sasa Congo) yeye ana M.

Kenneth Kaunda alikuwa Rais wa Zambia yeye ana K.

Bingu wa Mutharika alikuwa Rais wa Malawi.Yeye ana M.

Miltoni Obote ,alikuwa Rais wa Uganda.yeye ana M.

Nelson Mandela alikuwa Rais wa Afrika Kusini.Yeye ana M.

Mwai Kibaki , alikuwa Rais wa Kenya . Yeye ana herufi mbili za Nguvu yaani M na K.

Kwame Nkuruma alikuwa Rais wa Ghana yeye ana K.

Jonas Savimbi alikuwa ni kongozi wa waasi Angola. Yeye ana J.

Paul Kagame, Rwanda yeye ana K.

Yoweri K Museven Uganda yeye ana K na M.

Nimeonesha mifano michache Sana kuhusiana na Nguvu ya hizi herufi J,K na M. Wapo viongozi wengi wenye majina yanayoumbwa kwa herufi hizo,.

Unaweza kuongezea viongozi wengine wenye majina yenye herufi J ,K na M.
Vipi Putin?
 
Kama ndo hivo herufi yenye nguvu zaid duniani ni "A" hamna Raisi wa Africa asie kua na hiyo helufi.
rais wa china anaitwa yowel museven

Pia kuna mwenzake wa denmark anaitwa husein mwinyii

Achana na yule wa congolese anaitwa innoss b ...aka yope
 
Mimi mbona ndiyo Funga Kazi nnayo yote J, K, M. Na bado 'Ngoma Ngumu'.
 
Habari Wana JF

Kuna ukweli usio pingika kuhusu Nguvu ya majina yanayo anza na herufi J,K na M.

Tuanze na hapa kwetu Tanzania,Rais wa Kwanza jina lake ni Julius Kambarage Nyerere,yeye alibahatika kwenye jina lake Kuna herufi mbili za Nguvu yaani J na K

JF Kennedy alikuwa Rais wa Marekani pia jina lake Lina herufi mbili za Nguvu yaani J na K.

Jomo Kenyatta Rais wa Kwanza wa Kenya naye Ana herufi mbili J na K.

J P M alikuwa Rais wa Tanzania awamu ya tano naye ana herufi mbili J na M.

J M K (Kikwete) huyu ndio funga kazi ana herufi zote tatu yaani J, K na M.

Benjamini Mkapa.Ni Rais wa Tanzania kwa awamu ya tatu. Yeye ana herufi moja ya Nguvu Yaani M.

Samora Machel alikuwa Rais wa Kwanza wa Msumbiji(Mozambique) yeye ana M.

Ally H Mwinyi.Ni Raisi wa pili wa Tanzania yeye ana M.

Mobutu Seseseko Kuku Mbendu wa Zabanga(Rais wa Zaire /kwa Sasa Congo) yeye ana M.

Kenneth Kaunda alikuwa Rais wa Zambia yeye ana K.

Bingu wa Mutharika alikuwa Rais wa Malawi.Yeye ana M.

Miltoni Obote ,alikuwa Rais wa Uganda.yeye ana M.

Nelson Mandela alikuwa Rais wa Afrika Kusini.Yeye ana M.

Mwai Kibaki , alikuwa Rais wa Kenya . Yeye ana herufi mbili za Nguvu yaani M na K.

Kwame Nkuruma alikuwa Rais wa Ghana yeye ana K.

Jonas Savimbi alikuwa ni kongozi wa waasi Angola. Yeye ana J.

Paul Kagame, Rwanda yeye ana K.

Yoweri K Museven Uganda yeye ana K na M.

Nimeonesha mifano michache Sana kuhusiana na Nguvu ya hizi herufi J,K na M. Wapo viongozi wengi wenye majina yanayoumbwa kwa herufi hizo,.

Unaweza kuongezea viongozi wengine wenye majina yenye herufi J ,K na M.
Majina ya waAfrika 90% huanza na M au K, sasa sijui ulitegemea nini
 
Umechemka. Kama ni hivyo wanyaki wote wana majina yanayoanzia M. Pia na wahaya wengi akina Mtashobwa pia wote wana herufi M
 
Herufi zenye nguvu ya kumuinua mtu kimaisha ya kwanza ni (R &W )mtu Huyu Ndio mtu mwenye bahati kuliko wote. Anafuatiwa na J Huyu ni kiongozi japo misukosuko ya hapa na pale itamkumba inafuatiwa na B then k.(maarufu)
 
K sio mchezo, haijai kwenye kisahani Cha chai lkn Mambo yake utachoka. Diwani Tena mrithi tajiri kapotea miezi mitatu kumbe yupo hapo jirani tu Tabata kisa hiyo herufi.
 
Habari Wana JF

Kuna ukweli usio pingika kuhusu Nguvu ya majina yanayo anza na herufi J,K na M.

Tuanze na hapa kwetu Tanzania,Rais wa Kwanza jina lake ni Julius Kambarage Nyerere,yeye alibahatika kwenye jina lake Kuna herufi mbili za Nguvu yaani J na K

JF Kennedy alikuwa Rais wa Marekani pia jina lake Lina herufi mbili za Nguvu yaani J na K.

Jomo Kenyatta Rais wa Kwanza wa Kenya naye Ana herufi mbili J na K.

J P M alikuwa Rais wa Tanzania awamu ya tano naye ana herufi mbili J na M.

J M K (Kikwete) huyu ndio funga kazi ana herufi zote tatu yaani J, K na M.

Benjamini Mkapa.Ni Rais wa Tanzania kwa awamu ya tatu. Yeye ana herufi moja ya Nguvu Yaani M.

Samora Machel alikuwa Rais wa Kwanza wa Msumbiji(Mozambique) yeye ana M.

Ally H Mwinyi.Ni Raisi wa pili wa Tanzania yeye ana M.

Mobutu Seseseko Kuku Mbendu wa Zabanga(Rais wa Zaire /kwa Sasa Congo) yeye ana M.

Kenneth Kaunda alikuwa Rais wa Zambia yeye ana K.

Bingu wa Mutharika alikuwa Rais wa Malawi.Yeye ana M.

Miltoni Obote ,alikuwa Rais wa Uganda.yeye ana M.

Nelson Mandela alikuwa Rais wa Afrika Kusini.Yeye ana M.

Mwai Kibaki , alikuwa Rais wa Kenya . Yeye ana herufi mbili za Nguvu yaani M na K.

Kwame Nkuruma alikuwa Rais wa Ghana yeye ana K.

Jonas Savimbi alikuwa ni kongozi wa waasi Angola. Yeye ana J.

Paul Kagame, Rwanda yeye ana K.

Yoweri K Museven Uganda yeye ana K na M.

Nimeonesha mifano michache Sana kuhusiana na Nguvu ya hizi herufi J,K na M. Wapo viongozi wengi wenye majina yanayoumbwa kwa herufi hizo,.

Unaweza kuongezea viongozi wengine wenye majina yenye herufi J ,K na M.
Job Yustino Ndugai yeye ana J. Mtamjua vizuri 2025 na mtajua kwanini mleta mada kaleta J, K na M.
 
Back
Top Bottom