Ijue Nguvu ya majina yanayoanza na herufi J, K na M

Mbona hujazungumzia akina
Barack Obama B na O
Vladimyr Putin V na P
Donald Trump D na T
Angela Merkel A na K
etc?
 
Uku mtaani kwetu kuna jamaa anaitwa Jerome Katungwa Mamia ni mwizi balaa. Jamaa anaiba hadi kuku za bimkubwa wake anauza. 🤣🤣
 
Nikadhani Muhammad, Abdulkareem, Said, Saleh n.k. kumbe akina pombe, nyerere na mkapa 😁 haya mkuu hongera kwayo
 
Vipi "yesu yosefu" vipi na yehova yahwe" wa mwisho mwisho "sheteni ibiliss maana hawa ndio binadamu wenye majina makubwa ulimwenguni😂😂😂😂 mtoa mada aibu nimeona mm 🏃🏃🏃
 
Hakuna kitu.. ukweli ni kwamba majina ya ukoo yanayoongoza kwa wingi ni M... unaweza kuta hata wewe hapo jina lako la ukoo linaanza M, na linafatiwa kwa wingi ni K kwa waafrika wengi.
 
majina ya k mwengi wanakua matapeli tapeli
 
Ila kwenye j kuna kitu. Asilimia kubwa ya watu maarufu huangukia katika majina hayo ama wake zao. Hata mi mpango wangu nikuoa mwanamke mwenye jina linaloanza na j

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Bora huku mention kwa namba....maana wangesema huyo namba{....} AONDOLEWE

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mbona hujazungumzia akina
Barack Obama B na O
Vladimyr Putin V na P
Donald Trump D na T
Angela Merkel A na K
etc?
Kama Putin kwenye hayo majina hayumo basi huo ni uongo na huu uzi ufungwe rasmi.
 
Joka jeusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…